bwawa la nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Madhara ya bwawa la Nyerere yanaimomonyoa legacy ya JPM. Alipingana na wataalamu, sasa kiko wapi?

    Mafuriko ya Rufiji yanaonezha dhahiri kuwa JPM aliendesha nchi kibabe na kimihemko na akatupilia mbali ushauri wa kitaalamu. Mashirika na wataalamu wengi walipinga ujenzi wa bwawa hili lkn JPM akawapachika majina kuwa no mabeberu ama mawakala wa mabeberu. Madhara ya bwawa hilo hayaishii...
  2. chiembe

    Hayati Magufuli kukataa kufanya tathmini ya mazingira bwawa la Nyerere, sasa Rufiji inazama, serikali ifanye tathmini ya mazingira sasa

    Wakati watu wenye akili wakishauri mradi wa umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere ufanyiwe tathmini ya mazingira, genge la JPM lilikuwa linabeza huku likijivisha uzalendo mapepe kwamba mradi utachelewa. Sasa Rufiji iko hatarini kumezwa na maji. Maji hayo yanatokana na bwawa kujaa na mto kujaa, na...
  3. Replica

    Mtambo wa pili bwawa la Nyerere kuwashwa, kumaliza kabisa mgao wa umeme nchini

    Serikali inatarajia kuwasha mtambo wa pili wa kufua umeme kwenye bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere pamoja na changamoto ya kuzidi maji katika bwawa hilo. Mkurugenzi wa Tanesco kanda ya mashariki, Kenneth Boymanda amesema majaribio yanaendelea ambapo mtambo huo unaojulikana kama mtambo namba nane...
  4. U

    TANESCO watorosha Maji Bwawa la Nyerere, na kuharibu mazao Kwa mafuriko

    Licha ya TANESCO kutoa adhabu ya kugawa Umeme Kwa wananchi wa TANZANIA na kuendeleza mateso hawajaridhika na sasa wameamua kufungulia maji ya bwawa la nyerere na kusababisha mafuriko makubwa na uharibifu wa mazao katika vijiji vilivyopo mkondo wa chini wa bwawa hilo. Maji hayo ambayo...
  5. FRANCIS DA DON

    Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

    Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli...
  6. U

    Kuchelewa kufungwa mashine, kutasababisha maji kufunguliwa bure Bwawa la Nyerere

    Mradi wa Bwawa la Nyerere tuliambiwa ungekamilika June 2022, lakini haikuwa hivyo. Hata hivyo mwezi wa 12/2022 bwawa la mwalimu nyerere lilianza kujazwa maji, ambapo Ili bwawa kujaa kabisa linapaswa kufikia Mita 184 kutoka usawa wa bahari. Kusua kusua Kwa mradi na kuchelewa Kwa kufungwa...
  7. S

    Tanesco Temeke: Umeme upo wa kutosha, shida miundombinu iliyopo haiwezi kutawanya umeme kwa wakati mmoja

    Kama ulikuwa unafikiria kwamba baada ya umeme wa bwawa na Nyerere kuanza kupatikana basi matatizo ya mgawo wa umeme yatakuwa yamekwisha, basi sasa ni wakati wa kubadili mawazo yako. Tanesco wanasema kwamba, mgawo wa umeme Tanzania kimsingi hautokani na ukosefu wa umeme wa kutosha, bali ni kwa...
  8. BARD AI

    Kamati ya Bunge: Bwawa la Nyerere litakamilika Juni 2024, Tsh. Trilioni 5.85 zimelipwa tayari

    NISHATI: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Dkt. David Mathayo amesema Utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP), umefikia 95.83% na utakamilika Juni 2024 huku Tsh. Trilioni 5.85 (89.24%) zikiwa zimelipwa kwa Mkandarasi. Amesema...
  9. Replica

    TANESCO: Hamna mgao wa zaidi ya saa 12, yasema labda iwe hitilafu ya miundombinu. Bwawa la Nyerere kuanza majaribio January

    Msemaji wa shirika la umeme nchini TANESCO Kenneth Boymanda amesema hali ya uzalishaji wa umeme imekuwa ikibadika hasa umeme wa kutumia nguvu za maji na kupelekea upungufu na kulazimika kugawa umeme ili kiwango kinachozalishwa kifanane na mahitaji. Boymanda amesema inapotokea hitilafu kwenye...
  10. BARD AI

    Rais Samia: Uzalishaji Umeme Bwawa la Nyerere kuanza Januari 2024

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo Januari 2024, kinu cha kwanza kati ya tisa vilivyopo katika bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kitawashwa na kuruhusu uzalishaji wa nishati hiyo kuanza. Rais Samia amesema baada ya kuwashwa kinu cha kwanza, cha pili kitawashwa kabla ya...
  11. M

    Kwanini picha ya kujaa Maji Bwawa la Nyerere haionekani google wakati huu, nini shida

    Tangu kuanza kujazwa maji katika bwawa la nyerere ni takribani mwaka mmoja umepita, na maendeleo ya ujenzi wa bwawa la nyerere limefikia asilimia takribani 90. Sasa toka maji yameanza kujazwa disemba 2022 maji yameingia mengi mno, na ujazo umefikia mita takribani 160+, hawa google kwanini...
  12. kmbwembwe

    Kila dalili zinaonesha Bwawa la Nyerere kuhujumiwa na wapigaji ili kupata kile wangekosa chini ya Hayati Magufuli

    Kuchelewa kufunguliwa mradi wa bwawa la Nyerere kwa hali yoyote ni njama ya wale ambao mradi kama huo ungewaingizia binafsi mabilioni kwa upigaji au wataathirika upigaji wao kwa mradi mkubwa wa hydro kuzalisha umeme megawati 2000 na zaidi. Kuna maajenti wa mabeberu wa kigeni wako tayari kwa...
  13. R

    Viongozi wa dini watembelea Bwawa la Nyerere

    Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), limesema mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakuwa na manufaa makubwa manne ambayo ni kufua umeme, uvuvi, utalii na ufugaji. Kauli hiyo wameitoa leo wakati wanazungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kumaliza ziara ya...
  14. FRANCIS DA DON

    Nimegundua leo: Baadhi ya mikataba mibovu huingiwa kwa makusudi ili tukalipe mahakama ya ICSID, hili la DP World adhabu itakuwa ni bwawa la Nyerere

    kuna kila dalili kwamba mikataba mingi mibovu huwa inaingiwa sio kwa bahati mbaya, bali kwa makusudi kabisa, ili akija Rais mwingine au wananchi wakapiga sana kelele, basi mkataba unavunjwa halafu tunapelekwa ICSID. Kule sasa wanatumwa magoigoi au vibaraka kama akina mkono enzi zike, tunalimwa...
  15. FRANCIS DA DON

    NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

    Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi. Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo...
  16. Nyendo

    TANESCO: Bwawa la Nyerere halitapunguza bei ya umeme

    Licha ya gaharama za uzalishaji wa umeme kutarajiwa kushuka baada ya kukamilika kwa Bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) Juni 2024, imebainika kuwa uzalishaji huo hautapunguza bei ya umeme kwa wateja. Bwawa hilo linatarajia megawati 2,115 za umeme zitakazoingizwa katika Gridi ya...
  17. benzemah

    Ujenzi Bwawa La Nyerere wafikia asilimia 90, uzalishaji kuanza mwezi Juni 2024

    WAZIRI wa Nishati, January Makamba ameeleza kuwa Ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) umefikia asimilia 90 huku shughuli ya kufunga mitambo ya kufua umeme pamoja na nyumba yake ikiwa imefikia asilimia 70 Akizungumza wakati akiongoza viongozi wa Baraza la Jumuiya ya...
  18. benzemah

    Viongozi wa Dini Wakoshwa na Bwawa la Nyerere

    Wakati mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) ukifikia asilimia 90 ya ujenzi wake, viongozi wa dini wamesema watakwenda kuwaelezea waumini wao umuhimu wa kutunza mazingira ili mradi huo uwe endelevu. Viongozi hao kutoka Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu...
  19. FRANCIS DA DON

    Je, Bwawa la Nyerere likikamilika, sheria inaruhusu kulikodisha bila kikomo ili kuongeza ufanisi katika uendeshaji wake?

    Tuchukulie kwa mfano Bwawa la Nyerere limeshakamilika na linazalisha hizo megawatt 2,115. Je, inawezekana kisera na kikatiba kulikodisha kwa mfano miaka 100 ili kuongeza ufanisi katika uzalishaji umeme? Hii inaruhusuwa kisheria?
  20. ChoiceVariable

    January Makamba: Bwawa la Nyerere limebakiza Mita 2 za Ujazo ili kuwa na uwezo wa kuzalisha Umeme

    Hatimaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme, Mambo tayari huko 🔥🔥🔥 Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba ======= Picha: WAZIRI wa Nishati, January Makamba Serikali imetangaza kuwa, wiki moja ijayo kina cha maji katika bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere...
Back
Top Bottom