kukata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Ameanza kukata moto: Haki huinua taifa

    Baada ya mbinu ya utekaji kubuma, kila analofanya linazidi kuchochea hasira dhidi yake kwa uovu alioufanya juu ya ardhi tukufu ya Tanganyika, sasa ameanza kukata moto. Kilichotokea pale stendi ya Magufuli kimemsononesha sana, tusipo mwombea sidhani kama atafanikiwa kufika 2030 kwa nguvu zake...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Wana-Jamii Forums salamu, Kama mnavyofahamu, nchi imeshuhudia taharuki na usumbufu mkubwa kufuatia mgomo wa ghafla wa madereva wa mabasi ya mikoani na malori unaopinga utekelezaji wa mfumo mpya wa Jeshi la Polisi wa kukata pointi kwenye leseni za udereva kila wanapofanya makosa. Binafsi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kukata ticket SGR

    Naomba kuuuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC. Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms. Geza Ulole Msaada jamani ninahitaji.🙏
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatujui changamoto ni nini, lakini umeme umekuwa ukikatwa mara kwa mara bila sababu za msingi

    Hatujui changamoto ni nini, lakini umeme umekuwa ukikatwa mara kwa mara bila sababu za msingi, kana kwamba sisi wananchi hatuchangii gharama za huduma hii. Karne hii, baada ya kuwepo kwa bwawa la kuzalisha umeme, bado tunashuhudia kukatika kwa umeme mara kwa mara. Hali hii inasikitisha na...
  5. General Nguli

    JamiiForums Tanzania TANESCO WAMEENDELEA NA LEO KUKATA UMEME NGERENGERE MOROGORO.

    Leo Trh 6 SEPT 26 TANESCO WAMEENDELEA KUKATA UMEME NGERENGERE BILA TAARIFA YOYOTE.LICHA TA KKUFUNGULIWA BWAWA LA UMEME LA JULIUS NYERERE NGERENGERE IMEENDELEA KUSOTA NA UMEME KIDOG KWA SIKU. MBAYA ZAIDI HAKUNA TAARIFA YOYOTE. WENGI WANADHANI NIKUTOKANA MA KIJIJI HIKI WANANCHI HAWANA ELIMU
  6. Tanganian

    JamiiForums Tanzania KERO CRDB wanaendelea kunikata deni ambapo nilishamaliza kulilipa, nifanyeje?

    Habari ndugu, CRDB kupitia mfumo wao wa SimBanking wamenibambikia deni la mtumishi ambalo nilishamaliza kulipa. Nimewafuata mara kadhaa, lakini wamekataa kunipa barua ya kuondoka kwenye mkopo, ambao kwa kawaida salio lake ni sifuri (0.04). Naomba ushauri, kwa sababu hata salary slip yangu...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini mtuhumiwa anaonyesha kukata tamaa kuanzia mwanzoni tu mwa kujitetea kwake?

    Je, ameona public sympathy aliyoitegemea haipo tena na haina msaada au anatumia mbinu hiyo ya kinyonge kuiatract tension na public sympathy upya kitaifa na kimataifa? Kwasababu sote ni mashuhuda wa kuona na kuskia, anachokifanya muungwana ni kama vile kuaga ndugu, jamaa, marafiki wa kitaifa na...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto Wa Zushu Na Diamond Anakaribia Kufikisha Billion Moja Alizopewa Kama Zawadi Ndani ya Wiki Moja Wakati CHADEMA Wanaelekea Kukata Tamaa Kukimbia

    Ndugu zangu Watanzania, Dunia Ina vituko kwelikweli, watu wakikuchoka wanakuchoka kwelikweli. Watu wakikukataa wanakukataa kwelikweli. CHADEMA Imechokwaa ni haija pata kutokea kwa chama cha siasa kuchokwa namna hiyo. Yaani Ni aibu aibu aibu na Fedheha kubwa sana . CHADEMA Wameomba Michango na...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Lecturer wa UDOM ni gaidi ila Shehe Mwaipopo anayemiliki kundi la kukata vichwa sio gaidi

    DPP kuwa serious japo kidogo Huyu gaidi Mwaipopo anayemiliki kikundi cha msituni kama mbwa mwitu mnamchekea na kumkumbatia Lectures, vijana wa chuo na viongozi wa Chadema ndo magaidi
  10. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Nini kinakukata 'steam' na nini kinaziongeza?

    Angalizo kwa watakatifu sitaki mnifokee maana nina nyuzi kibao za maisha na za mijadala ya kijami siwaoni ila hapa mtaanza ooh unapenda ngono Kwenye jukwaa la chit chat kuna uzi unaitwa JF diary nimeweka nyuzi zangu nyingiiii kama unavutiwa kusoma maandiko yangu ila hili hakikubariki tafadhari...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona fedha uchochezi zinaenda kukata Chadema inarudia kwenye hoja za "Deep Green"

    Mara zote tuliwaasa kusimama na maslahi ya watu yaani kuzisemea shida za watu na kuja na sera mbadala kwa ajili ya watanzania. Chadema ilihama kutoka kuwa chama cha upinzani kwa maslahi ya watanzania ....chama ambacho kilikuwa kinaibua ufisadi na kuleta hoja kinzani zilizoifanya ccm kujipanga...
  12. Stability

    JamiiForums Tanzania Twende na ukweli haujawahi ku-date na mdada mwenye makalio makubwa zaidi ya miezi 7

    average ya muda mdada mwenye makebo makubwa kukuvumilia ni miezi mitatu hadi sita, kuongeza na mwezi mmoja wa wewe kulia lia ili mrudiane ni miezi 7. Ukiona mdada mwenye makebo makubwa yupo na wewe mwaka mmoja hadi miwili ujue ana pata uhuru wa wewe kutomfatilia na yeye kuridhika na mfuko wako...
  13. Zogolo1550

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kukata miti kwa kutumia chainsaw

    Tunatoa huduma ya kukata miti iliyo katika mazingira hatarishi na mashambani. Tunapatikana mbezi mwisho (DAR ES SALAAM) 0679900852/0758700852
  14. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kukata Mawasiliano na Familia: Miaka Haina Habari

    Imenishangaza kuona mtu anaondoka kwao, gafla anakata mawasiliano. Inapita hata miaka bila wao kujua yuko wapi, anafanya Nini. Ujasiri wa namna hii sio wa kawaida. Ila pia inanifanya nifikiri kuhusu familia, malezi, tamaduni na utandawzi. Kweli zama zimebadilika.
  15. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Silaha itakayotumika na Iran awamu hii ni kukata nyaya za Internet zilizopita chini ya bahari…

    Iran is threatening undersea cables. The world’s ‘digital chokepoints’ have never been more vulnerable Ngoma inogile waache wajichanganye tena safari hii hata pesa kwenye ATM hawatatoa . Hizi zimepita pale Hormz ,wasipokata watalipisha tozo kama Misri lakini Iran wao waliacha free lakini dunia...
  16. Red black

    JamiiForums Tanzania Kukata mnyonyoro wa umasikini kwenye familia za kiafrica inahitajika nguvu ya Ziada

    Kukata chain ya umasikini kwenye familia za kiafrica inahitajika nguvu ya Ziada. #first born hakikisheni mnajitahidi kukata chain ya umasikini kwa namna yoyote ile.
  17. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Kukata tiketi za SGR kumerahisishwa zaidi

  18. Fene

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kukata uhusiano wa kidiplomasia na Uturuki

    Mkuu wa Majeshi ya Uganda na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amezua taharuki mpya ya Kidiplomasia baada ya kutoa maonyo makali dhidi ya Uturuki kutokana na uhusiano unaozidi kuwa mbaya kati ya nchi hizo mbili. Katika msururu wa machapisho yake kwenye X (zamani...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Senegal imeapa kukata rufaa ya uamuzi wa CAF kuwapoka ubingwa wa AFCON 2025

    Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limethibitisha kupokea uamuzi uliotolewa na Kamati ya Rufaa ya CAF kuhusu kupokwa ubingwa wa Kombe la Mataifa la Afrika 2025 FSF imepinga rasmi uamuzi huo ambao wanaona hauna msingi wa kisheria, upo kiholela na hauna uwiano. FSF inaamini kuna Ukiukaji...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya umeme Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni

    Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
Back
Top Bottom