Chuki kubwa waliyonayo watu wengi dhidi ya watu waliofanikiwa kisiasa au kiuchumi inatokana na Umaskini wa kipato na umaskini wa fikra. Chuki ikizidi huzaa roho mbaya na roho mbaya na Uchawi ni kama kurwa na dotto.
Salama wakuu? Mimi umri umesogea sana... hivyo nimeona mengi na nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi.
Nimezunguka sana nchi hii, karibu mikoa mingi nimefika.. pia niliwahi kufanya kazi taasisi nyeti zilizoniruhusu kupata taarifa nyingi za siri za watanzania wengi.
miongoni mwa mambo mengi...
Habari wa kuu, kimsingi Kuna vitu vingi vya ajabu sana nchi za Africa hasa ukijiuliza nakutafakari kwa kina, watu wazito kwa kila kitu hasa kifikra na kutambua kusudio la binadamu kuwepo kwenye uso wa dunia,
Kwa upande wangu sijawai na sitokuja kuwalaumu watu wanao jazana kwa wanao jiita...
Mfano huyu Mugisha koti lake kufuatwa na nyuki Waswahili wamekimbilia ni uchawi!
Akili za Waafrika wengi zikishindwa kuelewa jambo kwao inakuwa ni uchawi.
Chumvi ya mawe kwa urahisi kabisa inapatikana kwenye maduka ya dawa za asili .
Miongoni mwa faida kuu ya chumvi ya mawe ni kukuondolea uchawi uliopo mwilini mwako, husuda na kama kuna milango ya ridhiki ilifungwa basi ukitumia chumvi ya mawe itakusaidia sana kufungua kifungo.
Cha kufanya...
SEPT 21, 2026: Tanzania
Hivi fikiria nyumbani mwako unashuhudia kundi la sisimizi limerindima katika kuta za nyumba na kila baada ya siku kadhaa unawaona tena, je ni hali ya kawaida au sisimizi nao wanahama kama nyumbu?
Hapana, sisimizi wakijaa katika nyumba wanaashiria mambo matatu, (1)...
Kule kijijini kwetu Singida ukijenga nyumba nzuri, lazima ujipange kweli kweli kama ni mlonzi basi loga sana, kama ni mcha Mungu basi omba sana.
Unaweza maliza nyumba yako na ukadanja ukaiacha, husda ni hatari kule.
Mgonile,
Tukiweka ubishi pembeni kuna matukio ukiona tu papo hapo akili yako inakwambia jambo hili haliwezekani kwa kanuni za kawaida isipokua kwa nguvu tusiyoiona ila tunaweza kwa hakika kutambua uwepo wa nguvu isiyo ya kawaida katika mazingira fulani hadimu mfano katika tukio hili:
video...
Video inayomuonyesha msanii Diamond Platnumz akiwa na msanii S2kizzy kwenye sherehe ya arobaini ('40') ya mtoto wake imeibua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii. Kwenye kipande hicho cha video, unaonekana mkono wa mtu aliyesimama kwa nyuma ukimgusa na kushika vito vyake vya thamani...
Sijui tuite mapinduzi katika sekta ya ulozi na uganga!?
Haya yanafanyika na yanatokea kila siku mitaani na katika jamii zetu,yaani mtu anafanya kitu ndivyo-sivyo alimradi to inakuwa ametimiza kusudio la bwana mganguzi.
-Upo uchawi unaotumia kupatwa kwa jua au mwezi,mti uliopigwa radi,kamba...
Mimi ni Mshana Jr derivative nipo hapa kukupa uchawi anaoutumia mwanamke kukumaliza.
1.Damu ya hedhi
Mwanamke huchanganya kwenye chakula. Na mara tu baada ya kula utawala wa mwanaume unashuka kama CD4. Na hapa mwanaume hataona kosa lolote kwa mke wake na badala yake atagombana na ndugu na siyo...
Hello jamii intelligence 👋
Wakuu hii habari ya uchawi nadhani sio jambo geni
Uchawi ulitajwa kwenye vitabu vya dini hasa hivi maarufu Bible&Qur'an
Kwa bible mfano Kutoka 22:18 inasema:
Usimwache mchawi kuishi
Huu ni ushahidi kua Bible inatambua uchawi
Uchawi umetajwa pia kwenye Qur’an...
Sehemu hii kutoka kwenye makala ya Be Scofield katika jarida la The Guru Magazine inaeleza kwa undani madai na sauti zilizorekodiwa kutoka kwenye kipindi cha faragha cha "ukombozi" kati ya mtoa taarifa Melissa Archer na nabii anayejiita GeorDavie, ambaye ana uhusiano wa karibu na Kanisa la 5F la...
Kuna tukio limetokea Dodoma eneo la Chaduru, ambapo kijana aliyekuwa akijaribu kuiba kwenye duka la spare mkono wake ukanasa kwenye sehemu ya duka, na inaelezwa kwamba alikaa hivyo kwa zaidi ya masaa 8.
Sasa mimi ni mmoja wa watu ambao hatuamini uchawi. Kwa hiyo sitaki kuanzia kwenye hitimisho...
Simba acheni utoto..Huo uchawi mlioutumia Leo ni uchawi ulisha expire toka enzi za Pontyo wa Pilato...Ni version ya uchawi ulio kuwa unatumika wakati Nuhu bado yupo kwenye safina..
Eti muasisi wa Simba Day azunguke uwanja kusalimia mashabiki.. 🤣🤣 Mnatuona wote watoto eeh?
A nacho kifanya huyo...
waafrika tunapenda kujitetea ili kufanya make up upumbavu wetu, kwa sababu unafanya ushirikina sasa unataka uhusishe na wengine ili usionekane fala.
Mmezidiwa mamlaka, mmezidiwq akili, mmenunuliwa kwa pesa alafu mnataka kusema mchina ku-survive hapo kariakoo eti kwa sababu anachinja sana mbuzi😁...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.