Rais William Ruto alikumbana na swali la Mwanahabari kuhusu madai ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusu madini ya niobium na rare earth yaliyopo Mrima Hills, huko kaunti ya Kwale. Badala ya kujibu moja kwa moja madai hayo, Ruto alimkatiza mwanahabari huyo na kusema:
“Usiniletee maneno...
Yes nimejiona mjinga, nimeenda manyoni hapo kwenye mnada wa mbuzi nilichokiona mbuzi walikua bei juu sana, mbuzi mdogo sana alianza bei ya 70,000/= mpaka 300,000/= nimeshangaa kweli, kwasababu tunapokuwa mjini vijana tunawaza mambo makubwa sana, tunawaza biashara, skills, ufundi n.k mfano...
Uislam ni Dini iloanzishwa na Ukatoliki !!.
TUNAJUA , Mpumbavu alipata MADARAKA, Jambo la kwanza ni kúanzisha vita na wenye Akili ili kuwadhoofisha.
Hatua nyingine ,Huwa ni Kuwaita Wapumbavu wenzie na kuwaleta karibu.
Mambo hayo mawili , huleta Anguko la TAASISI/NCHI.
Endeleeni kumtuma...
Nimesikiliza video za hawa vijana ambao ndio wanaomaliza mafunzo ya JKT wakiongelea kuhusu mtu atakaendamana atatolewa haja kubwa, au atoe Shs 20,000 nk.
Imenisikitisha sana.
Japo watu wanasema vijana hao ni mihemuko yao bonafsi, sikubali hilo hata kidogo. Haiwezekani vjana wote hao, wa kike...
Dini biashara yenye faida kubwa sana nje ya teknolojia, mafuta na madawa ya kulevya
Wanafaika ni viongozi wa dini na kondoo ndo wateja wazuri na wakubwa
Zinduka bado hujachelewa
Taikuni la kuwastua wanaotapeliwa kiimani hasa wakristo Kubwa la Maadui
Watanzania sasa mpaka dira za uongo tu. Hebu tujiulize kwa utaratibu wa sasa serikali yenyewe haifuati sheria, hakuna uwajibikaji na viongozi wala rushwa hivi . Kwa katiba hii na mifumo hii Dira ni kama vichekesho tu. Kila mwenye akili anajua ni kujidanganya tu kwa huyu Mama na kupenda kusifiwa...
Katika Makosa aloyafanya Magufuli, ni kukubali Kikwete kumchomekea huyu aliyefeli Darasa la Saba, akarudia rudiaz Kumaliza Kidato cha Nne tu ilikua ni vita patashika Nguo kuchanika ambaye Mwisho akaishia kusoma ELIMU za Mambo mbalimbali
Kitu linateka, Linauma watu, Limemfunga Lissu bila sababu...
Nawasalimu wote. Habari ya wakati huu?!. Moja kwa moja kwenye mada.
Ujinga sio tusi, bali ni hali anayoweza kuwa nayo mtu yeyote, wakati wowote.
Ukiambiwa wewe ni mjinga usilaumu kua umetukanwa bali jitafakari.
Mohamed Dewji (Mo) aliwahi kusema "unaweza kua mjinga kwa kufikiri ujinga."...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa siku za hivi karibuni Rais Samia amekuwa akisemwa na kuchorwa sana na lawama zote kupewa yeye kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi, wakati rais alifanya kazi kubwa ya kikatiba...
Hamjambo!
Mbowe hata awe na hasira kiasi gani. Bado hawezi kuukata mtoto WA mwanaye kisa ameunyea.
CHADEMA ni moja ya Mambo ambayo yamempa heshima Freeman Mbowe.
Mwenyekiti Mbowe ametumia ujana wake wote kuikuza na kuieneza CHADEMA hapa Tanzania.
Asilimia tisini ya watu hapa Tanzania na...
Katika jamii yetu kuna tabia ya watu kujiona wakubwa kwa sababu wanashinda wale walio dhaifu kuliko wao.
Msemo huu unatukumbusha kuwa ushindi wenye maana hupatikana unaposhindana na watu wenye uwezo sawa na wako, siyo unapomponda mtu aliyeshindwa tayari.
Katika maisha ya kila siku tunaona...
Eti sababu ya pesa zako unaenda kununua nyumba JIRANI ya uwanja wa meja isamuyo unaifanya sehem ya kubadilishia nguo. SIJAWAHI kuona upumbavu mkubwa kama huu duniani.
TFF sio wajinga kuweka sheria, zilizotungwa na kusimamiwa na FIFA kua vyumba vya kubadilishia nguo ni ndani ya uwanja na...
Mjinga anatakiwa apuuzwe...
Unakuta mtu anajibizana na fool na kurushiana matusi hadharani..sasa hapo wote tutawaona wajinga.
#A fool is fool never change.
This kid kila siku nikimuangalia nabaki mdomo wazi tu the way he is toying defenders
Vission + composure 💯
Akiamua kuchukua kijiji anachukua vizuri skills yupo 🔥
Anaponichosha anaweza piga pass hatari akiwa sehemu yoyote ya uwanja
Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena.
Lazima tujiulize mpaka sasa ni wangapi wametekwa ni wangapi wame uwawa kikatili ni wangapi wamenyimwa haki zao, ni wangapi wapo gerezani kwa kesi...
Kuna kitu nimejiuliza huyu mtu yeye kwenye maandamano hakuwepo alikua nje eti anaibuka anasema wanaume wanaogopa kujipambania nchi hivi huyu bwege anajua kwenye maandamano ground asilimia g5% walikua wanaume yaani hatumii akili hivi huyu mtu mzima kweli halafu kwingine anasema tuende Kwa amani...
Huyu Jamaa nasikilizaga live za bunge la wananchi TikTok Kila siku kuanzia saa mbili usiku kusema kweli hastahili kuongoza live sababu anakejeli hasira za ajabu yaani anajiona kama mungu mtu Kisa lipo ulaya halafu likataka kuendesha watu ambao watakua ground Cha ajabu anajiita gen z halafu...
Padre Prosper Kessy (OFM Cap) kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha video akieleza ni kwa namna gani mtu mjinga anapenda kumshauri mtu mwenye hekima.
"Mtu mjinga akikaa kimya katikati ya watu wenye hekima na yeye huoenekana ana hekima, lakini akifungua mdomo tu amejitambulisha mwenyewe".
Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi.
JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.