portal

Meta Portal (also known as Portal) is a brand of smart displays and videophones released in 2018 by Meta. The product line consists of four models:

Portal
Portal+
Portal TV
Portal GoThese models provide video chat via Messenger and WhatsApp, augmented by a camera that can automatically zoom and track people's movements. The devices are integrated with Amazon's voice-controlled intelligent personal assistant service Alexa. Meta uses some data collected from Portal devices for targeted advertising.Reviewers rated the Portal line's video and audio handling capabilities positively, but criticized Facebook's privacy practices for commercial use of data that Portal devices captured.

View More On Wikipedia.org
  1. EricMan

    JamiiForums Tanzania Nani kafanikiwa kufuta Cheti Ajira portal kupitia njia hii?

    Wakuu, habari za jioni. Nimepitia mijadala mbalimbali kuhusu suala la kuondoa vyeti (qualifications) vilivyowekwa kwenye Ajira Portal, lakini hadi sasa sijafanikiwa kupata taarifa kutoka kwa mtu ambaye amewahi kufanikiwa kuondoa cheti cha qualification, kwa mfano cheti cha Shahada (Degree...
  2. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Changamoto za NHIF Selfservice Portal

    Rejea kichwa cha habari, kutokana na dhana ya serikali kwenda kidijitali zaidi, yaani wananchi waweze kupata huduma za serikali popote walipo mtandani tunashkuru taasisi nyingi za serikali kama NSSF, RITA, TRA na police kupata huduma mtandani ni haraka na uhakika. Changamoto ya NHIF...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunashindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal. Tunaomba suala hili lishughulikiwe haraka

    Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto ya kushindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu na hasara kwa waombaji na wadau wa sekta ya madini. Madini Portal ni mfumo muhimu unaotumika kutoa na kufuatilia huduma mbalimbali zinazohusiana...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lynn Chawala: Alama za Ufaulu Ajira Portal ni 50, ila kupangwa kazini inategemea na ufaulu wa juu na mahitaji

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Lynn Chawala amesema ufaulu na mfumo wa upangaji wa matokeo ni miongoni mwa vigezo vinavyozingatiwa katika mchakato wa ajira, huku uteuzi ukitegemea pia mahitaji ya taasisi husika. Amesema mfumo hupanga waombaji...
  5. sepema

    JamiiForums Tanzania Tumshauri:Amechelewa kuona barua yake kwenye ajira portal

    Salaaam! Kuna dogo aliomba kazi kupitia ajira portal.Anadai hakuwa kwenye mazingira mazuri hivyo akashindwa kupata kinachoendelea kwenye akaunti yake.Jana kachungulia kakuta kapangiwa kituo cha kazi tangu mwezi Augost. Mnaweza kushaurije kwenye hili wakuu?
  6. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Udereva ndio fani inayoongoza kwa ajira, ajira portal vijana tupambane tuwe madereva.

    Kila mwezi kuna matangazo ya udereva ajira portal kupitia halmashauri. Hata kama una degree na bado hujaupload Jitahidi sana utumie udereva itakuwa rahisi sana kwako kuingia kwenye system na kupata check Number
  7. V

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya ajira portal

    Kuna wakati Changamoto kv Kusahau password Kusahau email Kutengeneza akaunti Kuomba kazi nk umeshindwa kuzitatua? Tuwasiliane kwa 0792715343 nikusaidie
  8. Fifteen

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujaza profession qualification ajira porta

    Habari wakuu, Ajira portal Kuna sehemu ya kujaza professional qualification lakini Kwa upande wa engineering graduate anapewa namba tu wakatu ajira portal inataka certificate hapa natakiwa kufanyaje?
  9. Matendo Andrew

    JamiiForums Tanzania Innovation portal ya TRA

    Wananzengo poleni kwa kazi na mawazo yasiyo na majibu waliofanikiwa ku submit wazo bunifu je! Kwako lomedikia wapi? Mimi naona bado lipo kwenye sijui screened
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Portal kuna changamoto ya kubadili Sifa za Elimu

    Hongera team ya JamiiForums kwa kazi kubwa mnafanya kuhabarisha umma na jamii zote ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania. Ninayokero ambayo inahusiana na Sekretiati ya Ajira kwa maana ya Ajira Portal . Tunapendezwa na huduma zinatolewa na Ajira Portal lakini kuna sehemu ndogo ambayo tunaomba...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kurudosha email au username ajira portal

    1. Wapigie utumishi au fika kwenye ofisi zao 2.Jaribu kureset password kwa email unayoikumbuka kwa kuiedit 3.hii ya tatu ni mwisho na wengi hamuijui lakini ukitaka nikwambie tuwasiliane personally kwasababu siyo wote mtaitumia vizuri.Naandika ivi kwasababu kuna watu wenye biashara zao huwa...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuta qualifications ajira portal

    KWENYE mfumo kwa upande wa elimu ya chuo NK hasa kuna sehemu imeandkwa REQUEST REMOVAL use it kama uliweka qualifications wrongly
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Ajira Portal imeondoa option ya kufuta vyeti vyenye makosa?

    Ninaomba kupata ufafanuzi kuhusu mfumo wa Ajira Portal. Kwenye mfumo huo, kuna cheti nilichoweka lakini kina makosa, na ninahitaji kukifuta ili niweke taarifa sahihi. Hata hivyo, nimegundua kuwa hakuna tena option ya kufuta cheti kilichowekwa kimakosa. Naomba kufahamu sababu ya kuondolewa kwa...
  14. sepema

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada Ajira portal

    salaam wakuu. Nimefungua akaunti ya ajira portal tangu mwaka jana, taarifa zote muhimu(CV)nimeweka na imekamilika kwa asilimia 98. Changamoto nipale ninapotaka ku apply nafasi za kazi inaniandikia *Failed" na maneno flani chini yake. Kuna mtaalamu nilimshirikisha akadai inatokana na mimi kuwa...
  15. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu namba ya kushusha cheti ajira Portal anielekeze jamani

    nashindwa kuomba kazi kutokana na kikwazo Cha cheti kimojawapo kwenye account yangu ya ajira Portal.Maana Kila ninapotaka kuomba kazi nakosa sifa kutokana na cheti kimojawapo kilichopo kwenye account ya ajira Portal. NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kazi za Afisa Ardhi daraja la II zimetangazwa na degree ya Sheria imetajwa kama moja taaluma zinazohitajika lakini kwenye Ajira Portal huwezi omba

  17. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi nyingi za kazi mpya ajira portal usiache kuomba

    Ukipata changamoto ya kuomba kama kusahau password, email nk tuwasiliane kwa 0792715343
  18. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi nyingi za kazi ajira portal kwa kada za elimu,uongozi nk usiache kuomba

    Kama una changamoto kama kusahau password, kusahau email nk tuwasiliane kwa 0792715343
  19. V

    JamiiForums Tanzania Ajira nyingi ajira portal omba sasa

  20. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Natatuaje hili tatizo la kuverify cheti cha CSE ajira portal

    Ni siku na masaa kadhaa sasa hii changamoto bado inaendea sana na nimejaribu kuwatumia email ila bado hakuna majibu kabisa.. Wenye uzoefu ukitaka kuverify cheti cha form four unatokaje hapa kama utakumbana na mkasa huu.. angalia pichani.
Back
Top Bottom