legacy

In computing, a legacy system is an old method, technology, computer system, or application program, "of, relating to, or being a previous or outdated computer system," yet still in use. Often referencing a system as "legacy" means that it paved the way for the standards that would follow it. This can also imply that the system is out of date or in need of replacement.

View More On Wikipedia.org
  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliacha legacy ya kufuta watu uwakili soon itakuwa ni playbook/precedent

    Wakati wa utawala wa magufuli alifanya tukio la ajabu alimvua fatma karume uwakili sababu alikuwa muongeaji sana na mkosoaji sana Polepole akiwa sehemu ya serikali na leo hii anaonekana shujaa akusema chochote juu ya mawakili kuvuliwa uwakili na kushindwa kusimama mahakamani na wao kutafuta...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna legacy urathi mbaya alioacha Magufuli kama kutuletea hawa vinyamkera wa kukera.

    Vipo vingi hadi vinatia kinyaa. Pamoja na mengi mazuri aliyofanya, alikosea kwa kuumba na kuleta vinyamkera ambao wamegeuka kero katika taifa letu. Vinyamkera hawa wanakula kwa miguu na mikono tena bila kunawa. Hawashibi wala kuridhika. Ni viumbe hatari kuliko hata chawa wanayonya damu. Ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  4. Etwege

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Rais Samia ni ipi mpaka sasa?

    Rais Samia ameshakaa madarakani kwa zaidi ya miaka 5 kama Rais wa nchi yetu Tanzania hivyo ni jambo la busara kuanza kutahimini utendaji wake na kama kuna legacy yoyote atakayokumbukwa nayo siku hayupo madarakani.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uchawi anaoutumia mwanamke kukutawala(limbwata) -mshana jr legacy

    Mimi ni Mshana Jr derivative nipo hapa kukupa uchawi anaoutumia mwanamke kukumaliza. 1.Damu ya hedhi Mwanamke huchanganya kwenye chakula. Na mara tu baada ya kula utawala wa mwanaume unashuka kama CD4. Na hapa mwanaume hataona kosa lolote kwa mke wake na badala yake atagombana na ndugu na siyo...
  6. Rutashubanyuma

    JamiiForums Tanzania Kenneth Kaunda's powerful legacy proffers enduring lessons for CCM

    Chapter 1 The Righteous Shall Live Long: Zambia's Presidential Legacy, Biblical Wisdom, and Tanzania's Democratic Crossroads Abstract The political history of Zambia offers one of Africa's most compelling lessons on leadership, democratic transition, and political legacy. Kenneth Kaunda...
  7. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda West Nile Leaders Urge Government to Complete Gen Moses Ali’s Unfinished Legacy

    West Nile leaders have called on the government to preserve the legacy of former Second Deputy Prime Minister and long-serving Adjumani West Member of Parliament Gen (Rtd) Moses Ali by implementing key development projects and resolving long-standing challenges affecting the region. The call...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Legacy ya hayati JPM ni kwa Afrika nzima alikiwa mfano wa kuigwa kwa ajili ya Afrika. Angekuwepo taifa letu lisingepata mpasuko kama huu

    Nidhamu ya watumishi wa umma iliimalika. Wakafanya kazi kwa uadilifu na uzembe ukadhibitiwa. Wezi mali za umma kupitia miradi ya umma wakadhibitiwa. Mataifa yote ya Afrika yakatamani yawe na rais kama hayati JPM. Leo hii taifa letu lina mpasuko mkubwa. Ufisadi na nepotism linatajwa kuwa...
  9. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Legacy kuu za Mwalimu Nyerere: Mwiba mkali kooni mwa Watanganyika

    Mwenye macho haambiwi tazama. Haya ndiyo mambo makuu ambayo Mzee Nyerere aliiachia Tanzania na yamedumu hata baada ya yeye kuondoka, na kuna hatihati kwamba yataendelea kuwepo kwa muda zaidi hapa nchini. Ukweli mchungu ambao wafuasi wa Mzee Nyerere hawapendi kuukubali ni kwamba mambo haya yana...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yericko aelewe Adui wa CHADEMA ni adui wa MBOWE. CHADEMA ni moja ya Legacy ya Mbowe na sidhani mbowe ni Mjinga kiasi atake ife

    Hamjambo! Mbowe hata awe na hasira kiasi gani. Bado hawezi kuukata mtoto WA mwanaye kisa ameunyea. CHADEMA ni moja ya Mambo ambayo yamempa heshima Freeman Mbowe. Mwenyekiti Mbowe ametumia ujana wake wote kuikuza na kuieneza CHADEMA hapa Tanzania. Asilimia tisini ya watu hapa Tanzania na...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nikilazimika kununua Subaru, Nitaishi na Subaru Legacy Sedan. Sijui kwanini watu hawaielewi?

    Kila mtu na mapenzi yake. Naipenda sana Subaru Legacy, kasedan flani kakubwa kwa Imprezza, comfortable kuliko Imprezza, Tech zaidi na powerful kuliko Imprezza (engine size na horsepower)! Ila ndio ivyo, kipenda roho. Ila bad thing hii gari imekua discontinued 2024.
  12. K

    JamiiForums Tanzania The Cost of Truth: Examining the Persecution of Clergy and Political Opposition Through the Legacy of Archbishop Óscar Romero

    The targetting of vocal leaders of faith and political opposition reveals a chilling, historic pattern: the weaponisation of state apparatuses, paramilitary structures, and systemic violence to silence champions of human rights. Decades after the martyrdom of Archbishop Óscar Romero in El...
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Marais wa Tanzania ambao Hawajaacha Legacy Yoyote

    1. Ally Hassan Mwinyi 2. Jakaya Mrisho Kikwete 3. Samia Suluhu Hassan Ushauri: Kabla ya kumpa mtu kiti cha urais, apimwe IQ yake kwanza.
  14. Richard

    JamiiForums Tanzania Kwa kulinda “legacy” ya baba yako na heshima ya familia, Jesca Magufuli jifikirie upya kuhusu kujihusisha na CCM

    Jesca Magufuli ulifanya mahojiano na Millard Ayo na katika mahojiano hayo ulikiri kwamba familia nzima ya hayati John Magufuli haikufahamu alipo hadi siku ilipotangazwa na raisi Samia kwamba John Magufuli amefariki. Baadae tumeona na kusikia kwamba Jesca Magufuli umepitishwa kugombea nafasi za...
  15. Kiranga

    JamiiForums Tanzania Remembering Nyerere: Road to hell is paved with good intentions

    Remembering Nyerere: Road to hell is paved with good intentions By Charles Makalala Thursday, October 09, 2025 - 5 min read It’s that time of year again. The day we mark the passing of Tanzania’s founding father, Julius Kambarage Nyerere. Twenty-six years now. I remember the day he died...
  16. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Embodying Perennial Courage and Indelible Political Legacy Amidst Tyranny

    CHADEMA ni chama cha kishujaa, chama ambacho kitadumu milele duniani. Hii sio propaganda, ni historical inevitability. Spirit yake haiwezi kufutwa, haikatakaa kife. CCM, mnadhani kuzuia opposition ni strategy ya successful state? Kwa nini mnajiona mna-right ya ku-destroy chama kilicho imara...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wakati JPM akipondaponda demokrasia, hii ndiyo shughuli aliyokuwa akifanya Polepole, aliisahau katiba mpya, atakumbukwa kwa kusifia "vieitee"

    Alikuwa Katibu Mwenezi wa CCM aliyetumia muda mwingi kufanya mambo yasiyoeleweka. Alikuwa anakata mauno mbele ya watu, badala ya kuongelea wakulima, wafugaji au katiba mpya.
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai atakumbukwa kwa yapi zaidi kama legacy yake?

    Kila linapotajwa jina la Job Ndugai kwangu hunijia taswira ya spika mbabe aliyewanyoosha haswa wapinzani ndani ya bunge, mjivuni wa mamlaka ya dola, sakata la covid19 na bunge kupitisha sheria ya wenza wa viongozi kulipwa kwa sababu ya kuwa wake au waume wa viongozi. Zaidi sana ni bunge...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je ipi legacy ambayo ameacha Job Ndugai ambayo itakumbukwa vizazi na vizazi?

    Kufatia kifo cha Job Ndugai . Je ipi legacy ambayo ameacha Job Ndugai ambayo itakumbukwa vizazi na vizazi?.
  20. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Legacy Through Passion

Back
Top Bottom