wataalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BUSH BIN LADEN

    Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza?

    Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza? Itakuwaje na ile milima ya mawe? Pia soma Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133 Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa
  2. G-Mdadisi

    Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar yaongeza kasi ufuatiliaji marekebisho sheria za habari

    Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO) imekuwa mstari wa mbele katika jitihada za kufuatilia mchakato wa marekebisho ya sheria za habari ikiwemo sheria ya Utangazaji No. 7 ya 1997, ambayo ilifanyiwa marekebisho na sheria No. 1 ya 2010. Katika vikao mbalimbali ZAMECO ilitoa...
  3. chiembe

    Hayati Magufuli kukataa kufanya tathmini ya mazingira bwawa la Nyerere, sasa Rufiji inazama, serikali ifanye tathmini ya mazingira sasa

    Wakati watu wenye akili wakishauri mradi wa umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere ufanyiwe tathmini ya mazingira, genge la JPM lilikuwa linabeza huku likijivisha uzalendo mapepe kwamba mradi utachelewa. Sasa Rufiji iko hatarini kumezwa na maji. Maji hayo yanatokana na bwawa kujaa na mto kujaa, na...
  4. Suley2019

    Wataalamu na Waokozi wapewe kipaumbele zaidi kwenye majanga kuliko Mawaziri

    Salaam Kumekuwa na tabia za Viongozi wa kiasa nchini kwetu kujiweka mbele sana kwenye majanga kama mafuriko na mengine. Kwanza, ni matumizi mabaya ya pesa za umma viongozi wengi kujazana sehemu moja ya tukio jambo ambalo kiongozi mmoja anayehuaika anaweza kutangulia kusimamia eneo lake. Pili...
  5. L

    Wataalamu wa kigeni wapongeza mfumo wa demokrasia wa China, na kuutaja kuwa ni mfano wa nchi zinazoendelea

    Katika siku za karibuni kongamano hilo lililopewa jina la "Jukwaa la Tatu la Kimataifa la Demokrasia: Maadili ya Pamoja ya Binadamu," lilifanyika mjini Beijing. Lengo la kongamano hilo lilikuwa ni kuwaleta pamoja washiriki kutoka nchi za magharibi na nchi za kusini, kujadili kwa njia ya wazi...
  6. copyright

    Wataalamu wa ESS njooni mtumbue hili jipu kwa kutoa msaada

    Wakuu poleni na hongereni Kwa majukumu! Naomba msaada wenu hatua kwa hatua jinsi ya kuapprove request ya uhamisho kwenye mfumo wa ESS kwa supervisor. Mimi ni supervisor lakini nashindwa kupitisha ombi la mfanyakazi wangu hapa ofisini hivyo naomba mnisaidie kutumbua hili jipu kwa kunipa huo...
  7. Clark boots

    Wataalamu wa umeme wa Jua naomba tupeane ujuzi hapa

    Ety wakuu, kwa huu ufungaji/uunganishaji wa Solar panel, Betri na charging controller umekaa sawa..? 1. Kwenye picha namba 1 inaonesha maunganisho positive (+) nyaya za Betri, solar na taa. 2. Namba 2 kwenye picha inaonesha maunganisho ya negative (-) nyaya za Betri, Solar na taa 3. Namba 3...
  8. Mjanja M1

    Wataalamu wa English kuna shida yoyote hapa?

    "I was today years old when I found out Babu wa Kitaa na Country Boy ni mtu na kaka yake". Kumekuwa na mabishano kuwa hiyo sentence hapo juu ni sio sawa na wengine wanasema ipo sawa. Wajuzi miongozo yenu inahitajika.
  9. Swahili AI

    Wataalamu wengi wa manunuzi na ugavi ni wezi na wapigaji. Nipingeni kwa hoja

    Katika kada na kazi zinazoigharimu serikali kifedha ni hawa wataalamu wa manunuzi. Akili zao zipo kuwaza asilimia 10 kutoka kwa mzabuni. Hawa wanufaika ndio wanaoingiza serikali kwenye gharama kubwa sana ili hali wao wakiangalia matumbo.
  10. Quraish Hussein

    Maoni kuhusu uwekezaji katika Kampuni ya uzoaji takataka

    Ndugu Zangu Habarini Nina wazo la kufungua kampuni ya ukusanyaji na uzoaji taka ngumu katika sekta mabali mbali kama taasisi, mashule, majumbani nk. Lakini naomba kujua ni zipi changamoto za mradi huu pia zi zipi fursa za kukuza mradi huu. Pia nataka kujua namna ya uendeshaji wa mradi huu...
  11. Trainee

    Barabara za TASAF ni kuwatesa wananchi halafu mbona hazina usimamizi mzuri kutoka kwa wataalamu wa barabara?

    Habari... Kuna ule utaratibu wa serikali kutoa fedha kwa kaya zisizojiweza maarufu kama fedha za TASAF. Sasa pesa hizo kuanzia mwaka jana nimeona serikali imekuja na utaratibu mzuri ila usimamizi wake utaratibu huu si mzuri kabisa Nimeona vijijini wananchi kuanzia mwaka jana waliambiwa wachimbe...
  12. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa: Mitambo Yote na Wataalamu Wawe Site Ndani ya Mwezi Mmoja - Mlimba

    BASHUNGWA: MITAMBO YOTE NA WATAALAM WAWE ‘SITE’ NDANI YA MWEZI MMOJA - MLIMBA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Henan Highway Engineering Group Co. Ltd, inayojenga barabara ya Ifakara-Kihansi (km 124) Sehemu ya kwanza Ifakara-Mbingu (km...
  13. Mdeke_Pileme

    Wataalamu wa Maabara watoa dukuduku lao, kuhusu sakata la utoaji majibu yasiyo sahihi katika Vituo vya Afya

    Baada ya jukwa la JamiiForums kuchapisha nakala kwenye mitandao ya kijamii inayosema :- Bodi ya Maabara Binafsi za Afya ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya imesema inayafanyia kazi madai kuwa baadhi ya Maabara zinatoa majibu ya uongo ili Zahanati ziuze Dawa, ikiwa ni ufafanuzi uliotolewa baada...
  14. K

    Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo?

    Swali kwa wataalamu: Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo? Nauliza kwasababu wagojwa wa figo wameongezeka sana Tanzania
  15. P

    Wataalamu tatizo la kutopata mkojo na choo husababishwa na nini?

    Kaka yangu jirani amepoteza Maisha Leo kwasababu ya tatizo hili Alifunga kupata mkojo Alifunga kupata choo kubwa Tatizo hili husababishwa na Nini ?? Tumepoteza kijana mdogo Sana
  16. passion_amo1

    Wataalamu wa mambo ya madini

    wakuu habari za uzima? Tukiwa tunaendelea kusheherekea siku ya mama yetu mpendwa mheshimiwa samia suluhu Hassan na bata la mama. Nimeona leo nije kuuliza jambo baada ya kukutana na mtu aliyenipa mawazo kuhusu biashara hii ya madini. Wataalamu na wajuzi wote katika sekta hii ya madini naombeni...
  17. Buhaya Empire

    Wataalamu wa ndoto mpo wapi? Njooni mnipe tafsiri

    Habari wakuu. Nimeota naoneshwa na mtu wa kawaida tu na 60 60, ni kwamba 60 moja imeandikwa juu ya nyingine. Kisha akaniambia, KIJANA HUO NDIO MWISHO WAKO. Note: Ni kwa watu wenye uelewa wa ndoto pekee
  18. V

    Ipi ni siku ya kwanza ya juma? nimeambiwa ni Monday kwetu tunaita Jumatatu. Ukweli ni upi?

    Tumekuwa na kawaida Kila Jumalipi tunaenda kanisani kusali Kwa sisi Wakristo na tukisisitizwa kuwa ni siku ya Bwana; kuwa alipumzika siku ya Saba. Je lugha yetu inanichanganya maana nafahamu juma mosi ndio mwanzo wa wiki, jumapili ni siku ya pili and so on. Nimegoogle ipi ni siku ya kwanza ya...
  19. fundi bishoo

    Wataalamu wa IT naomba mnisaidie kuifunga simu isifanye kazi na kumtafuta aliyeniibia

    Wakuu kuna kisimu changu kimeibiwa sasa nimehangaika naona imekuwa mambo mengi kama mtu unaweza kuifunga isifanye kazi kama inawezekana nitashukuru Lakini pia kama utaitrack kama utamlipisha ukimkamata aliyeiiba hii simu ni wewe tu upendavyo mimi nimesamehe lakini roho inaniuma naweka na imei...
Back
Top Bottom