silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Tulisimamisha kila kitu kupisha mnyukano kati ya vijana wasio na silaha dhidi ya majeshi yenye AK47

    Baada ya oct29 nilitoka huku kijijini kwangu kwenda jijini Arusha kujionea halihalisi nakumbuka ilikuwa nov.4 hivi nilimkuta askari mmoja wa jeshi la wananchi nilosoma naye kule Dakawa akiwa amesima kwenye makutano ya kona ya mbauda akiwa ameshikilia silaha nzito huku akimsimamisha baadhi ya...
  2. H

    Wameigeuza 7/7 kutoka kuwa Siku ya Maonesho ya Biashara Mpaka Kuwa ya Maonesho ya Silaha. 8/8 Nayo Wataigeuza?

    Tanzagiza inabadilika kwa speed ya ajabu kupindukia! Watanzagiza walizoea kuiona siku ya 7/7 kuwa siku ya maonesho ya biashara, ghafla imebadilishwa na kuwa siku ya maonesho ya silaha, huku wahusika wakuu wakiwa ni wauaji wanaotumika kudhulumu haki za watanzagiza. Bila shaka wanaowatumia...
  3. M

    Kuna siku Wananchi wataanza kuchukua Silaha za Askari kwa kuwadhania ni wanamgambo wa Mwaipopo

    Leo nimeona Mwaipopo ana vijana wamefunikwa uso na kutishia maisha ya watu wasiandamane, JWTZ kwenye lile tangazo lako kama kweli wanalinda mipaka na mamlaka ya nchi hii wanatakiwa walichukulie tukio lile kwa uzito mkubwa. Wananchi wa Tanzania mnahaki ya kujilinda na kuchukua Silaha hata kwa...
  4. K

    Ni wakati Sasa SUMMAA JKT Kufungua MADUKA ya kuuza SILAHA ZA MOTO NCHINI

    Hii itasaidia kuimarisha Mapato yao kwani Raia na Kampuni za Ulinzi zitanunua Silaha hizo kutoka kwenye Maduka yao kama ilivyo kwa TANGANYIKA ARMS na hii pia itasaidia Serikali kupunguza matumizi na utegemezi wa Middlemen wapiga deal ambapo Majeshi yetu yote nchini yatanunua Silaha hizo kutoka...
  5. ERTUGRUL BEY

    Ukimya ni Silaha nzito

    Nguvu ya Siri: Kwa Nini Ukimya Ndio Silaha Kubwa Zaidi Kwenye Mifarakano? Fumba macho sekunde moja. Fikiria uko katikati ya mabishano makali. Joto limepanda, nyuso zimebadilika rangi, na maneno makali yanarushwa hewani kama risasi. Katika mazingira hayo, silaha yako ya kwanza kabisa inayokuja...
  6. A

    DOKEZO DAR: Studio Furaha TV zinazomilikiwa na Mpwa wa Hayati Magufuli zavamiwa na Mabaunsa na watu wenye silaha

    Ofisi za kampuni ya habari za Furaha Media zilizopo Mikocheni – Dar es Salaam zimekumbwa na taharuki kufuatia kuvamiwa na kikundi cha watu wanaokadiriwa kuzidi 60, wakiwemo walinzi wa kukodiwa (bouncers) na watu wenye silaha. Uvamizi huo umesababisha uharibifu wa miundombinu ya kidijitali...
  7. bless on

    Macho ni mlango wa nafsi na silaha butu kwa wengi

    Katika matukio mengi yanayotendeka hapa duniani mtu anaweza kuficha siri lakini ukimtazama machoni kuna kitu utatambua! Moja ya Silaha kubwa sana kwa Mawakili na Wadau wengine wa haki ni MACHO......(Kuna aina 16 za mpepeso wa macho na kila mpepeso ni KIASHIRIA) kwani wanaweza kukutambua kwa...
  8. K

    Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za Nyuklia

    Baada ya Ukraine kuwashambulia URUSI kwa drones na kwenda kupiga kwenye Shule ya Watoto wa Primary usiku wa kuamkia Jana, leo Rais Putin kaidhinisha vikosi vyote vya Nyuklia kuanza mazoezi na kujiandaa kumshambulia Adui yao atakayeivamia nchi yao lakini haijawekwa wazi Adui huyo ni nani...
  9. MakinikiA

    Silaha itakayotumika na Iran awamu hii ni kukata nyaya za Internet zilizopita chini ya bahari…

    Iran is threatening undersea cables. The world’s ‘digital chokepoints’ have never been more vulnerable Ngoma inogile waache wajichanganye tena safari hii hata pesa kwenye ATM hawatatoa . Hizi zimepita pale Hormz ,wasipokata watalipisha tozo kama Misri lakini Iran wao waliacha free lakini dunia...
  10. R

    PostGE2025 Othman: Watu ndani ya vikosi vya SMZ walitusihi, Vijana kutoka JKT walipewa silaha walipokosa wa kuua Zanzibar wakapandishwa Ndege Usiku kuja Bara

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo ngazi ya Taifa, Othman Masoud Othman, Othman, leo Mei 16, 2026, jijini Dar es Salaam, akizungumza katika Mjadala wa Kitaifa kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Tanzania, uliohudhuriwa na makada wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia, na waandishi wa habari...
  11. Yoda

    Kufanya maonyesho ya silaha ambazo nchi haizalishi ni ujuha na ujinga mwingine wa KiAfrica

    Sijawahi kuelewea maonyesho ya silaha za kijeshi yanayofanywa na majeshi katika nchi za Africa. Unafanyaje maonyesho ya silaha ambazo huzizalishi hazitengenezwi nchini kwako! Wanaotengeneza hizo silaha wenyewe huko Magharibi wala huwa hawazifanyii maonyesho ya kisiasa bali ya kibiashara...
  12. a sinner saved by Christ

    Tumia silaha kuu nne

    TUMIA SILAHA KUU 4 TUMIA SILAHA KUU 4 Silaha ya kwanza 1)usitende dhambi jitahidi usitende dhambi na tubu dhambi zako mara kwa mara,samehe watu waliokukosea,usilale na hasira usikasirike,usiogope woga usiwe na hofu wala woga,uwe na imani kuu amini Yesu anaweza yote,na wewe unayaweza yote...
  13. 5

    Marekani kujenga upya hifadhi yake ya Silaha Mashariki ya Kati baada vita na Iran

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegsett ametangaza katika mkutano na wajumbe wa Congress kwamba kujenga upya hifadhi za silaha za Marekani, ambazo zimepungua kufuatia vita na Iran na migogoro mingine ya kijeshi katika miaka ya hivi karibuni, inaweza kuchukua "miezi hadi miaka," kulingana na...
  14. Sifi Leo

    Mh rais wao take care, trump ni mara ya pili anakoswa koswa.km aliyoyasema chande ni sahihi vijana walikuwa na silaha basi tambua hazijaisha.

    Trump kakoswa koswa hii ni awamu ya pili, Je Rais WENU you salama kiasi Gani? Kama chande anasema vijana walikuwa na silaha je Rais WENU you salama kiasi Gani? Utawala ulio mwaga damu kuwa madarakani uo sio utawala kamwe ujitafakari
  15. L

    Donald Trump baada ya kuona Iran hawawezekani akataka kutumia silaha za nyukilia

    Silaha za nyukilia zilitengenezwa kwa ajili ya kutumika TU,pale nchi itakapokua imezidiwa na baada ya kutumia silaha nyingine zote lakini kushindwa kumshinda adui. Inasemekana Trump alitaka kutumia nyukilia katika vita yake na Iran Generali Dan Caine akamkatalia je hii inaashiria kua Marekani...
  16. S

    PostGE2025 Chande atuonyeshe angalau picha moja alopewa ya waandamanaji wa 29/10 waliobeba silaha za moto siku hiyo kama ushahidi, la sivyo anasema uongo

    Mwenyekiti wa Tume ya 29 October anadai kuna Polisi 16 waliuwawa, na baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha za moto. Kwa kifupi, siamini maneno haya ya Chande na Tume yake. Kama ni hivyo, basi hii tume ituonyeshe angalau picha moja ya waandamanaji wa 29 October wamebeba silaha za moto...
  17. S

    Jaji Chande: Kituo cha Polisi Salasala kilivamiwa na watu zaidi 150 wenye silaha, polisi walitumia mabomu na baadae wakakimbia baada ya kuzidiwa nguvu

    "Ile ni ngazi ya kwanza ambayo polisi tu, kwa sura yake na nguo alizovaa, inasambaza makundi yaliyokusanyika. Lakini yapo pia maeneo mengine kutokana na kiwango cha tishio kwa uhai wa askari au raia wengine, ililazimu kutumia hatua nyingine zile za juu, na ziko hatua sita. Mfano, kituo cha...
  18. S

    Jaji Chande: Washiriki wa ghasia walibeba silaha mbalimbali jambo ambalo haliruhusiwi kisheria kwenye maandamano ya amani

    .......tatu, washiriki wa ghasia za wakati na baada ya uchaguzi mkuu walibeba silaha za aina mbalimbali, zikiwemo mawe, nondo, mkuki, sururu, fimbo, marungu, visu, vibiriti, vipulizi, bunduki, manati, kombeo, rato, mapanga; jambo ambalo haliruhusiwi kisheria katika maandamano ya amani. Hii ni...
  19. BigTall

    Maeneo mengi ya makutano ya barabara Dar es Salaam yamejaa askari wenye silaha; nini kinaendelea?

    Leo asubuhi, nikiwa natokea Bunju, nimekuta askari wengi wakiwa wamejaa kwenye mataa ya Tegeta. Pia, kwenye Kona ya Masana walikuwepo kwa wingi wakiwa na silaha, na hata maeneo ya Mwenge wameongezeka zaidi. Najiuliza, kuna nini kinaendelea? Au ni suala la ripoti ya Jaji Chande inayotarajiwa...
  20. Eli Cohen

    Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa ulaya haitapinduliwa kwa silaha wala uvamizi bali ukaribisho wao wa kiholela

    Wao wanaazana wawili au mmoja ila waliowakaribisha wanazaana kama kuku.
Back
Top Bottom