Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Lynn Chawala amesema ufaulu na mfumo wa upangaji wa matokeo ni miongoni mwa vigezo vinavyozingatiwa katika mchakato wa ajira, huku uteuzi ukitegemea pia mahitaji ya taasisi husika.
Amesema mfumo hupanga waombaji...
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetoa tangazo rasmi likiwataka waombaji wote wa ajira mpya serikalini kurekebisha taarifa zao kwenye mfumo wa Ajira Portal kufuatia maboresho makubwa yaliyofanyika.
Hatua hii inalenga kuhakikisha waombaji wote wanakidhi vigezo vilivyowekwa wakati...
Salaaam! Kuna dogo aliomba kazi kupitia ajira portal.Anadai hakuwa kwenye mazingira mazuri hivyo akashindwa kupata kinachoendelea kwenye akaunti yake.Jana kachungulia kakuta kapangiwa kituo cha kazi tangu mwezi Augost. Mnaweza kushaurije kwenye hili wakuu?
Kumekuwa na changamoto katika mfumo wa Ajira Portal, ambapo baada ya kupita mwaka mmoja, taarifa za mtu aliyefanya usaili na kufaulu huonekana kuwa zime-expire.
Hali hii imekuwa changamoto kwa vijana wanaotafuta ajira, kwani mtu anaweza kufaulu usaili wa awali lakini baadaye akashindwa usaili...
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imefanya maboresho katika mfumo wa Ajira Portal kuwezesha upatikanaji wa taarifa za matokeo ya usaili wa mahojiano ya ana kwa ana (Oral interview.)
Wale waliofaulu na kuhifadhiwa kwenye Databank wamepata status za “Passed and stored...
Kwa watakaopata changamoto za kuomba kazi kama kusahau password,email, nk tuwasiliane kwa 0 792 715 343 au 0623446608(Whatsapp na kawaida)
Hizo ni baadhi tu
Kila mwezi kuna matangazo ya udereva ajira portal kupitia halmashauri.
Hata kama una degree na bado hujaupload Jitahidi sana utumie udereva itakuwa rahisi sana kwako kuingia kwenye system na kupata check Number
Kuna wakati Changamoto kv
Kusahau password
Kusahau email
Kutengeneza akaunti
Kuomba kazi nk umeshindwa kuzitatua?
Tuwasiliane kwa 0792715343 nikusaidie
Habari wakuu,
Ajira portal Kuna sehemu ya kujaza professional qualification lakini Kwa upande wa engineering graduate anapewa namba tu wakatu ajira portal inataka certificate hapa natakiwa kufanyaje?
Hongera team ya JamiiForums kwa kazi kubwa mnafanya kuhabarisha umma na jamii zote ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania.
Ninayokero ambayo inahusiana na Sekretiati ya Ajira kwa maana ya Ajira Portal . Tunapendezwa na huduma zinatolewa na Ajira Portal lakini kuna sehemu ndogo ambayo tunaomba...
Anonymous
Thread
ajiraajiraportal
changamoto
elimu
kubadili
portal
sifa
1. Wapigie utumishi au fika kwenye ofisi zao
2.Jaribu kureset password kwa email unayoikumbuka kwa kuiedit
3.hii ya tatu ni mwisho na wengi hamuijui lakini ukitaka nikwambie tuwasiliane personally kwasababu siyo wote mtaitumia vizuri.Naandika ivi kwasababu kuna watu wenye biashara zao huwa...
Ninaomba kupata ufafanuzi kuhusu mfumo wa Ajira Portal. Kwenye mfumo huo, kuna cheti nilichoweka lakini kina makosa, na ninahitaji kukifuta ili niweke taarifa sahihi.
Hata hivyo, nimegundua kuwa hakuna tena option ya kufuta cheti kilichowekwa kimakosa. Naomba kufahamu sababu ya kuondolewa kwa...
salaam wakuu. Nimefungua akaunti ya ajira portal tangu mwaka jana, taarifa zote muhimu(CV)nimeweka na imekamilika kwa asilimia 98. Changamoto nipale ninapotaka ku apply nafasi za kazi inaniandikia *Failed" na maneno flani chini yake. Kuna mtaalamu nilimshirikisha akadai inatokana na mimi kuwa...
nashindwa kuomba kazi kutokana na kikwazo Cha cheti kimojawapo kwenye account yangu ya ajira Portal.Maana Kila ninapotaka kuomba kazi nakosa sifa kutokana na cheti kimojawapo kilichopo kwenye account ya ajira Portal.
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU
Ni siku na masaa kadhaa sasa hii changamoto bado inaendea sana na nimejaribu kuwatumia email ila bado hakuna majibu kabisa..
Wenye uzoefu ukitaka kuverify cheti cha form four unatokaje hapa kama utakumbana na mkasa huu.. angalia pichani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.