madhara

Abu Ali al-Husayn ibn Ahmad al-Madhara'i, also known as Abu Zunbur ("the hornets' man"), was a member of the bureaucratic al-Madhara'i dynasty of fiscal officials, and served as director of finances of Egypt and Syria for the Abbasid Caliphate in the first decades of the 10th century.

View More On Wikipedia.org
 1. Zakaria Maseke

  Madhara ya kukaa na kinyongo au hasira moyoni

  Katika magonjwa yanayoongoza kuua watu ni HASIRA au KINYONGO. HASIRA au KINYONGO ni chanzo cha magonjwa mengi na vifo. Vinapunguza sana siku za kuishi. Uchungu usipoutoa moyoni utatokea sehemu nyingine, 👌 ukitokea kwenye ziwa, 🤱 tunaita kansa ya titi, 🌝 ukitokea kwenye moyo tunaita presha, 😯...
 2. Barikiel

  Madhara ya kufumbia macho haraka za Madereva

  Ifike mahali abiria wanapo ona Dereva anaendesha gari mwendo ambao sio mzuri wajisimamie na waache kuja kusema mwendo ilikua mkali.
 3. H

  Naomba kujua madhara yanasabishwa na kufeli kwa diode kwenye alternator ya gari

  Msaada kwa yoyote anaeweza kunipa dalili zinazoashiria kuwa diode ina fault kwenye alternator ya gari. Gari yangu ikiwa kweny silensa taa za dashboard zina blink bila kutulia, hazitulii zikiashiria kuna shida. Mshale unaosoma speed pia unazunguka mara kwa mara wakat gari ipo silensa. Hii...
 4. LIKUD

  Suala la Q Chila na madhara ya kupiga ramli

  Alitoka kimuziki mwaka 2002 na wimbo wake " Ulinikataa". He was very big in the industry and he made a lot of money ( KWA viwango vya wakati huo) Then baada ya miaka kadhaa akapotea hewani. SABABU HALISI ILIYO FANYA Q CHILA AFE KISANII. 1. Alikuwa anatumia pesa zake vibaya bila mipango...
 5. Mtemi mpambalioto

  Madhara ya TRA kufunga akaunti za benki za wafanyabiashara! Mnaomshauri Rais mnataka afeli ionekane Mwanamke hawezi kazi

  Mlifikiri ni siri sasa vimeanza kuibuka hadharani! Kitakachofuatia ni watu kuondoa fedha zao Benki kama ilivyokuwa kwa Magufuli, soon mtapata majibu yenu kwenye uchumi! Huu uhuni nina uhakika MWIGULU yumo ndani yake maana ndiye anayeongoza Genge la kumdanganya mama ili aanguke waseme hawezi...
 6. HAYA LAND

  Je, ni madhara gani nitayapata endapo nikiamua kutotuma hela ya sikukuu ya kuzaliwa kwa Emmanuel?

  Nina wazazi wawili Bibi mmoja(Grand-mother) sina mke Wala mtoto Je nikiamua sikukuu hii ipite kimya kimya na Baada ya hapo kitanipata Nini?
 7. SemperFI

  India yasema dawa zilizoua watoto Gambia hazina madhara yoyote

  Barua ya Dkt. VG Somani, Mdhibiti Mkuu wa Dawa iliyotumwa kwa Mkurugenzi Shirika la Afya (WHO) anayesimamia Udhibiti na Sifa za Dawa imesema dawa hizo zilizingatia Viwango vyote vya Usalama. Dawa hizo zililalamikiwa na Serikali ya Gambia baada kuwepo ongezeko la Watoto wenye chini ya miaka 5...
 8. O

  Watalaam simu zinapata Moto sana kipindi hiki Cha joto je Kuna madhara?

  Habari wakuu..Kipindi hiki Cha joto simu zinapata Moto sana. Hasa hizi simu zetu za tecno yaani Hadi unaogopa kuendelea kuitumia mpaka ipoe hasa ukiwa kwenye mtandao vipi Kuna madhara yanaweza kutokea kwenye machine au injini kiswahili cha simu kinanipa tabu kidogo
 9. Sildenafil Citrate

  Madhara ya Ongezeko kubwa la joto kiafya na namna ya kuyakabili

  Mwili wa binadamu huhifadhi joto lake kwenye wastani wa nyuzijoto 37. Mabadiliko madogo yasiyozidi nyuzijoto 1 yanaweza kutokea muda wowote wa siku kutokana na athari mbalimbali za kimwili na kimazingira. Katika msimu huu ambao baadhi ya maeneo mengi ya nchi hayapati mvua za kutosha, baadhi ya...
 10. Equation x

  Mnaotengenezwa shepu, muwe mnauliza na madhara ya baadaye

  Kuna siku nilikutana na mdada mmoja, ana shepu nzuri na ya kuvutia. Mjuavyo tena, kwa wanaume halisi kuwa na hisia na watu wa namna hiyo ni kitu cha kawaida. Basi nikajikuta, nimemtamani; katika kumuongelesha mawili matatu tukawa tumepeana namba kwa ajili ya mawasiliano. Kesho yake ikabidi...
 11. M

  Madhara niliyoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe.

  Mimi ni kijana wa kiume,umri wangu ni early 20s.Kiukweli toka nizaliwe hadi sasa sijawahi kufanya mapenzi(penetrative sex) licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wasichana kadhaa,lakini wote tumeishia kufanya romance tu. Nimebahatika kuwa na muonekano mzuri kidogo kwa hiyo pisi nyingi...
 12. M

  Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe

  Mimi ni kijana wa kiume,umri wangu ni early 20s. Kiukweli toka nizaliwe hadi sasa sijawahi kufanya mapenzi(penetrative sex) licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wasichana kadhaa,lakini wote tumeishia kufanya romance tu. Nimebahatika kuwa na muonekano mzuri kidogo kwa hiyo pisi nyingi...
 13. Lycaon pictus

  Kubemenda mtoto kuna madhara gani? Mbona kunaogopwa sana?

  Katika tafakari yangu nimegundua kuwa kubemenda mtoto hakuna madhara yoyote. Kubemenda ikiwa ni kuzaa watoto karibukaribu kupita kiasi, huyu hajamaliza kunyonya tayari mwingine kazaliwa. Zamani jambo hili liliweza kusababisha kwashiarkor kwa watoto. Hata Kwashiarkor maana yake ugonjwa unaompata...
 14. MakinikiA

  Haitakwepeka raia wa Marekani kushuhudia madhara ya vita zinazojihusisha na taifa lao

  Ibaki kusema tu viongozi wanaona kama mzaha kuhusu tatizo la ukraine akiwemo Biden na Zelesky,madhara ya tatizo kila Raia anayeshiriki tatizo hilo lazima aguswe, raia hasa wa wamarekani walizoea na kuzoeshwa hivyo kwamba taifa lao linapoingia vitani wao ni kuangalia kwenye tv kama movie kwa...
 15. A

  Kauli hii inaashiria madhara makubwa itakayokumbana nayo Urusi na dunia kwa ujumla endapo....

  Za jioni ndugu zangu, kwema. Ndugu wanajamii forum wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza clear kabisa hapo juu. Ni kwamba kuna mpango mahususi unapangwa wa kuiadabisha Russia (na kwa bahati mbaya sehem kubwa ya dunia ) kutokana na kiburi ilichonacho Russia dhidi ya mataifa makubwa na...
 16. NetMaster

  Ndoa za kikristo hazifati maandiko ya kwenye biblia, zinafata sheria za viongozi wa makanisa

  Hizi ndoa za kikristo zimefikia mahala sasa tunaweza kuziita ndoa za kisheria kwasababu watu wanaona mahakamani kuna unafuu kuliko kufata sheria za ndoa za kikristo. Usijidanganye kizazi hiki kwamba mke mwema anashushwa na Bwana, mwanamke unaweza kumchunguza mwaka mzima mkiwa kwenye uchumba na...
 17. M

  Kulala chini/katika zulia muda mrefu kuna madhara?

  Wadau salama, Nina swali kidogo hapa nahitaji msaada! Je, kulala katika zulia/carpet kwa muda mrefu kunaweza kuwa na madhara huko mbeleni ya kiafya? Nawasilisha
 18. Zeal of God

  Je, kuna madhara yeyote watoto kutumia pempasi?

  Wadau nimekutana na hii video mama huyu akiwa anaongea mengi ila mojawapo ni hili la kuhusu uvaaji wa pempasi kwa watoto. Je hili ni janga au ni kukosa elimu sahihi kuhusu matumizi ya pempasi? Ninawafahamu wazazi kadhaa hawataki kabisa kusikia hii kitu kuhusu pempasi. Naamini humu tuna...
 19. JanguKamaJangu

  Ujue Ugonjwa wa Ebola, dalili, unavyoambukizwa, madhara...

  Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vujulikanavyo kitaalam kama (Ebola Virus). Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za virusi zinazosababisha kutoka damu sehemu za wazi za mwili mfano puani , masikioni , na machoni. Ugonjwa huu unaathiri binadamu na...
 20. Dr Adinan

  Madhara ya Kisukari na Namna ya kuyaepuka: Ugonjwa wa Figo

  Habari yako ndugu. Karibu tena, tunaendelea na makala zetu kuhusu madhara ya kisukari. Kisukari huharibu figo kwa namna mbili: namna ya kwanza ni madhara ya moja kwa moja yatokanayo na uwepo wa kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu. Tulijifunza kwamba kisukari husababisha shinikizo la damu...
Top Bottom