kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa bongo ni kukosa akili au ni uvivu wa kufanya utafiti?

    Nimeona wengi wakiizungumzia mechi ya Simba na Stellenbosch kwamba Simba awe makini kwani siyo kama alivyokutana na Almasry. Sababu ni kwamba wapinzani wa sasa wa Simba wamemtoa Zamalek! Ni napenda niwaulize hao wachambuzi,Je walichukua muda wao kutafiti matokeo ya hivi karibuni kati ya...
  2. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Kataa kufanya kazi na boss was namba hii

    Watanzania wengi maisha yetu hatuishi kwa kujiajili wengi tumeajiliwa na waajili Lakini katika kuajiliwa huko wapo ambao wameajiliwa na watu sahihi lakini wapo ambao wameajiliwa na watu wasio sahihi Sasa Basi Kuna watu hawafai kabisa kufanya kazi chini yao labda uwe hauna jinsi naa hata Kama...
  3. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa millioni 10 nafikiria kufanya hizi biashara wenye uzoefu naomba mawazo yenu

    Wadau nina mawazo haya ya biashara 1. Mini_Supermarket 2. Bucha la nyama ya ng'ombe au ya nguruwe 3. Duka la rasta la jumla 4. Duka la vipodozi japo hii nawaza kama kuiunganisha hapo kwenye duka la rasta Mimi ni wa kike, nipo Dar naombeni mawazo yenu wadau
  4. Hizbu Sharifu

    JamiiForums Tanzania Wanaoporomoka na kuanguko katika maendeleo yao wengi ni husuda tu, fanya haya kujiepusha na husuda

    Mambo ambayo hupaswi kufanya Mbele za Watu: ♦️ Usionyeshe furaha yako mbele za watu. ♦️ Usizungumzie watoto wako mbele za watu. ♦️ Usizungumzie afya yako mbele za watu. ♦️ Usizungumzie miradi yako kwa mtu yeyote. ♦️ Usizungumzie furaha yako mbele ya watu. ♦️ Usizungumzie mema ya ndoa yako kwa...
  5. Half american

    JamiiForums Tanzania Usijaribu kufanya vitu hivi na ukijaribu kufanya litakalokukuta utajua mwenyewe

    TUKUMBUSHANE WAKUU 1. Hata penzi/ndoa iwe tamu kiasi gani usijethubutu kujenga kwenye kiwanja cha mkeo/ukweni. 2. Usinunue eneo unalojua lina mgogoro. 3. Mkwe hakopeshwi. 4. Usitangulize kutua chini na mguu wa kulia ukiruka kwenye daladala au chombo kikiwa kwenye mwendo. 5. Usimkope mtu...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Si sawa ndugu kufanya msiba wa Careen kama fursa

    Caren alikuwa muigizaji na Kwa bahati mbaya alipata umauti alipokuwa akitibiwa huko India Tunamtakia pumziko la MILELE Imezuka kasumba mitandao, watu wanaojiita ndugu zake ku post content kwenye mitandao ya tik tok, Instagram, Facebook n.k Wakionyesha umahiri wao wa kulia na kuja kupost Hivi...
  7. Mkweliii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwalimu Mbelwa Petro: CHADEMA hawakujiandaa na Uchaguzi zaidi ya kujiotesha ndoto za kuzuia Uchaguzi

    "Kipimo cha utayari wa kitaasisi unaweza kuona katika jinsi vyama hivi viwili vilivyojipanga na uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Wakati Dr. Samia na Dr. Nchimbi wameshaambia Watanzania kuwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wanakwenda na kauli mbiu ya KAZI NA UTU - TUNASONGA MBELE, CHADEMA...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo unaweza kufanya ili Palestine iwe huru

    Wazingatie katika kuijenga Palestina, sio kuiangamiza Israel Wakubaliane na haki ya uwepo wa Israeli. Wafanye amani na majirani zao. Wafanya diplomacy na Saudi Arabia na UAE baada ya kuhakikishia usalama dhidi ya itikadi za hamas Washirikiane na Israel na USA katika kukomesha Hamas Wapige...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Apata kipigo kwa kufanya masturbation(kujichua)

    Nakuletea habari nyingine ya ukweli kabisa isiyochanganyika na chembe yoyote ya uongo. Hivi majuzi, kuna mtu alipata kipigo kwa sababu ya tabia yake ya kupenda kujichua(punyeto). Mtu huyu alionywa mara nyingi kuwa kujichua(masturbation) ni dhambi, lakini aliendelea tu kukaidi. Nani alimpa...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa RPC RUVUMA alomwambia HECHE "kama unataka kufanya Mkutano RUVUMA usitaje 'No Reforms ,No Election ' "

    Heche akamjibu, kama unataka kutuelekeza kitu gan Cha kusema, Jiunge CHADEMA, uwe Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama , https://youtu.be/AjPXZwgFDjI?si=GMDzGrR72Oy73PMu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nina omba Msaada nina laki tisa nifanye Biashara gani? Mimi sio mwenyeji wa Tanga ila ningependa kufanya Biashara katika mkoa wa Tanga. Nipeni maoni

    Nina mtaji wa laki tisa nipo Tanga naomba mnisaidie Msaada wa mawazo nini nifanye ili kujipatia kipato na kukuza mtaji wangu.
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Sioni haja ya CCM kufanya kampeni

    Ikiwa wanao wagombea na Tume kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?
  13. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Changamoto kwa watumishi walioko vijijini kufanya biashara

    Unajua, kuwa mtumishi wa umma, haimaanishi utaishi kwa kutegemea mshahara tu, inabidi ujishughulishe either na biashara au kilimo. Kilimo kwa mtumishi inawezekana lakini kwa kutegemeana na eneo husika. Watumishi wengi wanakuwa wanakimbilia kufanya biashara ili angalau kuongeza kipato chao. Iwe...
  14. cold water

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo na jinsi ya kufanya

    Nahitaji kuanzisha biashara ya kukopesha fedha kisheria na wakopaji niwakopeshe online,na malipo pia wafanye through my bank account Sasa naanzia wapi ndo nashindwa kuelewa,50000 Liba 15,000,100,000 Liba 25,000 lakini kwenye form ya ukopaji nahitaji waweke na namba za nida je nitafanikisha kama...
  15. BWANA WANGU

    JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa wana jogging kufanya mazoezi kwenye barabara umekuwa kelo sana.

    Habari wana familia wa JF, Aisee leo kuna tukio moja nimeliona asubuhi ya leo nikiwa naenda kwenye mishe mishe zangu umenikwaza sana. Kuna jamaa mmoja alikuwa ana drive, yule jamaa alikuwa mbele yangu. Mbele ya yule jamaa kulikuwa nakikundi kama cha watu 80 hivi watu wa jogging. Mbele ya icho...
  16. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi kwa wahindi bila kujipendekeza na kuwa mnafiki inawezekana kweli?

    Niliwahi kufanya kazi kwenye taasisi moja ya Wahindi inaitwa Aga Khan. Aisee, kwa suruba nilizozipata kwenye taasisi ile, sitamani tena kufanya kazi kwa Wahindi. Kwanza kabisa, ili Mhindi msimamizi au boss akupende au akupatie fursa yoyote, inatakiwa ujipendekeze au uwe mnafiki kwa wafanyakazi...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba tusaidiane kufanya 'CRITICAL THINKING' kuwa sababu ya Kukamatwa kwa Tundu Lissu ni Kuchochea Uchaguzi kutofanyika na Watu kutokupiga Kura

    Kila siku nasema hapa kuwa CCM + Serikali tulieni na tafuteni Watu wenye kujua KUFIKIRI vyema ili wawe Wanawashauri katika Mambo mengi ya Kimsingi (hasa ya Siasa na Matukio) kwani kuna Maamuzi mengi yanatoka Ngazi za Juu kwenda kwa Upinzani / Wapinzani ukiyapima kama Mtu MWEREVU unaona kabisa...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Urusi yachekelea na kufanya kejeli kuhusu vita vya tarrifs vinavyoendelea

  19. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lasalimu amri na kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake na kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake, kuwa kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
Back
Top Bottom