𝗧𝗔𝗡𝗭𝗜𝗔: Aliyekuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki Dunia leo Septemba 21 2026 akiwa na umri wa miaka 97.
Mama Fatma Karume alikuwa mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar, ambaye aliongoza Zanzibar...