Duniani nchi zilizopata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni chache sana, hazizidi tano ambazo ni Canada, Australia, New Zealand na Singapore.
Nchi karibia zote zenye maendeleo makubwa ya kutamanisha zilizipitia aina fulani ya mapinduzi. Hata Zanzibar kwa sasa inapiga hatua kubwa sana za maendeleo.
MTWARA
Mkoa wa Mtwara umeanza kushuhudia mabadiliko makubwa katika usimamizi na uhifadhi wa taarifa za ardhi kupitia Mfumo wa e-Ardhi, ambapo masijala za ardhi zilizokuwa zikihifadhiwa kwa kutumia majarida sasa taarifa hizo zinaendelea kuhamishiwa katika mfumo wa kidijiti.
Hatua hiyo ni sehemu...
Nimeona watu wanajadili kuhusu mfumo wa majimbo na kusema ukija makabila makubwa yanaweza kuhodhi madaraka na hivyo makabila madogo yakawa hayana uwezo wakutoa viongozi wakubwa.
Mfumo wa majimbo wa marekani naupenda kwa sababu hata yale majimbo madogo bado yana nguvu kwenye kuamua raisi ukitoa...
Wasalaam,
Baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, kuna jambo moja ambalo sidhani kama tunaweza kulikwepa kama taifa, Tanzania iko kwenye mjadala wa aina gani ya siasa tunayotaka kwa miaka ijayo?
CCM imeendelea kuwa chama dola baada ya Samia kutangazwa mshindi kwa asilimia karibu 98% kwenye...
Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio.
Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara...
Haya yote ni kutokana na kuathrika na kuangalia porno toka utotoni, nikajikuta kuwaona wadada wenye makebo makubwa ni viungo vya starehe na sio watu wa kawaida
Niliwafanya kila namna, niliwageuza kila angle, huku nikiwa najipa moyo nitatosheka ila hakuna kitu , unacheza tu na mihemuko yako...
Bila maamdano haki haipatikani.
Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po.
Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao.
Bila maandamano hatupati katiba mpya.
Nimekuwa nikifatilia matangazo ya magari kwenye platforms mbalimbali na kuna jambo ambalo linahitaji mabadiliko makubwa.
wauza magari hawatoi taarifa muhimu za magari, kwenye tangazo wanaongea maneno mengi ambayo hayana umuhimu, na kwenye muda wote wanaoongea vitu vya muhimu kuhusu hilo gari...
Wafanya biashara wana mbinu zao za kuwavuta na kuwauzia wateja bidhaa kwa bei ambazo si halisi na kubwa zaidi ila wanajifanya kama vile hawapati faida hata kidogo au wanatoa huduma tu ili nao waonekane wameuza au wakati mwingine hata kuuza kwa hasara japo huwa wanatupiga.
Moja ya msemo ni "Leta...
Kweli nyakati zinakimbia, na muda huja na fasheni yake.
Leo hii wadada wenye makalio makubwa ndio sukari ya mji ila kipindi kile walichukuliwa kama vibonge na hakuna aliekuwa sexually attracted kama ilivyo sasa
secretarybird Chizi Maarifa nafikiri unakumbuka za zile
Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha
Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima...
Ukiwasikiliza watu wengi wa Tanzania wanaotamani mabadiliko wako na matumaini makubwa sana, wengi wanaamini kwa dhati kabisa ipo siku moja watesi wao watashindwa na kuanguka na nchi yao itakuwa yenye demokrasia pana na maendeleo tele.
Ni nadra kukuta wenye mtazamo mbadala kwamba Tanzania...
Jiji la New York lilikumbwa na mvua kubwa na radi Alhamisi jioni Agosti 20, 2026, hali iliyosababisha mafuriko ya ghafla na kugeuza baadhi ya barabara kuwa kama mito. Mji wa Queens ilikuwa miongoni mwa maeneo yaliyoathirika zaidi, huku magari yakizama kwenye maji na wasafiri wakilazimika...
Wengi wao hawana akili hata kidogo, wanafikiri matako yao ndio kila kitu kumbe kuna cha zaidi kushinda makalio
Na dzain ya wengi wenye makalio ni kama wanajitegesha hivi kama wapo kazini kwa kufikiria wanaume wengi tunapenda makalio makubwa, wapo kama wanajiiuza hivi umsifie ana makalio...
Leta kama tulivyo ni kauli nzuri sana sisi wanywaji wa pombe ila ina majuto sana....
Kwanza umekula hela zote hujabakiwa na ela ya supu na kutoa hang over kwenye bank umekomba akiba yote.
Umeopoa Malaya asubuhi unashangaa demu ana mabakabaka kama chui na uligonga kavu.. wtf
Pombe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.