The Uganda People’s Defence Forces are holding two staff members attached to the office of former Speaker of Parliament Anita Among.
A source privy to the investigation, speaking on condition of anonymity, said the former speaker’s head of security detail — a senior police officer from the...
BREAKING: A joint security team led by the CID, with support from the military and other security agencies, has raided former Speaker Anita Annet Among’s residence following a corruption probe into alleged illicit enrichment and money laundering.
NBS REPORTS
More Information.....
A joint...
Kama kichwa cha uzi hapo juu kinavyoelezea, tuchukulie mfano simu ya Samsung Galaxy S22 ultra ambayo mara ya mwisho imepokea system update mwaka jana huku ikitarajiwa kutokupokea tena security updates ifikapo 2027.
Je simu kama hiyo na nyingine nyingi zisizopokea updates tena zina effects gani...
TANGAZO
Wanahitajika 5 Security Guards:
Wanaume 3
Wanawake 2
Eneo la Kazi - Kiwanda Kipo Temeke Dar
Sifa:
Awe na uzoefu wa kazi ya ulinzi usiopungua miaka 2 na kuendelea
Aliyepitia JKT atapewa kipaumbele (added advantage)
Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
Waombaji watume CV zao...
Maj. Gen. Christopher Ddamulira, the Director of Crime Intelligence at the Uganda Police Force, has warned members of the public against misusing security details and driving unmarked vehicles, saying those involved in such practices will face the law.
Speaking to UBC TV on the matter, Maj...
Ugandan security forces have Vacated from opposition leader Bobi Wine's residence in Magere on March 24, 2026, ending a two-month siege that began after the disputed January 15 presidential election, during which access was heavily restricted.
Police had justified the deployment as a preventive...
Waziri wa Usalama wa Ndani, Kristi Noem, alikabiliwa na msururu wa madai ya utovu wa nidhamu mbele ya Kamati ya Sheria ya Bunge siku ya Jumatano. Madai hayo yalijumuisha masuala kuhusu mipango yake ya makazi, kumzuia mkaguzi wa serikali, kutoa mkataba bila ushindani kwa kampuni mpya...
Usiku wa Ijumaa, Musanda Police Station Mumias West, Kakamega County ilivamiwa na armed assailants. Watu sita waliokuwa wamepanda pikipiki mbili walifika kituoni wakidai motorbike imeibiwa, lakini muda mfupi baadaye wakafyatua risasi na kuanzisha vurugu.
During the attack, police officers...
Following his arrest for running toward President William Ruto on February 12, 2026, during the Nyota Launching Program in Wajir County, Ahmed Mohamed's family has spoken out.
His sister claims that on Friday, February 13, one day after the incident, Ahmed was taken from his house and...
Natumai hamjambo, kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nina uzoefu wa kutosha na hii kazi nilishafanya serena hoteli, kiwandani na airport termonal 3 kupitia gardaworld
kwa yeyote atakayeweza kunisaidia ani PM tafadhali
Kila nikifikiria hili swala la Maduro kunyakuliwa usiku wa maanane ikulu ,basi bila shaka alikuwa hawaamini "My fellow county men" mpaka akaamua kuwakodisha wa Cuba kama Walinzi wake.
Sasa wa Venezuela wenzake wakaamua "kumuuza" kwa bei ya jioni kabisa kwa Baba Baron 😂😂😂.
Natumaini hamjambo, nami pia sijambo nimefanya kazi ya security kwa miaka 5 maeneo mbalimbali ikiwemo serena hoteli mwaka 1, viwandani miaka miwili na airport terminal 3 mwaka 1, na nimefanya kazi hayo maeneo kupitia GARDAWORLD hivyo nina uzoefu wa kutosha
kama kuna yeyote anaweza kunisaidia...
Taarifa za uhakika kabisa za kijasusi zilizopo ni kwamba jeshi la polisi chini ya kamanda Mafwele wapo kazini kuwatafuta, kuwabaini na kuwatambua wale wote walohusika na kuandaa mikutano ya kupanga maandamano ambayo kwa namna fulani yamefanikiwa kufikisha ujumbe.
Ujumbe wa maandamano hayo...
We’re looking for qualified and passionate Assistant Team Lead – IT (Network and System Security) – (Re-advertised)
Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you a tech-savvy individual with a passion for making a difference? Are you eager to bring your IT...
Kama hujatembea mataifa ya wenzetu unaweza usielewe hii kero niisemayo hapa.
Ukweli ni kwamba barabara zetu zinawekewa matuta ya kikatili na ya hovyo sana, licha ya haya matuta kuchangia uharibifu wa gari lkn pia husababisha kero sana kwa watumiaji wa barabara.
Hivi kwa technology hii...
Tumeisha toa amri Israel lazima atiwe adabu na nchi yeyote inayo ingilia tutaishambulia
https://youtu.be/ij4yaxMawng?si=Pepu-im6QwJ48gLZ
Vitu vinaondoka mda huu
https://youtu.be/mLMpR_BvtqQ?si=ZW7iApOAlTCeDvgL
Wadau hamjamboni nyote, bTaarifa muhimu Baraza la mawaziri la usalama Israel kukutana kwenye chumba maalumu chini ya ardh underground bunker saa 10 jioni, taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, By Times of Israel The security cabinet is set to meet in an underground bunker tonight at 10...
Ndugu wapenda technologia….
Hii yote inahusu simu yangu ya iphone
Leo nimepata pigo kubwa la security Bleach KWA KUKUSUDIA NA PASIPO KUKUSUDIA
Hivi juzi kati nimenunua simu nyingine Iphone 11 kutoka ka mtu naefahamiana nae na mm nililua natumia iphone X max
Sasa changamoto ikawa kwene...
Wakuu na wataalaamu wa mifumo ya ulinzi wa magari, title yajieleza.
Nahitaji kufunga ''Alarm System''. Pia nahitaji kufunga "Kill Switch" ili kuongeza security levels kwenye gari.
Kill Switch ambayo inazuia kabisa gari kuwaka.
Je, kuna mfumo ambao ni Two in One, yaani alarm + kill switch?
If...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.