tathmini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI NA TATHMINI: FINAL SUBMISSIONS ZA TUNDU LISSU NA JAMHURI KATIKA KESI YA UHAINI | Treason case no. 19605 / 2025

    Uzi huu unaendelea na uchambuzi wa Final Submission katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Antipas Lissu. Katika sehemu ya kwanza, nilichambua hoja zilizotolewa na Tundu Lissu katika utetezi wake mwenyewe. [ Gusa maandiahi haya kwa kusoma Bandiko hilo ] Sasa, baada ya upande wa Jamhuri...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Je hili linawezena ,kwa tathmini yako ni baada ya mda gani. ( AI)

    Mijadara ni mingi hebu cheki hii
  3. H

    JamiiForums Tanzania nimemuelekeza Waziri wa Tamisheni kuanzia sasa wafanye tathmini: maeneo yote ambayo yana majengo yanayofaa

    Katika ujenzi wa madarasa, nimemuelekeza Waziri wa Tamisheni kuanzia sasa wafanye tathmini: maeneo yote ambayo yana majengo yanayofaa kufunikwa kwa kumalizia majengo ambayo yamejengwa kwa nguvu za wananchi, wasianzishe ujenzi wa majengo ya aina hiyo hiyo mapya. Fedha hiyo iende kutekeleza...
  4. C

    JamiiForums Tanzania EPL Matchday – Uchambuzi na tathmini

    EPL MATCHDAY – UCHAMBUZI & TATHMINI Karibuni kwenye thread maalum ya English Premier League, ambapo tutakuwa tukifuatilia na kuchambua kinachoendelea ndani na nje ya uwanja. Hapa hatutaangalia scoreline pekee. Tutajaribu kuelewa kwa nini matokeo yametokea na yana maana gani kwa safari ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Lupita: Tathmini ya kisheria na onyo la kinabii la Nyerere na Ndugai kuhusu ‘kuuzwa’ kwa Taifa

    Utangulizi: Mtikisiko wa Kitaifa Juu ya Kumiliki Ardhi Sakata la hivi karibuni la kutangazwa "kuuzwa" kwa Kisiwa cha Lupita kilichopo Ziwa Tanganyika na bilionea wa Kimarekani, Tim Draper, limeibua mjadala mzito na hisia kali nchini Tanzania. Ingawa Wizara ya Ardhi ilifanya jitihada za haraka...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Wameanza kuwa wapole, 'tunafanya tathmini', mwachieni Lissu otherwise you face the consequences

    Zile tambo za, We are Sovereign State, na Who are You, zimeanza kupungua. Hakuna cha kufanya tathimini wala nini, mwachieni Lissu na mruhusu demokrasia iongoze nchi. But we warned you no any sovereign state is isolated in this world neither the United States, Russia, Iran nor China must comply...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Zoezi rasmi la tathmini upanuzi wa barabara ya Kibaha - Morogoro litaanza Agosti 2026

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika "TANROADS ilipima makazi yetu kupitisha Barabara ya Njia Nne (Kibaha - Morogoro) mpaka sasa kimya, kama mradi haupo watuambie" TANROADS imeeleza "Zoezi la awali lililofanyika...
  8. A

    JamiiForums Tanzania HOJA WITO KWA TCU: KUTATHMINI UPYA UBORA WA ELIMU KATIKA BAADHI YA VYUO VIKUU VYA BINAFSI TANZANIA

    WITO KWA TCU: KUTATHMINI UPYA UBORA WA ELIMU KATIKA BAADHI YA VYUO VIKUU VYA BINAFSI TANZANIA Na Mdau wa Elimu ya Juu Tanzania Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika kupanua fursa za elimu ya juu. Serikali imeendelea kuongeza uwekezaji kupitia mikopo ya wanafunzi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania From the Pitch to the Pillars of Power: Evaluating the Mismatch of Media Scrutiny in Tanzania

    This critique originates from the deeply frustrated perspective of an ordinary citizen—a passionate observer who is tired of watching immense intellectual talent and public influence squandered on sports debates while vital national assets are bargained away in silence. Day after day, Tanzanians...
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania TASAC yaanza tathmini ya athari za bei ya mafuta kwa nauli za usafiri wa majini

    Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetangaza kuanza kwa tathmini ya athari za ongezeko la bei ya mafuta katika sekta ya usafiri wa majini, hatua inayolenga kubaini kama kuna haja ya kurekebisha nauli za abiria. Tathmini hii imechochewa na mabadiliko ya bei elekezi za mafuta yaliyoanza...
  11. verify

    JamiiForums Tanzania Tathmini za kina

    1: Je, kuna mtu aliyewahi kukupenda kwa dhati… lakini ulimpoteza kwa sababu zako? 2. Je, unaishi maisha unayotaka… au maisha unayolazimika kuishi? 3. Kama ungepewa nafasi ya kuanza maisha upya, ungechagua watu wale wale? 4. Ni ndoto ipi uliizika kimya kimya ili kuwafurahisha wengine? 5. Je...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  13. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Majukumu ya Msingi ya JWTZ: Tathmini za Shughuli Wanazozifanya Sasa Mitaani

    Majukumu haya ya msingi ya JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu na usalama wa raia. Lakini, ni vyema tujitahidi kutafakari kwa undani kuhusu utekelezaji wake katika mazingira ya sasa. Hebu tuangalie kila kipengele kimoja kimoja: 1. Kulinda...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tathmini na tafsiri ya uteuzi wa Baraza la mawaziri

    1. Waziri mkuu Mwigulu Nchemba Huyu amewekwa kufanya propaganda za utamaduni wa Magufuli ili wananchi wawe na Imani na Serikali Hapa tutarajie ziara za kushitukiza na tumbua tumbua nyingi 2 Wizara ya Afya Mchengerwa Huyo kifua kipana ameweka hapo ili kuthibiti habari za vifo na maiti za...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia: Iundwe wizara ya tathmini, ufuatiliaji na udhibiti ubora na iwe Chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    Kwako Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Awali ya yote natanguliza shukrani kwa Mwenyezi Mungu kutujalia afya njema na kutoa pole nyingi kwa wote waliopoteza Ndugu, jamaa na marafiki kutokana na maandamano. Mwenyeji Mungu aendelee kulijalia amani ya kutosha. Ni heshima kubwa kukufishia...
  16. Baraza la Famasi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya Huduma za Baraza la Famasi kwa Mwaka 2024/25

    Tunaomba ujaze dodoso ili tupate maoni kwa ajili ya kuboresha huduma zinazotolewa na Baraza.
  17. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Haki ya Wananchi Kukosoa, Kudai Mabadiliko na Kukataa Uchaguzi Usio Huru: Tathmini ya Kikatiba na Kisheria kwa Mustakabali wa Taifa

    Leo tunapaswa kujitafakari kwa kina kama taifa. Kuna hali ya kuogopa, kujishusha, na kujiaminisha kuwa sisi wananchi hatuna mamlaka ya kusema lolote kuhusu hatma ya taifa letu. Tumejenga tabia ya kuwaona watawala kama miungu wasiogusika, tukasahau kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
  18. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  19. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye anajua mbao hiki kitanda ni Cha mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa tathmini ya Maumivu kwa Iran vs Israel. Hawa Mayahudi hawafai kabisa

    Hali ya sasa nchini Iran imekuwa ya kukaushwa sana, kufuatia mashambulizi makubwa ya Israeli yaliyofanyika tarehe 13 Juni 2025. Hapa ni muhtasari wa hali: Mapigano na Uharibifu Mashambulizi ya Israeli: Operesheni iliyopewa jina la “Rising Lion” iliwashirikisha ndege za kivita zaidi ya 200...
Back
Top Bottom