ujumbe

  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "WANAOTAKA KUTULETEA SHIDA, TUKO TAYARI" - Dangote Atoa Ujumbe Kwa Waliokwenda Mahakamani Kupinga Refinery ya Lamu.

    Billionaire Aliko Dangote ameonyesha kuwa kesi ya ardhi inayohusisha eneo linalopangwa kujengwa Dangote East Africa Refinery huko Lamu haitoshi kumfanya abadili msimamo kuhusu mradi huo. Akizungumza na wawekezaji Jijini Nairobi leo, Dangote alitaja changamoto za kisheria nchini Kenya kama jambo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huu ujumbe Mo Dewji anamlenga nani?

    Bilionea, mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohamed Dewji, ameandika kupitia ukurasa wake wa Threads akisema historia imeonyesha kuwa hatari kubwa kwa taasisi haitokani na wakosoaji wa wazi, bali watu wanaoonekana waaminifu huku kwa siri wakipinga misingi ya taasisi hizo.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kina: Wimbo 'No Condition is Permanent' wa Rocha Maria na Ujumbe wa Kifalsafa Kuhusu Maisha

    Habari za wakati huu wana-JamiiForums, Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la nyimbo zinazovuma kwenye mitandao ya kijamii, lakini wimbo wa "No Condition is Permanent" ulioachiwa mnamo Agosti 2026 na msanii Rocha Maria umeacha alama ya kipekee sana. Huu sio wimbo wa kuburudisha tu, bali ni...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo

    Sina cha kuongeza
  5. O

    JamiiForums Kenya HABARI: “NI NINI KINAWASUMBUA WAUMINI KANISANI?” — UJUMBE WA SADAKA WAIBUA MJADALA

    Video yaibua mjadala kuhusu namna baadhi ya waumini wanavyotoa sadaka kanisani, huku kikapu cha sadaka kikionekana kuwa na kiasi kidogo cha fedha. Mhubiri anaonekana kuzungumzia changamoto zinazowakabili waumini na mtazamo wao kuhusu utoaji, jambo linalogusa maisha ya mwananchi wa kawaida ambaye...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa siku

    Wakristo wanaamini ndoa ni ya mume mmoja na mke mmoja..na hivyo si sahihi kiroho kwa mkristo kuhani msiba kwa mume au mke wa pili kwa mtu..! Muwe na jumapili ya Baraka.
  7. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Spy Catcher: Kuna Ujumbe wa siri ulitolewa hapa na Dkt; Nchimbi kabla Kujiuzulu kwake. | Code +255

    Mnamo mwaka 1987 Nchini uingereza kuliibuka tetesi kwamba Idara ya ujajusi wa ndani MI5 kupitia kwa maafisa wake walihusika katika mpango wa kumdhoofisha aliekuwa waziri mkuu "Harold Wilson", na kumlazimisha Kuondoka Madarakani kwa kujiuzulu. Jina la Spy Catcher Linasomeka moja ya vitabu...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Kama ni ujumbe wa kitisho basi tumtie moyo na kumuombea Siha njema...kazi hii inayo majaribu mengi sana

    Bila shaka ni ujumbe wa kitisho kwake kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake. Tumpe moyo kuendelea kusimama na nchi yake ila anayemtisha asisamehewe na umma wa watanzania kamwe.
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Oman wamfariji Rais Samia kufuatia msiba

    Ujumbe wa Mawaziri kutoka Oman wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Msipotubu yaliyotokea October 29 huko mbele huenda yakatukuta ya Nepal

    Elininyo elininyo tubuni damu za wale watoto hazitawaacha salama. Nyie mnajiona wajanja ila nawaambia zile damu ni mbaya sana kwa hili taifa. Viongozi wa dini mnasisitiza tuliombee taifa wakati kuna damu zinalia zipo ardhini? Huu ni mtego mbaya sana kwa hili taifa. Bila toba hatutoboi .
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania UJUMBE WA SHUKRANI KUTOKA KWA Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  12. L

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka Trump kwenda kwa Putin na Zelensky kutaka vita viishe. Urusi ingekua inazidiwa wangeenda Moscow?

    Ujumbe ulioenda Moscow,ulienda kuongea na Putin kutaka vita iishe. Sasa ujumbe huo umeenda Ukraine kuongea na Zelensky juu ya suala hilohilo la kumaliza vita. Katika Hali ya kawaida Zelensky ni mtu wao wala kwake hawatapata shida ya kumtaka vita iishe. Leo hii Marekani inaenda Moscow kutafuta...
  13. JF Member

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa CCM

    Ifike hatua muanze kuongoza wananchi sio kutawala. Kutawala ni kwa mkoloni. Ifike hatua musijifanye jeshi . Ninyi ni Chama cha siasa. Munatumia majeshi kufanya kazi ya siasa. Na hii itaighalimu nchi. Utulivu unapotea. Fanyeni fair play kama yanga na simba Ili keki ya nchi tufaidi sote...
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuandika ujumbe huu 15 Novemba 2016, hakuonekana Tena.

    Eti kwamba kama Rais Magufuli ni jasiri au la? Ni Jasiri. Nakiri Ujasiri hu sina.Muungwana hukiri asichokuwa nacho na kumkubali mwenye nacho.Kwanza ule ujasiri wa kupingana na risala ya Marehemu msibani ulikua ni uthibitisho. -Ujasiri wa kutamka ukweli kuhusu fisadi aliyekua akiibia nchi kila...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Sifa za Uongozi: Ujumbe wa Rais Samia

    Hakuna shule inayofundisha kuwa Makamu wa Rais, bali sifa zako na bidii, weledi, nidhamu na utayari wako wa kujifunza kufuatilia na kusimamia shughuli mbalimbali za utekelezaji zitakusaidia kutumiza majukumu yako. -Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania
  16. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa ujumbe mzito makamu wa Rais amwambia asiwe kama samaki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius John Ndejembi muda mfupi baada ya Uapisho wa Makamu wa Rais uliyofanyika Ikulu, Chamwino - Dodoma leo Agosti 29, 2026. Katika hafla hiyo Rais Samia...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Sheba Igangu anataka Balozi Mkubwa aliwe kichwa kama yule mdogo, wanamlazimisha atume ujumbe kule kuwa aliwaingiza chaka!

    Sheba wa Igangu ni mpuuzi sana anapendekeza Balozi mkubwa aliwe kichwa kama mdogo alivyouwawa? Yuko Malawi wamamtia kufuli. Mapendekezo ni Mawili kuwa Afungwe au awe apigwe kufuli kwake! Cha Kushangaza hata mke wake ameshindwa kuonana naye ameoanana na mwakilishi Mmoja tu Wa ndugu. Account zake...
  18. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM hapa ndio sehemu ya kutuma Ujumbe kwa Samia siku ya kupigia kura hilo jina la Makamu wa Rais. Hana Cha kuwafanya kwasasa

    Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa. Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya. Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nchimbi kujiuzulu siasa ni ujumbe kwa CCM!

    Nchimbi hata mara moja hajazungumzia CCM na amesema anajiuzulu siasa maana yake ni kwamba kapiga dongo CCM kwa kiasi kikubwa. Sasa kama wewe bado upo CCM jiulize kusudi lako hasa ni lipi! Kwa serikali hii ya wanzanibari pekee na machawa
  20. Slobodan Mirosovich

    JamiiForums Tanzania UMEELEWA NI K KUHUSU UJUMBE WA PICHA HII

    Ujumbe huu nimeukuta mtandao wa Twitter(x) mwandishi hajaongeza neno lolote zaidi ya picha Nakaribisha tafakari
Back
Top Bottom