Sikubali haiwezekani mtoto afikishe miaka mitatu anaongea vizuri,alikua anabwabwaja maneno chungu nzima gafla tu akaanza kua na kigugumizi Toka hapo Yani anateseka sana kwenye kuongea hadi utamuonea huruma.
Hua najiuliza ni nini kilitokea sijawahi pata jibu.Hivyo natafta mganga amuague pengine...
Zahanati ya Kata ya Itundu, Wilaya ya Urambo katika Mkoa wa Tabora, Mganga Mfawidhi anakuja kazini anapojisikia ni kama Mganga Mkuu wa Wilaya ameshindwa cha kufanya.
Kwa wiki anaweza kuna mara moja au hasije kabisa hali hii ibasababisha wananchi wasipate huduma stahiki.
Kwa utaratibu anatakiwa...
Kama unamjua mganga ambae hana vipengele wala hana garama, ila ni mtaalam kweli kweli dondosha apa namba zake wadau waruke nazo. Hakikisha hana vipengele.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita (RMO), Dkt. Omary Sukari, alieleza jinsi mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) ulivyosaidia mkoa huo katika kuboresha mifumo ya takwimu na utoaji wa huduma za uzazi wa mpango.
Haya ndiyo mambo makuu aliyoyazungumza Juni 18, 2026 Jijini Dodoma:
1. Mafunzo na...
Hapo vip!
Jamani nina tatizo sereous,ninabiashara sehemu kila nikiweka mtaji then mtaji unakata..na nauza kidogo na pale ni stand kabisa ila majira wanauza na biashara zao haziyumbi kabisa.
Mimi nipo Arusha ila nikimpta mganga mzuri wa kujija kunisindikia eneo langu la biashara itakuwa poa...
Hamjambo nyie waja
Binafs sitaki niulizwe, yaani ukute leo nimetoa uzi mimi mwizi, kesho kutwa mimi askofu au sheikh sitaki niulizwe au nikumbushiwe
Uwa nawa replesent watu wangu wa karibu, sasa mkiniuliza mimi nilikuwa mlevi vipi leo naswalisha sitak maswali ya hivyo
Humu kuna watu...
Hawa Jamaa ni wapumbavu sana!!
Kwao Kuua si kitu chochote Tena.
Kuweni Makini , Kwasasa Kuna Mauaji yanafanyika na yataendelea kufanyika ni MIILI AU MAUAJI HAYO YATATENGENEZEWA MAZINGIRA YA KUHUSISHA NA 'USHIRIKINA" !!.
Baada ya Kutafakari kwa kina, na kupitia rejea kadhaa kadhaa za Wauaji...
Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!!
1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili ambae ametumika kuitibu na kuikinga jamii dhidi ya mabalaa mbalimbali kwa maelfu ya miaka...
Kuna siku nikiwa nikiwa mdogo nilikuwa namsifia mzee mmoja ni tajiri lakini yupo simple, mavazi yake huwezi kumdhania ni tajiri.
Nikaambiwa huyo anafuata masharti maalum ya kuoga, haruhusiwi kuoga oga akikiuka pesa zote zinapotea
Swali la kizushi kwenu
Tuchukulie ingekuwa kweli kama...
Watu wengi husema mganga wa kienyeji ni mtu wa kuogopwa. Wanasema ana macho yanayoona mbali na majini yanayompa taarifa za kila anayemtembelea. Lakini siku hiyo, niliamua kuthibitisha kuwa hata "nguvu za giza" hupigwa na giza la njaa na tamaa.
Mtego wa Kisaikolojia
Mganga huyu, ( jina kapuni")...
kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma ambazo zinathibitika za mganga mkuu wa halmashauri ya wilaya ya serengeti nashangaa mamlaka zake mkoa ,Tamisemi na wizara zikikaa kimya pasipo kutusaidia watumishi.
Ofisi imegeuka sehemu ya madili na kosa aonekane mtu anaenda kinyume ni anapewa uhamisho...
Habari wanajamvi...
Kwamuda wa mwaka na miezi kadhaa,nimekuwa nasumbuliwa na wezi kuiba kwenye sehemu ninapofanyia shughuli zangu za uzalishaji wa kipato cha kila leo.
Ninafanya shuguhuli za bustani ya mazao ya kilimo haswa michikichi na miti(matunda) na ya kawaida..Wezi wamekuwa wakiniibia...
Yote aliyosema Jaji mkuu yanaakisi Mmomonyoko wa uwajibikajo kwa taasisi nyingi na Baadhi ya Sekta na Wizara,, hususa Wizara ya Afya na Sekta ya Afy.
Nchi imekua na utendaji mbovu kutokana na watumishi kutopewa stahiki zao, kubadilishiwa Miundo ya Mishahara kulingana na hali ya kiuchumi...
Anonymous
Thread
jaji
jaji mkuu
mgangamganga mkuu wa serikali
mkuu
serikali
Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu...
Kuna mafundisho ktk dini zetu hizi haswa walokole wanawapoteza watu , sioni kama kuna tatizo kwa mtu ambaye ana matatizo ya kiafya kwenda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji hakuna ubaya wowote wala dhambi. Tiba za kienyeji ni uumbaji wa Mungu kuwasaidia watu kuondokana na maradhi mbali...
Mambo yangu ya kimaisha yamekuwa magumu sana, mambo hayaendi vitu havifunguki watu wamejiweka pembeni na mimi.
Nahitaji taji spiritual support.
Maisha yangu yamekuwa ya kuangaika kwa miaka na miaka sipati nafuu ya life. Toka ujana mpaka naingia utu uzima.
Naomba mwenye mganga konki kabisa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.