usahili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Unashauriwa kuvaa rangi ya Blue, Kijivu au zambarau. Kamwe usivae nyekundu kwenye usahili

    Unashauriwa kuvaa rangi ya Blue, Kijivu au zambarau. Kamwe usivae nyekundu kwenye usahili kwa sababu inaashiria kuwa hujali kuhusu maswali kwa sababu yote utayajibu hivyo ni kama umewadharau.
  2. cnx

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walioitwa kwenye mafunzo Zimamoto, siyo wale walioitwa kwenye usahili

    Hili ni swali linalohitaji ufafanuzi: kwa nini vijana waliyoitwa kwenye usaili wa Zimamoto kuanzia tarehe 15 Disemba 2025 hadi tarehe 20 Disemba 2025 hawakupata nafasi ya kwenda kwenye mafunzo, ilhali baadhi ya waliokuwa hawakuitwa kwenye usaili wamepata nafasi hiyo? Mtu anajituma na kusafiri...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usahili Tume ya Madini

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mwenye maswali ya usahili Uhandisi wa Uchimbaji Madini (Mining Engineering II) naomba anisaodie. Natanguliza shukrani.
  4. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada Kwa wajuzi wa protocol za usahili katika Tume ya utumishi wa mahakama.

    .
  5. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye Usahili wa Wasimamizi,makarani wa vituo vya kupiga kura 2025

    Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi huko nchini Tanzania imeanza kutoa majina kwa wilaya tofauti kwa ajili ya usahili , wasimamizi wa uchaguzi ngazi za wilaya watakuwa na jukumu la kuwafanyia usahili Baadhi ya wilaya majina yapo zinaendelea kutolewa
  6. captain 21

    JamiiForums Tanzania Usahili wa Kuandika, Wizara ya Mambo ya Nje

    Mambo vipi wakuu!? Kwa yeyote ambae ameshawahi kufanya usahili wa kuandika Wizara ya Mambo ya Nje (Foreign Service Officer), maswali yao huwa yanatoka maeneo gani??
  7. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Heche kuna kigogo ndani ya CCM aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili wa ubunge.

    Ndani ya CCM Kuna mambo ya kutisha. Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms. Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku ya usahili aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili. Lakini pia amebainisha ya kwamba Majaliwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania TRA yawaita waliofaulu usahili wa mahojiano

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita wale wote ambao wamefaulu usahili wa mahojiano. Wakati huo huo TRA imemshukuru Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuruhusu kuongezwa nafasi zingine 300 katika ajira hii.
  9. Sambare

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelewesha katika hizi interview za TRA tulizotumiwa email kuwa twende na Deed Poll

    Habari zenu wakuu. Naomba kuelewesha katika hizi interview za TRA tulizotumiwa email kuwa twende na Deed Poll Mf majina ya nida na birth certificate yanasoma Ikupa Samwel Seba lakini vyeti vya taaluma vinasoma Ikupa S Seba . Je hapo nahitaji deedpoll kweli? Na je Mfano nida na Cheti cha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania USAHILI WA WAKALA WA MAJENGO TANZANIA (TBA)

    Kwa wale walio wahi kufanya usahili wa TBA au wenye uzoefu na mambo ya TBA, msaada wenu tafadhari....! Natanguliza shukrani..!!
  11. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania UTUMISHI: Tabia ya kutoa tangazo halafu mnaita watu kwenye usahili baada ya miezi tisa mkome.

    itaendelea wiki ijayo..
  12. P

    JamiiForums Tanzania Usaili Gaming Board Tanzania

    Nauliza kwa ambae amewai fanya usahili Gaming board Tanzania, written yao ni multiple choice au kuandika yaan maelezo mengi mengi au kwa mwenye idea huwa zinakuaje?
  13. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Wagombea wa Upinzani wamewekwa Ofisi ya Wilaya siku 3 kwa mahojiano, Masasi

    Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote. Hii inaonesha kwa namna gani DAS na watu wake wanaendelea kuhujumu wagombea. Watu wanahojiwa karibu masaa matatu...
  14. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Utumishi wanachelewa kuita waombaji kwenye usahili?

    Hivi wakuu Kuna post zilitangazwa na PSRS yaani utumishi kutoka TRC position ya Senior Commercial Officer na deadline ilikua October mwaka jana ila mpaka Leo hakuna call for interview shida itakua ni nini? wakati TRC nao wanacall watu kwa interview lakini mpaka Sasa kwa hiyo post kimya, na pia...
  15. Sauti ya amani

    JamiiForums Tanzania Utumishi mmegoma kutoa majina na vituo vya usahili kwa walimu

    Ni wiki sasa tangu walimu waambiwe wa confirm their current address lakini mpaka mda huu kimya, Kuna watu hawaendelei na majukumu Yao kisa kusubiri hizo interviews ,kwa upande wa afya haikuchukua mda mrefu je ni kwamba wamezidiwa na idadi au ?
  16. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Walimu wenzangu mnajiandaaje na Usahili?

    Hello, Kwa walimu wenzangu na wenye experience na interview za utumishi, tupeane updates. Kama ni mwalimu wa Geography inamaana nijiandae vipi? Nisome course za Education like EP, EP, Psychology,,,au nisome subject matter. Yaani nijiandae na Geography contents. Najua interview Kwa walimu ni...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Afisa Mipango Daraja II unakuwaje?

    Naomba kujuzwa maswali ya Afisa Mipango daraja la pili yakoje written na oral?
  18. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua usahili afisa kilimo daraja la pili kwa Dar unafanyikia wapi tarehe 12/05/2023

    Naomba kujua usahili kada ya afisa kilimo kwa Dar unafanyikia wapi tar 12/05/202411
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!

    Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na kufanyiwa usahili. Anasema mfumo wa sasa hauna uwazi kwani Rai hawezi kusoma CV za watu wote wanofaa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kufanya usaili wa IT Security huko ajira portal msaada wa muongozo

    Wakuu habari, Nimeitwa usaili wa IT Security hivyo nimekuja kuomba muongozo ikiwezekana possible za maswali. Kuna hatua tatu, usahili wa paper, practical na oral. Je nifanyaje niweze kufaulu? Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom