uzalishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani

    Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025 kama ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM ilivyoelekeza. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  2. Ojuolegbha

    Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka

    Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka 2024, likitoa fursa za ajira na viwanda vya kuchakata samaki kuongeza uzalishaji. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  3. Mejasoko

    Ufugaji wa samaki unachangia kustawi na kuongezea uzalishaji wa mpunga

    Nchini Indonesia, mbinu ya kale hutumiwa ambayo inachanganya mashamba ya mpunga na mabwawa ya samaki. Samaki husaidia kudhibiti wadudu kwa kuwala wadudu hao na kuchangia kurutubisha udongo kwa uchafu wao, ambayo huboresha oksijeni ya shamba na kuongeza uzalishaji kwa 10%. Tangu 2015, mbinu...
  4. GoldDhahabu

    Kama China na Dubai zingesimamisha uzalishaji, ni wapi pangekuwa kimbilio la wafanyabiashara wa Tanzania?

    Nalenga kupanua wigo wa kufikiri! Ni wapi bidhaa za bei rahisi zinapatikana tofauti na China & Dubai? Vipi Thailand? Nasikia Pakistan nako kuna bidhaa bora na za bei rahisi hata kuzidi Dubai na China! Kuna mwenye uzoefu wa hizo nchi? 🙏🙏🙏
  5. Ojuolegbha

    Serikali kwa kushirikana na Sekta Binafsi imendelea kuimarisha uzalishaji wa ndani wa mbegu bora za mazao ambao umeongezeka kutoka tani 42,096.68

    Serikali kwa kushirikana na sekta binafsi imendelea kuimarisha uzalishaji wa ndani wa mbegu bora za mazao ambao umeongezeka kutoka tani 42,096.68 msimu wa 2022/2023 hadi kufikia tani 56,114 msimu wa 2023/2024. Makadirio ya mahitaji ya mbegu hizo nchini kwa msimu wa 2024/2025 ni tani 80,000...
  6. Mhaya

    Tanzania inazidi kudidimia katika soko la Viwanda vya Uzalishaji, China, Ulaya & Marekani wakigombea umwinyi wa Afrika

    Zamani tulishuhudia Afrika ikiwa kwenye Makwapa ya mataifa ya Ulaya na Amerika Leo China imeongeza kwapa lake . Tanzania na Afrika imejisalimisha Rasmi na imekubali nguvu zake za uchumi ikabidhi kwa Wachina, YeboYebo na makobazi yanayouzwa kama njugu barabarani hayatengenezwi Dar es Salaam...
  7. ward41

    Uzalishaji wa Mafuta Duniani, bado USA kaziacha by Far nchi za Gulf States

    Watu wengi wamejidanganya Sana eti Marekani anaiba mafuta Uarabuni bila kujua Marekani ni kinara wa Uzalishaji wa crude oil duniani USA anazalisha pipa million 21 kwa siku na kumuacha Saudi Arabia, Russia kwa mbali Sana. Bado USA ni kinara kwenye Uzalishaji wa gesi duniani. Ukijumlisha na...
  8. Roving Journalist

    Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Nyamo-Hanga: Mashine tano Mradi wa JNHPP zimekamilika kwa 100% na zimeanza uzalishaji wa umeme

    Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Desemba 19, 2024 umetembelea Mradi wa Kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere kujionea kasi ya maendeleo ya ujenzi unavyoendelea na kuweka mkazo kwa wasimamizi kuhakikisha usimikaji wa mashine nne zilizobakia unafanyika ipasavyo ili umeme...
  9. Ojuolegbha

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024. Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji...
  10. G

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo umeongezeka kwa kiasi kikubwa Tanzania chini ya serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024. Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji ya...
  11. ward41

    MAKAMPUNI YANAYOONGOZA KWA UZALISHAJI WA SILAHA DUNIANI

    Eti MTU Anaota kuanguka kwa Marekani. Wake up from the Slamber
  12. Roving Journalist

    Dkt. Biteko: Kutumia umeme bila ufanisi kunaongeza mzigo kwenye uzalishaji wa umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa suala la matumizi Bora ya Nishati linapaswa kuwepo kwenye mipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuwezesha nchi hizo kutumia umeme kwa ufanisi na hivyo...
  13. happyxxx

    Biashara nzuri ya uzalishaji isiyo ya umachinga

    Wataalam wa business naombeni ushauri wenu kwa hapa Dar es Salaam ni biashara gani nzuri ya uzalishaji naweza ifanya yani niwe mzalishaji bidhaa sio kuchuuza. Niliwaza kutenengeza pedi lakini naona mtaji wake utanishinda inabidi mzigo kuagiza utengenezwe China pia nikisema nizalishe hapa hapa...
  14. DaudiAiko

    Kujitegemea kwenye uzalishaji ni jambo muhimu katika ukuaji wa uchumi wowote

    Wanabodi, Kupokea na kuuza nje bidhaa mbalimbali ni jambo la muhimu na la kawaida katika nchi yoyote. Kulingana na uhitaji wa bidhaa mbali mbali au mahusiano kati ya nchi moja na zingine, bidhaa huingizwa kukidhi mahitaji haya au huuzwa nje ya nchi kuiingizia serikali na makampuni husika...
  15. Roving Journalist

    Naibu Waziri: Mahitaji ya Maji Dodoma ni Lita Milioni 149, uzalishaji ni Lita Milioni 79

    Naibu Waziri wa Wizaya ya Maji, Mhandisi Kundo Mathew amesema moja ya changamoto ya uhaba wa maji iliyopo Jijini Dodoma ni kuwa uhitaji wa huduma hiyo ni Lita Milioni 149 kwa siku wakati uzalishaji ni Lita Milioni 79 sawa na Asilimia 52. Amesema Serikali ina mpango wa kuongeza visima maeneo...
  16. Roving Journalist

    Waziri Shamata Shaame Khamis: Uzalishaji wa nyama ya kuku Nchini ni tani 1,161 na Mahitaji ni takriban tani 24,567 kwa mwaka

    Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, wadau wa maendeleo, sekta binafsi, na wawekezaji ili kuleta mageuzi ya haraka katika tasnia hiyo ikiwa ni pamoja na kuanzisha programu za pamoja za utafiki...
  17. X

    Boeing imepata hasara kubwa, yaamua kupunguza wafanyakazi 17,000 na kusimamisha uzalishaji wa baadhi ya matoleo ya ndege zake

    Oct, 11, 2024 "Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha." —Kelly Ortberg (Boeing CEO) Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni sawa na 10% ya wafanyakazi wote. Na hii itaathiri wafanyakazi katika ngazi zote kuanzia executives...
  18. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde Ageuka Mbogo; Ataka Mradi wa Dhahabu Magambazi Uanze Uzalishaji Mkubwa

    WAZIRI MAVUNDE AGEUKA MBOGO; ATAKA MRADI WA DHAHABU MAGAMBAZI UANZE UZALISHAJI MKUBWA -Awataka wamiliki wa leseni kufuata masharti kwa mujibu wa Sheria*, -Awapa mpaka 1 Septemba 2024 kujibu hoja za matakwa ya kisheria -Mgodi una wastani wa Wakia 700,000 -Wananchi wa Handeni-Tanga waishukuru...
  19. kavulata

    Tutumie fursa ya vita vya Magharibi kuzalisha na kuwauzia bidhaa zaidi

    Kutumia fursa ni elimu, kipaji au hulka ya mtu?. Wazungu wote sasa hivi wanapingana wenyewe kwa wenyewe hali inayopungaza uzalishaji na masoko yao kiuchumi. Lakini Ni ajabu kubwa kuona waafrika badala ya kutumia fursa hii kuungana na kuzalisha, kuuziana na kuwauzia wazungu tunawaza kutekana...
Back
Top Bottom