kufanya

 1. Tajiri Tanzanite

  Naombe tafsiri ya hiyo ndoto. nitafanyaje?

  Hapo vip!! Kama kawaida binadamu huota ndoto mbali mbali lakini hii imetisha kidogo.. Leo nimeota nimesimama nje ya biashara yangu karibia na mlangoni..mara nikamuona nyoka anaingia ndani ya biashara yangu...kiukweli baadaya kushtuka usingizini nimekosa amani sana... Nina imani humu...
 2. MsemajiUkweli

  Kama Rais Samia ameweza kufanya kwa Wakuu wa Mkoa, kwanini hakufanya kwa Mawaziri?

  Nilishangaa kidogo kusoma Press Release ya Ikulu ambayo ilitangaza majina ya Wakuu wa Mikoa ''wapya'' ambao WAMETEULIWA na Rais Samia. Kilichonishangaza ni lugha iliyotumika lakini ''kiuhalisia'' kilichofanyika ni UHAMISHO TU wa Wakuu wa Mikoa na kuziba nafasi za wale wamestaafu. Rais Samia...
 3. Komeo Lachuma

  Natoa nafasi za watu kuja kufanya field

  Wale wanaosoma Hotel Management, Human Resource, Business and Administration, Customer Care, Sales and Marketing kwa ngazi za kuanzia Diploma, Degree na kuendelea. Karibuni mje kufanya Field.hasa ma binti. Nmefungua mabanda matatu ya kuuza chips. Hao wahusika wanaweza kupata nafasi za kuja...
 4. kavulata

  RC Kunenge kufanya hivyo ni sawa na kuwafukuza Machinga Dar es Salaam

  Kwanza wasizibe njia za waendao kwa miguu, barabara za Mwendokasi na Barabara za Magari mengine Pili wasifanye biashara mbele ya wafanyabiashara wengine Tatu msijenge vibanda vya kuuzia biashara na kujikinga na mvua na jua Mwisho wasipikie mihogo na vitumbua kwenye msongamano wa watu. Kama...
 5. W

  Bungeni Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akosa Mbunge wa kumuuliza swali la papo hapo

  Habari wanajukwaa, ni utaratibu wa kawaida wa kila Alhamisi Wabunge hupata nafasi ya kuuliza maswali kwa Waziri Mkuu na kupatiwa majibu ya moja kwa moja hasa kuhusu mambo nyeti yanayopaswa kupatiwa majibu ya haraka toka serikalini. Ila hali imekuwa tofauti katika Bunge hili na hali hiyo...
 6. Meneja Wa Makampuni

  Kujitolea kufanya kazi za watu ni kujishusha thamani

  Kwanini usijitolee kufanya kazi zako. Kwanini usijitolee kutafuta hata madini wewe mwenyewe. Kwanini usijitolee hata kutoa elimu kwa wengine wewe mwenyewe. Kwanini usijitolee hata kufundisha wengine wewe mwenyewe. Mimi baada ya kumaliza chuo nilijitolea mwenyewe kufundisha vijana table...
 7. J

  Jinsi ya kujisajili BASATA kwa ajili ya kufanya sanaa

  Msanii anaweza kupata fomu ya usajili mtandaoni kwa kuingia www.basata.go.tz au kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya na baadaye kujaza fomu na kuziwasilisha BASATA zikiwa zimeambatanishwa na wasifu binafsi (CV) wa Msanii husika
 8. msovero

  Ajira 6,000 za walimu zagubikwa na utapeli. Waziri Ummy amuagiza Katibu Mkuu kufanya uchunguzi

  Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema kuna Watu wamejitokeza mitaani ambao wanawadanganya Walimu ambao hawajaajiriwa kuwa wanatakiwa kutoa Tsh. Milioni moja ili wapate ajira kwa haraka kwani nafasi hizo hazitatangazwa na Serikali bali zitatolewa kisirisiri. Waziri Ummy ameyasema hayo mapema...
 9. beth

  Jeshi la Chad lakataa kufanya mazungumzo na Waasi

  Baraza la Jeshi Nchini Chad limekataa mazungumzo na Waasi ambao wamekuwa wakipigana nao tangu kutokea kifo cha ghafla cha Rais Idriss Deby aliyeongoza kwa miaka 30. Msemaji wa Baraza hilo, Azem Bermendao Agouna amesema sio muda wa upatanishi wala mazungumzo wakati huu ambapo Chad inakabiliwa na...
 10. P

  Hayati Magufuli ameacha legacy ya kuthubutu kufanya kitu bila ya kuomba ruhusa kwanza kwa mfadhili yeyote

  Viongozi wa kisiasa wana kazi ngumu sana. Kutakiwa kumridhisha kila wanayemuongoza kwa kadri ya uwezo binafsi, ni mtihani mgumu. Ni vigumu kwa kila anayeongozwa na kiongozi fulani kuwa na mtazamo ule ule kama wa mtu mwingine. Naamini kabisa kwamba hayati John Magufuli hakuwa na sifa ya kiongozi...
 11. Uzalendo Wa Kitanzania

  Taarifa: IGP Simon Nyakoro Sirro Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania

  Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Nyakoro Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini David Concar. Wawili hao walikutana ofisini kwa IGP Sirro na walibadilishana uzoefu kwenye masuala mbalimbali ya kiusalama
 12. Idugunde

  Hata mkiruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa mtatueleza nini cha maana tuwaelewe?

  Miaka mitano ya hayati Magufuli imewafumbua Watanzania mambo mengi. Imewafumbua Watanzania kuwa kulikuwa na pesa nyingi hazikusanywi kwa manufaa ya umma bali zilikuwa zinaingia mikononi mwa watu. Lakini pia imefumbua watu juu ya mambo mengi tu. Kama hawa wanasiasa ambao hawana hoja za msingi...
 13. Extrovert

  Nini kinakuogopesha kufungua au kufanya biashara?

  Watu wengi wanatamani kufanya biashara wengine wana mitaji kabisa sababu unakuta yeye ni mtumishi hela sio swala la kuuliza ila when it comes to starting a business anajikuta anasita sita au kupatwa na uoga na jakamoyo! Ijapokuwa kujiajiri na biashara ndio kitu ambacho kinaaminika kuleta...
 14. andoza

  Je, unaweza kufanya kazi kama Personal Assistant?

  Habari, Kuna Project Ndogo ambayo inaweza kuhitaji PAs kama 10 hivi lakini ambao watakuwa wanafanya kazi Remotely. Kwa malipo ambayo yatakuwa calculated Hourly. Anaweza kufanya Mtu yeyote ME/KE ila ni lazima awe anajua kuongea na kuandika Kiingereza na Kiswahili. Lazima awe na ujuzi wa kutumia...
 15. SN.BARRY

  DC Kasesela alikoroga Iringa. Apiga marufuku bajaji kufanya kazi

  Kufatia mgomo wa daladala manispaa ya Iringa mkuu wa wilaya ya Iringa Mr.Kasesela amepiga marufuku bajaj kufanya kazi. Amepiga marufuku bajaji kutoka Ipogolo n Kitwiru kwenda Iringa mjini. Amepiga marufuku bajaji kupita Dodoma road, bajaji za mkimbizi na Kihesa kilolo wakitaka wapite nyuma ya...
 16. Roving Journalist

  Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
 17. Bhujegwe

  Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Shinyanga kuzuiwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2021

  Kuna taarifa kuwa Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush, wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi wa tano. Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi...
 18. UZZIMMA

  Mwanamke ukiolewa au kukutana na mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi utachukuliaje?

  Habari zenu humu ndani. Baada ya kushiba daku nimeamua kuja na uzi huu. Kwa sisi wanaume tukioa kisha tukapata mwanamke ambaye hajawahi kuguswa, mwanaume anajiona fahari. Wanaume tunaona tumepata kizuri cha kupata. Na hata katika jamii inakuwa ni jambo jema. Sasa swali ni kwa upande wa pili...
 19. J

  Je, ni biashara gani naweza kufanya ikanipatia walau ada?

  Mimi ni mvulana wa miaka 23kwa ninaitwa, Johnson napatikana Dar es Salaam naombeni ushauri mimi nimesoma hadi form four lakini sikufanikiwa kwenda mbele zaidi na ni MTU anaependa kusoma hasa katika ngazi za IT. Je, ni biashara gani naweza Fanya ikanipatia walau ada kwasababu ada ni kuanzia laki...
 20. James Martin

  Je, tumejifunza somo gani kwa Wanajeshi kugoma kufanya kazi na kuandamana?

  Siku chache zilizopita mkuu wa majeshi amewafukuza vijana wapatao 854 waliofuzu mafunzo ya kijeshi kwa kushinikiza waajiriwe na jeshi kupitia mgomo wa kufanya kazi na maandamano. Mimi binafsi siamini wanajeshi watumiwe kwenye miradi yeyote ya kujenga uchumi na kazi zozote za kiraia na polisi...
Top Bottom