mama yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli kwa mambo yanavyoenda Baba au Mama yako anaweza shindwa kuwa Rais wa Tanzania? Kwa kigezo cha Uwezo wa Tuliyenaye sasa

    Tuwe wakweli kabisa Je Mzazi wako kama akipimwa na Samia Suluhu Hassan kwa mizania 1. Uzalendo 2. Elimu hata kama si degree 3. Maamuzi yenye busara kutoumiza watu 4. Uelewa wa Mambo ya Jamii Je mzazi wako anaweza shindwa iongoza Tanzania kama Rais? Maana zamNi cheo cha Urais was a...
  2. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Ukipewa mke kama mama yako mzazi, utafurahi? Au ukipewa mume kama baba yako mzazi, utashukuru?

    Kwa wengi wetu mahusiano ya kwanza kuyaona na kuyaishi ni yale ya wazazi wetu. Je, ukipewa mwenza ambaye anafanana kitabia, kiakili, kiuchumi n.k na mzazi wako utafurahi? Kama jibu ni ndiyo, kwanini? Kama jibu ni hapana, ungependa awe tofauti kwa namna gani? Asante na siku njema!
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Sio vibaya kutumia Tsh 2,000,000/= kutoka kwenye akiba yako kumfurahisha mama yako kwenye hii siku yake

    Post za watsapp status, Insta, Facebook na X hazitoshi. Chomoa angalau 2m toka kwenye akiba yako mfurahishe mama. Spoil her Happy mother's day
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mama yako ndiye nabii nambari 1 kwako

    Mama yako ndiye anajua hatma yako tangu ukiwa tumboni au ukiwa mtoto mchanga. Kuna jambo anaweza kuongea kama masihara vile, wewe haupaswi kulipokea kama masihara. Mama yako akimwona mchumba wako tu anajua kuwa umepigwa au penyewe sema tu wamama huwa na tabia ya kupuuzia. Msikilize mama yako kijana
  5. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Usimchukie baba yako hujui sababu gani ilipelekea akaachana na mama yako

    USIMCHUKIE BABA YAKO HUJUI SABABU GANI ILIPELEKEA AKAACHANA NA MAMA YAKO. Chukua hizi busara zitunze kwenye moyo wako na uzitumie, zitaweza kukusaidia katika safari yako ya maisha. Ni kawaida sana kuona watoto wengi waliolelewa na mama au ndugu wa upande wa mama kukosa mapenzi kwa baba zao...
  6. 4

    JamiiForums Tanzania Makonda usitishe watu hapa , hii nchi sio ya baba yako au mama yako ,chunga kauli zako

    Wana Mungu jf ,amani ya Bwana ikawe juu yenu. Nyie mliopata viti kwa hila , sio mda wa kuleta drama ambazo hazina msingi, bila kujali wewe ni nani utakufa kwa mateso makubwa sana , leo ati mtu yupo pale kwa hila alafu unajitutumua , Taifa lazima lishinde kwa hila za kipuuzi ,tueshimiane , hili...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Umepata mapesa mengi kupitia mama yako ila umekuwa wa kujificha sana mpaka kwenye mitandao

    Hakuna ulichokosa tokea mama yako kawa raisi. Kwa kutajwa tajwa kwako kila matukio yanayoendelea hapa. Umekuwa wa kujificha sana yani kama umejifungia mwenyewe uhuru wako. Hata ukaenda kuishi nchi za nje kumbuka kuna watu wanandugu zao uliowafanyia mabaya wewe na mama yako
  8. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mama yako mzazi ukimkosea, kwa hasira akavua nguo(kumwaga radhi) mtoto unakuwa kichaa?

    Kila mara huwa nagombana na mama kwa sababu hatuendani kitabia. Ana maudhi sana. Hajui kuongoza familia. Anapenda taarabu tu, matokeo yake amekuwa mtu wa vijembe. Sasa kuna washkaji wameniomya, kuwa mama yangu akivua nguo mimi nakuwa kichaa hapo hapo. Eti kweli? Nijibuni swali tu, umri wangu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mama mzazi ni mdogo kuliko mume wa binti yake

    Nimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu. Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki na Harmonize jifunzeni kwa Diamond jinsi ya kutunza ndugu zenu. Miaka yote ulimficha mama yako sababu amechakaa

    Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki. Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa. Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mdogo utaamin kwa 35% mambo ambayo baba yako analalamika kuhusu mama yako, ukisha pevuka utayaamini kwa 45% na ukisha utayaamini kwa 88%

    Kuna wakati utamsjudu baba baadae utamchukia then baadae unaishia kumuenzi. Hii ndio cycle ya kijana wa kiume katika uhusiano wake na baba yake ambao kwa asilimia kubwa utaathiriwa na mama yake. Maan mama ndio sikio ya mtoto wa kiume Ila ukisha oa, dunia yako inasambaratika vipande na kuanza...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho umemtafuta na kuongea na mama yako lini?

    Au hadi yeye ndio akutafute au akupigie na ukipigiwa unaanza kuwaza "anataka pesa huyu" au unaanza kuwaza kuwa atakuusumbua kukuliza maswali ya umeshapata mchumba? Kanisani/msikitini unaenda? etc Ebu jiulize kama tumeshapata visa vya laana ya mama ilivyo na nguvu vile vile ndani yake lazima...
  13. X

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee anayekutakia mema na uumzidi mafanikio ni baba na mama yako mzazi tu

    Ndugu na marafiki ni wanafiki tu siku ukifanikiwa ndio utaelewa au ukiwa umewazidi kimafanikio utaona jinsi walivyo kihalisi. Watajifanya kukupongeza kinafiki tu ila pembeni wanaumia sana. Baba ni mpambanaji mwenzetu kila siku atakupa mawazo ya kukujenga. Na huwa anafurahi sana kuona watoto...
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu

    Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu. Wasaniii mjitafakari Sana
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hapa kwa Kumjengea Nyumba Mama yako ili aishi na siyo Waishi sote na Baba yako umechemka vibaya mno

    Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtumie mama yako pesa, acha kuwapa pesa matajiri wanaoitwa wachungaji, mitume na manabii

    Pesa anayepaswa kusaidiwa ni maskini pekee. Mtu ana range kali New model unampa pesa ili akuwekee mkono kichwani. Madness Mtumie pesa mama yako, hakatai pesa kwakuwa ni ndogo, elfu 5, 10, 50, laki , millioni ukimtumia anafurahi na ombi lake la sekunde 30 mbele za Mungu juu yako lina nguvu...
  17. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mama yako na Mke wako nani anastahili kukaa siti ya mbele ya Gari yako mnapotoka wote kwa pamoja?

    Wakuu naomba ufafanuzi katika hili. Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma. Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma. Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kukosana na Mama yako na shangazi zako jaribu kuoa single mother utajua haujui.

    Wamama na shangazi ukitaka wakutamkie kila Aina ya laana jaribu kuoa au kuwa na mahusiano na Single-Mother.
  19. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukimtumia mwanamke wako hela akahoji kua ni kidogo pasi na kushukuru rudisha huo muhamala mtumie mama yako

    Ndugu zangu salaam sana Katika harakati za dunia tunafahamu fika jukumu la mwanaume ni kutawala, kutunza na kuongoza kile kilicho mali yake ikiwemo mwanamke wake Kupitia jukumu hili kubwa wanaume tulilopewa wanawake wamegeuka kuwa chuma ulete na wanyonyaji kupita kiasi kwa wanaume kwa kivuli...
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kabla hujatukana, kudhalilisha au kushuku wanawake, huwa unajua kuwa na mama yako ni mwanamke?

    Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo. Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu. 1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke? 2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa...
Back
Top Bottom