mafuriko

  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mafuriko makubwa yatokea kwenye Jimbo la Rivers nchini Nigeria, Mamba na wanyama wengine waonekana wakiogelea mitaani

    Wakazi wa Jimbo ya Rivers nchini Nigeria wanasema wanakabiliwa na mafuriko mabaya zaidi kuwahi kutokea katika miaka ya hivi karibuni. Katika baadhi ya jamii, maji ya mafuriko yamezama nyumba, kuyakimbiza familia na kuacha barabara zikiwa hazipitiki. Baadhi ya wakazi wameliambia shirika la BBC...
  2. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Wakati Nuhu Anajenga Safina ya Kujikinga na Mafuriko, Wengine Walikuwa Wanakula, Kunywa na Kumcheka! Kama Hivi Leo.

    Bwana Yesu Kristo asifiwe sana, wana-JF! Asubuhi ya leo, nataka niongee na mtu mmoja ambaye moyo wake umelala. Nataka niongee na jamii ambayo imezama kwenye dharau, anasa, na kiburi, ikisahau kuwa Mbingu haijawahi kudhihakiwa. Nataka nikurudishe kwenye Kitabu cha Mwanzo 6 na 7, mahali ambapo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mange anavyoshauri watu waanze kudondosha vikaratasi barabarani yupo tayari kwa mafuriko ya vikaratasi vinavyoipongeza serikali, ccm na viongozi ?

  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Atoa Wito: Tahadhari Mafuriko

    Maeneo ambayo mnaona ni ya hatari sana Watanzania tunayajua. Tunayajua maeneo yenye historia ya mafuriko. Ni vyema tukaanza kuchukua tahadhari kwa sababu hicho ndicho tunachoweza kukifanya-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba. 📍Ilongero-Singida 🗓️Septemba 06, 2026 ——————- Amesema hayo wakati...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Dhoruba ya EL Nino Yapiga Hodi China,Yaporomosha Magorofa na kuleta Mafuriko Makubwa.Huko Canada na Marekani Barabara zajaa maji na magari kusombwa.

    My Take El Nino sio mzaha ,kama wanaojiita wahandisi wa Dunia wamesambaratishwa hivyo huku kwetu tuanze kutia maji. https://www.instagram.com/reel/Dc3I6r-oVX7/?stkn=cmlybWF6dzA3cXVn Ila tusiogope sana Kila Nchi Ina aina zake za Hali ya Hewa na intensity...
  6. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Jengo Pekee Ambalo Halijasombwa na Mafuriko ya Nepal Limeonesha Umuhimu wa Ujenzi unaozingatia viwango na vigezo vya Kihandisi kwenye majengo ya Umma.

    Wataalamu wa uhanrdisi wa majengo wamefanya uchambuzi ni Kwa nini jengo Pekee la gorofa lilibakia limesimama bila kuangushwa na kusombwa na Mafuriko yenye Nguvu ya Nepal wakati majengo yote ya jirani yalioshwa. Jambo hili Limeonesha Umuhimu Kwa Serikali na watu binafsi kufuata vigezo na...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Miujiza Nepal; Sanamu ya Budha yabaki imesimama imara katikati ya Mafuriko makubwa!

    Ni tukio liliowashangaza wengi duniani Sanamu ya Budha kubaki imesimama imara wima katikati ya Mafuriko
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jiji la New York lakumbwa tena na Mafuriko makubwa

    Jiji la New York lilikumbwa na mvua kubwa na radi Alhamisi jioni Agosti 20, 2026, hali iliyosababisha mafuriko ya ghafla na kugeuza baadhi ya barabara kuwa kama mito. Mji wa Queens ilikuwa miongoni mwa maeneo yaliyoathirika zaidi, huku magari yakizama kwenye maji na wasafiri wakilazimika...
  9. Stability

    JamiiForums Tanzania Hivi tofauti na ukame, vita na mafuriko kuna shida yoyote ya kimaisha wadada wenye makebo makubwa wanapitia kwa kweli?

    Makebo makubwa yamekuwa njia ya utajiri siku hizi kwa hawa dada zetu. Makebo makubwa yanawapatia urahisi wa maisha na access ya vitu vya kifahari ingawa ana umri mdogo, kisomo kidogo na hata kama ametoka familia duni.
  10. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Magari yakibebwa na mafuriko huko Nairobi

  11. 888I

    JamiiForums Tanzania Tulipika kwa maji ya Mafuriko baada ya kushinda na kukesha barabarani

    "Tulipika chakula kwa maji ya mafuriko" —Huu ni ushuhuda wa kusikitisha wa mmoja wa wasafiri waliokwama usiku kucha katika eneo la Korongo la Fisi, wilayani Simanjiro. Wasafiri hao waliokuwa wakisafiri kutoka Arusha kuelekea Kiteto kwa basi la Simanjiro Express, walifika eneo hilo majira ya saa...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvua Zaharibu Mabomba: Estates 15 Nairobi Wakosa Maji Baada ya Mafuriko

    Mvua kubwa iliyonyesha Nairobi usiku wa Ijumaa imeleta madhara makubwa baada ya mafuriko kuharibu major water pipelines, na kusababisha water shortage kwa estates zaidi ya 15. Kulingana na Nairobi City Water, maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Buruburu, Kariobangi, Dandora, Mathare, Eastleigh...
  13. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Gen Z niwakumbushe jambo moja tu: Uzee unakuja haraka sana kama mafuriko

    Muda unaonekana mrefu ukiwa na miaka 18, 20 au 25. Lakini ukweli ni kwamba miaka inapita kwa kasi ajabu. Jana ulikuwa mwanafunzi, ghafla una miaka 30 unajiuliza muda ulienda wapi. Ndiyo maana: • Jifunze mapema • Fanya kazi kwa bidii • Jenga nidhamu • Heshimu muda •Acha masihara na maisha...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CCM yaipa pole Msumbiji kwa kukumbwa na mafuriko

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid akiwa na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania, Ricardo Ambrosio Mtumbuida alipofika kuwasilisha salamu za pole katika Ofisi za Ubalozi wa Msumbiji jijini Dar es Salaam...
  15. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ni mafuriko katika geti ngorongoro

    https://www.tiktok.com/@visitngorongoro/video/7585837537608961301
  16. feyzal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mafuriko ya askari polisi na wanajeshi barabarani leo kulikoni?

    Wakuu habari. Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?. #kazi ipo
  17. upupu255

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge jimbo la Tabora mjini aahidi kukomesha tatizo la Mafuriko kata ya Mwinyi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga leo Septemba 25,2025 ameendelea na mikutano ya Kampeni kuomba ridhaa ya Wananchi wa Jimbo la Tabora mjini kumchagua. Akiwa katika kata ya Mwinyi Mgombea Ubunge huyo amewaahidi wananchi wa kata hiyo kutatua...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mafuriko na maporomoko India zasababisha vifo vya watu 30

    kwa mujibu wa shirika la habari la ANI Agosti 27, 2025 mvua kubwa imesababisha mafuriko na maporomoko ya udongo katika njia maarufu ya hija ya Kihindu kaskazini mwa India, na kusababisha vifo takribani watu 30 huku maafisa wakitoa tahadhari yamewalazimu maafisa kutoa tahadhari kwa wananchi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 300 wamepoteza Maisha kwa Mafuriko Pakistan

    Zaidi ya watu 300 wameripotiwa kupoteza maisha kaskazini magharibi mwa Pakistan kufuatia mvua kubwa na mafuriko yaliyodumu kwa siku mbili, kwa mujibu wa taarifa za maofisa wa eneo hilo. Mvua hizo zimeambatana na maporomoko ya ardhi, radi, maporomoko ya majengo na mafuriko ya ghafla, na kufanya...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kulima Wilaya ya Kilosa, Naombeni Ushauri Wa maeneo yasiyo na mafuriko

    Ushauri wadau... Nahitaji Kulima Wilaya ya Kilosa, Naombeni Ushauri Wa maeneo yasiyo na mafuriko Uzi tayari..
Back
Top Bottom