Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu.
Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
amani
amani na usalama
chochote
hatua
history
katika
kipindi
kufanyakufanya maamuzi
kuliko
maamuzi
maamuzi magumu
magumu
maslahi
ni ya
rais
suluhu
taifa
taifa letu
teknolojia ni yetu sote
uhakika
umoja
usalama
usalama wa taifa
utawala
Sasa fikiria hizo kelele, ndizo zingeibuliwa pande zote , Kusingekuapo na Mkutano Tena, Bali Fujo Fujo ambazo Serikali na Msajili wangetumia!!.
Sasa wameambiwa kwakua Mkutano umeahirishwa, ni Ama kurudisha Pesa za watu au Kuita Vyombo vya habari kumshambulia Heche
Huruma siyo malezi
1.unamlea mtoto au wew ndo unaendeshwa na mtoto? Unamlea siyo kwa misingi ya dunia unafanya vitu ili upendwe na mtoto mwisho wa siku anakudharau hata kama nikifanya hivi baba/mama hawezi kunifanya chochote.
2.mtoto anajilea mwenyewe kama kila analofanya kwako ni safi tu...
Hawa wapumbavu hawatikiwi kuonewa huruma.
Kwanini wasimtake LISSU mwenyewe kukubali MARIDHIANO ili aachiwe ??.
Kwann badala yake wanalazimisha HECHE wewe ndio ukubali MARIDHIANO ?.
Kwani ni Ofa ngapi ambazo LISSU kaletewa akiwa Jela ili awe Huru ??
Kama LISSU mwenyewe hajazikubali hizo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema kuna haja ya kuongeza msukumo kutoka kwa wananchi ili kuwafanya viongozi waliopo madarakani kutambua umuhimu wa kufanya mabadiliko ya Katiba.
Heche amesema chimbuko la baadhi ya matatizo yanayotokea nchini...
Habari wana JF, Mi ni ke 24 yrs nina degree na nipo DSM.
Naombeni mnisaidie mawazo na ushauri je, naweza kufanya mishe gani ya halali hapa DSM ambayo inaweza kuniingizia 20k daily?
Uwinga saivi hali si shwari.
Hapo VIP!
Nashauri serikali iandae taratibu za kupima IQ za wananchi wake ili wenye IQ kubwa wapewe leseni ya kufanya siasa.
Kisayansi MTU mwenye IQ ndogo hanauwezo wa kutatua matatizo Yake mwenyewe Na katika jamii.
Nimechunguza Na kutafiti siasa katika nchi yetu Na Kwa Afrika kwa jumla ila...
Tukiwa katika mazungumzo na rafiki yangu juu ya umuhimu wa kufanya maombi ya mara kwa mara hata kama hakuna tatizo, kwa sababu shetani yuko kazini kila siku kuwatafuta watu haweze kuwadhuru.
Rafiki yangu anaeleza siku moja wakati yuko kazini mmoja wa watoto wake ambao anawafundisha alikuwa...
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA NDG. ODWEN MWALYAMBI WA M/S RUHAMA TRIPPLE THREE JUNIOR ENGINEERING KUHUSU BARABARA YA KAWAJENSE -UGALLA-MNYAMASI
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imefuatilia taarifa na malalamiko yaliyotolewa na Ndg. Odwen Mwalyambi wa M/s Ruhama Tripple...
Asasi za Kiraia (CSOs) zipatazo Hamsini (50) zimesaini tamko la kuomba SADC Pannel of Elders kuja nchini Tanzania kukutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali waKIwemo Serikali ,Vyama vya Siasa,viongozi wakuu wastaafu,viongozi wa dini,Asasi za Kiraia kama sehemu ya juhudi za kutatua...
Kikosi cha Makomandoo wasomi wa IDF kiliingia katika eneo linalodhibitiwa na Magaidi wa Hamas kusini mwa Gaza mapema Jumatano na kumkamata Sabri Abd al-Aal, afisa mkuu wa polisi wa Hamas mwenye cheo cha Aqid, sawa na kanali.
Takriban saa saba usiku, kikosi cha takriban Makomandoo 15-20...
Kwa yeyote aliyewahi kufanya practical hususan kwa kada ya ICT (Database administration) naomba utupe mwanga kidogo, Je Inatumika DBMS System ipi? Postgre, SSMS, MySQL nk Je Practical nayo hufanyika kwa njia ya online au kuna Msimamizi mtoa alama papo hapo?
Natanguliza shukrani
Mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu, nilikopa mkopo wa mwaka mmoja benki ya CRDB.Nikiwa mtumishi wa serikali niliruhusu makato kwenye mshahara wangu moja kwa moja.Makato tulikubaliana yaanze mwezi wa saba.Ajabu huo huo mwezi wa sita waliingiza mkopo na kuukata rejesho zima la mwezi.
Nilipowafuata...
Miaka kadhaa mara baada ya kuangaika hapa na pale kutaguta ajira nikafanikiwa kuajiriwa ofisi moja ya umma
Kwangu lilikuwa jambo la heri sana kupata kazi, na kwa wazazi wangu walifurahi sana kijana wao kupata kazi.
Mara baada ya taaribu za ajira nilipangiwa kituo cha kazi mkoa jirani na...
Kwanza wamekwishampa uhalali wa kumtambua kuwa yeye ni "Mheshimiwa Rais" halali licha ya waTanzania kutomchagua kwa kura halali.
Mwezi August, 2025 waliomba wakutane naye kujadili maswala muhimu kuhusu uchaguzi wa Oktoba, kakataa kukutana nao kwa kujua nia yao ilikuwa ni kushawishi akubali...
Nataka kuingia kwenye biashara ya daladala, lakini nahitaji ushauri wa wazoefu.
Kwa walio kwenye biashara hii, ni mambo gani muhimu ninayopaswa kuzingatia kabla ya kuanza?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.