VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii.
Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja...
Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya.
Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
Kwa sasa ukitaka kuona brain za nchi hii, nenda CHADEMA.
Nawaelewa sasa CCM kwa kuanza kuchukua sera za Lissu na CHADEMA ikiwemo ukomo wa ubunge kupitia Viti Maalum
kila la Kheri CHADEMA
Allah azidi kuwaongoza!
DODOMA:
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya Ikome wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma yakiwa yamechanganywa na mazao mengine halali ili kuficha shughuli...
Habari Ndugu zanguni,
Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa...
Hivi nyie vyombo vya habari, nyie sindo CCM ilikua inawafungia ? Na kuwawekea mitozo mingi na migharama mingi kwenye kuanziasha hizo Online TVs ? Mmeshajisahau.
Kesho ni Mkutano Mkubwa wa LISSU , ila nauhakika Online TVs na Main Media zitajifanya kuupotezea Kwa sababu ya mlungura, biti na...
Huku kwetu maeneo ya Kibaha hasa Kibaha Kwa Mfipa kuna matukio ambayo ni hatari sana kwa usalama, kwani kuna vibaka wanatusumbua na wanafanya matukio yao majira ya Saa 11 alfajiri wakiwalenga wale watu wanaodamka asubuhi mapema kwenye kwenye majukumu yao.
Vibaka hao wanakaba na kuwapora kwa...
Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii.
Pili kuna kundi moja nchi hii naomba...
Hivi vinafaa zaidi kwa watoto, sehemu za jumuiya ama kwa wapenda ng'areng'are.. Usukumani hivi utauza sana (joke)😂
Kama si mpenzi wa rangirangi hivi havikufai kabisa.. Vipite kama huvioni😂
Mwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine .
Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala .
Kwa ujumla wanasheria wameonesha udhaifu mkubwa sana , lakini mamlaka zimeonesha udhaifu.
Hawa wabunge 19 wanamaliza...
Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa.
Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba...
Nimesikia kauli iliyotolewa bungeni na waziri naibu wa habari, tamaduni na sanaa na michezo Hamis mwinjuma kwamba wachambuzi wote lazima waende shule kwanza ambapo amedai kwamba ni kutokana na sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1,
Katika uhalisia sheria haikumaanisha...
2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ)
Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa...
Wakuu
Walee tunaonunua ndinga mikononi mwa watu bila kubadili umiliki tumefikiwa.
TRA imesema kuanzia January 20 itaanza kutumia mfumo unaoitwa IRAS ambao hautaruhusu alieuziwa chombo cha moto kubadili umiliki, badala yake alieuza chombo hicho ndiye atakua na uwezo wa kubadili umiliki pekee...
Hata mimi naungana na bwana Musk, binafsi inaenda miaka 2 sasa nimeshasahau kitu inaitwa redio, runinga kutizama ni mara moja moja sana, tena siyo taarifa ya habari, natazama vipindi vingine kama mpira, wildlife nk.
Mainstream media za bongo zimejipangaje na hii transition inayoenda kutokea?
Salaam Wakuu,
Tanzania tuna safari ndefu sana. Tulitegemea Vyombo vyetu vya Habari na hizi online TV wawe mbele kwa uzalendo kwa kutetea Nchi. Lakini wanatumikia Mafisadi.
Nimetafuta Video za Ufisadi wa Lugumi, zote zimeondolewa Mitandaoni.
Ni aibu kwa TEF, na MISA-TAN na Washika dau waao...
Uyu mpanzu namuona ni mchezaji machachari na sio Bora,,namuona anapenda kucheza Mpira wa sifa badala ya team work!
Anajaribu kuutafuta ufalme wake kwa nguvu matokeo yake anaharibu,,Kila Mpira anaougusa ata kama ayuko kwenye nafasi nzuri ya kufunga yeye anataka kupiga golini ili aendelee kuimbwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.