muongozo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Serikali kuja na Muongozo wa malipo kwa Wanaojitolea

    Serikali imesema inakuja na muongozo wa wanaojitolea kufanya kazi kwenye taasisi mbalimbali utakaoangalia ni kwa namna gani wanaweza kulipwa. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene katika kipindi cha maswali na...
  2. J

    Kwa waliowahi kufanya usaili wa IT Security huko ajira portal msaada wa muongozo

    Wakuu habari, Nimeitwa usaili wa IT Security hivyo nimekuja kuomba muongozo ikiwezekana possible za maswali. Kuna hatua tatu, usahili wa paper, practical na oral. Je nifanyaje niweze kufaulu? Natanguliza shukrani
  3. Mjanja M1

    Bodaboda anaomba Muongozo anahisi kuna Mazingaombwe

    Kuna Jamaa Nambebaga Kwenye Bodaboda kumpeleka Kazini daily Aliniambia Analipwa 500K Kajenga Na Ana Mke Na Watoto Wawili Anasomesha Bording Hivi Inawezekanaje?
  4. WeedLiquorz

    UALIMU: Muongozo kwa vyuo vinavyotoa kozi ya Ualimu (Arts) kwa ngazi ya Certificate na Diploma

    Salaam Wakuu, Kidato cha nne mwaka 2021 Kijana alipata Division Two ya Arts. Hakwenda kabisa Advance kwa sababu za kiafya hivyo sasa ameamua kwenda chuo kusoma ualimu. Kijana anataka kusoma DUCE au Mwalimu Nyerere (MNMA). Msaada: Ni utaratibu gani hutumika kufanya maombi ngazi...
  5. Wakili wa shetani

    Natafuta mtu anayesomea Kiswahili UDSM anipe muongozo

    Habari. Natafuta mtu anayesomea Shahada ya Kiswahili UDSM anipe msaada wa uchambuzi wa vitabu fulani vya Kiswahili. Ni Muhimu awe mwanafunzi maana kazi tutaifanyia chuoni. Naomba aniDM.
  6. Da'Vinci

    Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

    Salute, Kwa vijana wote specifically wa kiume waliozaliwa mwaka 1990s ambao wanataka kuingia maisha ya ndoa. Basi wajitatahidi sana kuzingatia mambo haya wakati wanapochagua wenzi wao wa maisha. ✔️Mwanamke awe anaishi kwao na wazazi wake , sio anaishi geroo ✔️Hakikisha huo mwanamke aliyekwisha...
  7. P

    Nipeni muongozo kaka, dada ,baba na mama zangu

    Mimi ni Kijana wa kitanzania nipo chuo mwaka wa tatu hapa Chuo kikuu Cha Sar es Salaam. Kutokana na tatizo la uhaba wa ajira nime develop wazo la biashara hili takapo maliza chakula; Wazo langu nataka nifungue kampuni ya chakula yaani itakayo kuwa inajihusisha na usambaji wa chakula cha...
  8. V

    Ipi ni siku ya kwanza ya juma? nimeambiwa ni Monday kwetu tunaita Jumatatu. Ukweli ni upi?

    Tumekuwa na kawaida Kila Jumalipi tunaenda kanisani kusali Kwa sisi Wakristo na tukisisitizwa kuwa ni siku ya Bwana; kuwa alipumzika siku ya Saba. Je lugha yetu inanichanganya maana nafahamu juma mosi ndio mwanzo wa wiki, jumapili ni siku ya pili and so on. Nimegoogle ipi ni siku ya kwanza ya...
  9. Wakuperuzi

    Muongozo unahitajika

    Salam salaam! Tieni neno wakuu namna ya kudili na huyu mwanamke niliyeishi nae km jirani yangu kwa muda wa mwaka hivi kabla hajahama na sikuwahi kuwa na mazoea nae zaidi ya salamu tu. Tatizo linaanza anampigia wife simu na kumpa taarifa zangu kuhusu mchepuko niliokuwa nao wakat wife hayupo, na...
  10. AFRICAN BOYI

    Naomba muongozo kwenye hili tafadhali.

    Wakuu natumai mko poa, Kuna jambo naomba mnipe muongozo tafadhali. Nimekuwa napenda Sana kwa siku nyingi kusukuma haya mabasi ya mikoani. Napenda sana kusukuma hizo chombo, naombeni muongozo nianzie wapi mpaka kufikia hatua ya kukabidhiwa chuma la mafasa marefu.
  11. David Harvey

    Hizi bei za mabati zinanichanganya, nipeni muongozo

    hawa ni ANDO g30 ni 18500 Hawa ni ALAF g28 ni 23,311 hawa ni sunshare g28 ni 24,100 . Swali:inakuwa vipi uyo wa kwanza bei yake ni ndogo hivyo tofauti na wenzake tena kwa geji hiyo hiyo .?
  12. chiembe

    Makonda kusuka au kunyoa: Kinana awataka watendaji wafuate muongozo wa Rais kwa kutodhalilisha watendaji hadharani

    Makonda sasa asuke au anyoe, Kinana ametoa kauli kwamba falsafa ya Rais Samia ni kufuata Katiba sheria na kanuni, na kwamba watendaji wasidhalilishwe na viongozi. Naiona falsafa ya makonda ya kudhalilisha ili apate umaarufu inagonga mwamba, je nini hatma yake? Atabadili gia angani na kwanza...
  13. fullcup

    Ni muda Sasa wa serikali kutoa muongozo kuhusu uhamisho wa Mbarali

    Ndugu wana jamvi nisicheleweshe muda. Mwaka Jana mwezi Novemba serikali ilitoa katazo la kufanya shughuli za kilimo Kwa maeneo kadhaa na kuidhinisha uhamisho wa baadhi ya vijiji. Mwezi Disemba waziri mkuu alifuta GN 28 na kufanya marekebisho ya maeneo ya kuhama na kufanya shughuli za kilimo...
  14. hermanthegreat

    Mliowahi kudate na wazungu, nipeni muongozo

    Kuna girl mmoja wa kizungu hapa, foreigner hajui hata Kiswahili, naona anaingia kwenye 18 zangu. Naombeni tips wakuu, vitu gani zaidi niepukane navyo ili nimnase mazima huyu mrembo. Natanguliza shukrani.
  15. cleokippo

    Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo Tanzania, mwenye kujua taratibu za kuishtaki kampuni tafadhali anipe muongozo

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20 Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato
  16. Execute

    Muongozo wa namna ya kwenda Israeli kuungana nao kuwapiga Hamas na wapalestina

    Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa. Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza na baada ya hapo west bank. Kuna utaratibu uliowekwa?
  17. Pascal Mayalla

    Hongera Rais Samia kwa Ph.D Nyingine ya Heshima, Akemee Kuitwa Dr? Kuna Haja TCU/MCT/Maelezo Kutoa Ufafanuzi/Muongozo kwa Media Kuita Watu Dr?

    Wanabodi, kama kawa, kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni pongezi kwa Rais Samia kwa kutunukiwa Ph.D nyingine ya heshima, Je wajua mtu kutunukiwa Ph.D ya heshima, hakumfanyi mtunukiwa kuitwa Dr. as an official title? Ila ni rukhsa kuitwa Dr...
Back
Top Bottom