Habari wakuu,
Nimekuwa interested na kujifunza teknolojia ya kuprint picha na kuziweka kwenye photo frame za mbao kama inavyoonekana hapo pichani.
Nimejaribu kuomba kufundishwa na watu mbalimbali wanaofanya biashara hii mitandaoni bila mafanikio.
Naomba msaada wa maelekezo, kama kuna online...
Habari za majukumu wandugu, naombeni msaada wa program itakayoweza kunisaidia kuondoa simlock katika simu aina ya amazon au kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii aje PM
Natanguliza shukrani.
Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom.
Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
Habar wadau
Nisiwachoshe nina samsung a2 core ipo poa ina android 8.1 sasa kuna vitu inaniboa mfano haina dark mode wala galaxy theme ivo nakuwa sina uhuru sn pia haina LTE only feature so nataka niroot kisha ni update iwe android 10 niweEaeti dark mode na kuchagua theme itayopenda kwenye...
Google Lens ni teknolojia ya kutambua vitu mbali mbali katika picha. Hii inahusisha maneno, tafsiri, wanyama, aina za matunda, aina za miti, picha zilizopo mtandaoni zinazofanana na picha yako, nk.
Hii teknolojia ipo kwenye simu nyingi za Android kupitia Camera application, Google Photos app na...
Ndugu zangu
Naomba kujua jinsi ya kupata kazi halmashauri yoyote Tanzania.
Je, bila connection unaweza kupata kazi? Manispaa?
Nimesoma Human Resource nmemaliza mwaka jana. Sina connection.
Kuna ajira za TBC zimetangazwa ajira portal lakini nashindwa kujaza sehemu za academic qualifications na professional qualifications.
Tafadhali mwenye kujua jinsi ya kujaza hizo sehemu anifundishe maana nashindwa ku-save taarifa nilizoandika na pia nashindwa ku-attach cheti na transcript
Habari.
Kwa kipindi cha karibuni nimeanza biashara ya udalali wa magari pikipiki simu vitanda na vitu vingine used hapa Dar.
Nimekutana na changamoto ya kupakua picha zilipostiwa FB ili niweze kupost kwingine
Naomba msaada ni njia gani nitumie
Shukran, Dalali Solo. 0744033555__ TABATA BIMA DAR
Habarini,
Nikiwa napitia Instagram stories sometimes nakutana na tags na nikitaka ku-skip nashindwa hadi liishe, tafadhali nisaidieni nifanyeje
Nawasilisha,
Nawategemea.
Tupo nchini kwetu tumeiba cha nani, nchi ni ya kila mtu na kila mtu ana haki ya kuishi, kwanini tunafuatiliwa kimya kimya na kupewa kesi ambazo hatuna na hatuja wahi kuzifanya, wanataka watuue wote tuishe?
Naomba kwa anayejua jinsi ya kupata hifadhi (asylum) na kufika atusaidie kama ni...
Habarin wana jamii forum nina pesa zangu zipo huko neteller ni dollar kadhaa na nina shida nazo nataka nizitoe fasta shida ni kwamba kwa tanzania ni only to bank hakuna mobile network.
Na ubaya ni kwamba njia ya benk pesa inachukua mda mrefu kufika na pia makato ni makubwa kulinganisha na simu...
Asalam aleykum jamiya
Nataka kuanzisha kajishughuli kadogo ka nyumba ka utengenezaji wa vipodozi vya akina dada vitumiavyo matunda na mbogamboga na visivyo na kemikali kwa utaalamu adhimu na wa kipekee nilio jifunza wakati nikiwa africa ya magharibu.
-Mafuta ya kuondoa pimples kwa haraka and...
MAELEZO KWA KIFUPI YA JINSI YA KUANZISHA CHUO CHA ELIMU YA UFUNDI STADI NCHINI
1 Utangulizi
Mamlaka ya Elimu na mafunzo ya ufundi stadi(VETA) ilianzishwa chini ya sheria Na.1 ya mwaka 1994 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2006 kwa lengo la kusimamia, kuratibu na kuendesha elimu na mafunzo...
Jinsi ya kufungua akaunti ya Youtube,
1. Anza kwa Jisajili kwenye akaunti ya Google (Kama hauna) Ili kuweza kuangalia maudhui ya video kwenye YouTube, kutenegeneza akaunti ya YouTube, kushare, kutoa maoni (comments) unapaswa kuwa na akaunti ya Google.
Jinsi ya kusajili akaunti ya Google...
Kuna shule ya msingi anasoma mwanangu. Nataka kujua km imesajiliwa au la meaning kua inatambulika na serekali.
Bado ni changa. Ina mpaka standard 3 kwa sasa.
Habari zenu wana jukwaa? Mimi kwa sasa ni Mkaazi wa Zanzibar, niliporudi nyumbani nilivitiwa na Muonekano wa Nissan March nikaamua niinunue, ila Marafiki zangu wa karibu wamekua wananilaumu sana kwa nini nimenunua Nissan March na nisinunue gari za Toyota kama IST?
Hivo wana jukwaa nawaombeni...
Hiki ni chakula kitokanacho na makopa ya miogo(miogo mikavu).
Jinsi ya kupika.
Hukatwakatwa vipande vya makopa kisha hulowekwa kwenye maji masaa yasiyopungua 12 ili kurahisisha kuiva kama makopa ni mazima lakini kama ambayo yameliwa na wadudu yanaenda kuoza kidogo huwa ni matamu zaidi na...