Kuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti.
Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM.
Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango...
Salaam!
Ni kweli,hii ni ndoto ya Mwalimu Nyerere iliyobadilishwa kuwa uhalisia na Rais wa awamu ya tano ndugu JPM ambaye alimwachia kiti chake Daktari Samia Suluhu Hassan
Ajabu katika Kila kinacjofanyika hakuna mtu anataka kulitaja jina la mtekelezaji wa ndoto.Wasemaji wote wanaanzia Kwa...
Kanda ya ziwa Victoria inafanyiwa harassment ya kisiasa sana.
Maisha yapo juu hususani bei ya cement. Kwa miaka nenda rudi bei ya cement ni tatizk kubwa kanda ya ziwa. Leo hii imefikia Tsh 28000/=
Hii yote ni kwa sababu gharama za usafirishaji kwa kutumia malori ni kubwa ndio maana bei ni...
Hili halina ubishi ndio maana alipata sapoti kubwa kutoka kwa wanannchi wa hali ya chini na wapigani na wahuni walimchukia hayati JPM
Leo hii kumekuwa na tabaka la wanafaidi keki ya taifa huku masikini wakizidi kuumia.
Wananchi wanyonge kila kona ya Tanzania wanamkumbuka shujaa hayati Magufuli.
Watu ukikosoa wanasema kisa mi si muislamu ndo maana namkosoa Samia,
Kwamba hata Jakaya nilimkosoa ila Magufuli hapana!
Kama kuna mtu alimlaza Magufuli basi alikuwa Mimi, na kule twitter nilikuwa na combination na Kigogo kabla hajarejea kusifu,
Ila Magufuli nimemkaanga sana...
Mlibeza kazi nzuri aliyokuwa akiifanya hayati JPM. Mlibeza na kudai ni maendeleo ya vitu.
Leo hii mnaona aibu namna taifa letu linavyopelekwa. Hakuna cha maana kinachofanyika.
Hata mradi wa Sgr imebaki stori.
Katika miradi ambayo ingeweza kuishia njiani au kufa na mengine imebaki story.
Ni miradi ambayo kanda ya ziwa ambayo jitihada za haraka kama angesubiri ziwe kwa awamu mfano SGR Dar -Dodoma kwanza basi reli kutoka dodoma kwenda Mwanza ingekuwa story.
Kuna janjajajanja tu tu wafanyabiasha wanaomiliki mbasi na malori hawataki ujenzi wa Sgr ukamilike kufikia 100% kwa sababu ya manufaa ya biashara zao.
Hayati JPM aliwadhibiti .Leo hii Sgr ingekuwa imeshakamilika.
Mungu na shetani ni samehee maana nchi niliyopo nashindwa kuelewa.
Baada ya raisi trump kukataa ndege yake na kupewa ile ndenge na qatar kaona kurudia yake ya zamani.
Tuje kwenye mada kuhusu mashirika ya ndege na nchi zao.
Kuna mashirika makubwa na yenye uwezo mkubwa ila ubadilisha matumizi...
Nidhamu ya watumishi wa umma iliimalika. Wakafanya kazi kwa uadilifu na uzembe ukadhibitiwa.
Wezi mali za umma kupitia miradi ya umma wakadhibitiwa.
Mataifa yote ya Afrika yakatamani yawe na rais kama hayati JPM.
Leo hii taifa letu lina mpasuko mkubwa. Ufisadi na nepotism linatajwa kuwa...
Utawala wa hayati JPM ulifanya kazi kwa ufanisi na uliweza kuwaridhisha wananchi kuwa upo makini na ulijali maslahi ya wananchi.
Idara ya usalama taifa ilikuwa karibu na wananchi. Ndio maana hata kama ni kero ndogo namna gani rais alikuwa na taarifa nayo kwa undani. Kero za wananchi...
Kusema ukweli enzi za JPM alikuwa na watu mtandaoni haswa. Kama hapa JF alikuwa na Kijiji kweli cha watu, wanaanzisha nyuzi mpya kila dakika, wanashambulia nyuzi kujibu mashambulizi, wanaripoti accounts au nyuzi zifungiwe au ziondolewe na wanatishia watu ikibidi.
Jina la buku saba lilianzia...
Habari za Sabato!
Harakati na siasa ni kama mchezo wa Draft au wale wakulungwa wanacheza Chess games.
Mtu yeyote anayejua kucheza Draft kikamilifu basi harakati na siasa hazitamsumbua.
Kwenye Chess au Draft watu wengi huziona Kete.
Lakini sisi wabobevu hatuishui kuziona Kete kama kete.
Bali...
Sijawahi kuelewa kwa nini haya mambo haliyaruhsu kutokea katika utawala wake wakati alikuwa anafanya mambo makubwa sana?
Inawezekana kuna hulka fulani fulani za kikabila zilimuathiri na kupelekea akawa mwanasiasa mbaya asiyejua optics za masuala ya kisiasa.
Hili halipingiki hata kidogo nalipo dhahiri na wazi kabisa.
Cha kwanza kabisa alihakikisha anakusanya fedha na fedha zitumzwe kwenye mfuko wa taifa ili mafisadi wasikwapue kama huko nyuma.
Fedha za umma zilitumika ipasavyo bila ujanja ujanja.
Miradi ya kimkakati ilisimamiwa ipasavyo Mfano Sgr...
Naona wanaChadema wameanza kukubaliana na mimi juu namna hayati Magufuli alivyokuwa shujaa na mpambanaji kuzuia uzembe na ufisadi.
Kwanza asingeweza kwenda Urusi na na mtoto wake au delegation kubwa namna ile na kuharibu pesa za Watanganyika.
Wananchi wanahanhaika kupata hata maji safi, dawa na hata chakula tu.
Alafu Waziri mwenye dhamana na wizara ya afya anaenda Bungeni na mkoba wenye thamani ya mil 14.
Hayati Magufuli alikuwa na uchungu na wananchi wake. Asingekubali jambo kama hili.
Leo hii Trc wanajinasibu kuwa shirika linajiendesha lenyewe bila kupata ruzuku toka serikalini. Hizi zote ni juhudi za Shujaaa wa Afrika.
Alikuwa makini sana kusimamia pesa za umma. Kutandika reli na kuweka njia za umeme kama angekuwepo mradi ungekuwa umekamilika.
Leo hii watu wangeweza...
Crdb yapata faida ya bilion 206 robo ya mwaka huu.
Nategemea serikali itakapo kuja na mambo ya kusema kwenye mei mosi waje na hili .
Sio mnapokelea vichakani hizo gawio then mnagawana watu wachache....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.