mauzo

 1. Dr. Said

  Siri ya wafanyabiashara wenye mafanikio makubwa

  Ushawahi kujiuliza kwanini kuna baadhi ya wafanyabiashara kila wanapotoa bidhaa au huduma kwenye soko wanakuwa wanauza kupindukia hali ya kuwa wewe unahangaika kama punda bila ya mafanikio yoyote? Wafanyabiashara hawa wenye mafanikio wana siri gani? Kama ushawahi lakini hukuwahi kupata jibu...
 2. Dr. Said

  Uliza swali lolote kuhusu jinsi ya kutumia mtandao kupata wateja!

  Hi, Mimi naitwa Dr. Said Said na ni mkurugenzi wa kampuni ya Online Profits, kampuni inayowasaidia wajasiriamali kama wewe kuweza kunasa wateja kama smaku kupitia mtandao. Kama unabiashara na unahangaika kupata wateja kutumia mtandao wa intaneti basi nakukaribisha uniulize swali lolote na...
 3. Dr. Said

  Sababu kubwa kwanini wateja hawanunui kutoka kwako

  Moja ya maswali ninayoulizwa mara kwa mara kutoka kwa wajasiriamali hususan wanaojaribu kupata wateja kupitia mtandao ni "kwanini watu hawanunui kutoka kwangu"? Jambo hili linawaumiza kichwa sana mpaka wengi wao kukata tamaa kabisa. Kama na wewe ni mjasiriamali na unashindwa kutumia mtandao...