bundi

  1. S

    Nataka kufuga bundi, lakini jamii hainielewi

    Nataka kufuga bundi kuzuia uharibifu wa panya wa mazao shambani kwangu, ila sasa hii jamii ninayoishi nayo wakiona nakusanya bundi hawanielewi, wanadhani mie mchawi. Halafu mie nawaona bundi wako wa-cute! Nifanyeje? Wasije wakanichoma moto ndani ya nyumba yangu.
  2. Mjukuu wa kigogo

    Bundi katika ubora wake

    Huyu nae ni mbabe wa koboko. Yaani Mungu fundi kweli,hili dude limekaa kifala kweli ila shughuli yake koboko anaijua. Yanawatafuna balaa. Na eneo lililo na Bundi koboko lazima achague mambo mawili abaki ili aliwe au ahame haraka sana kuokoa maisha yake. Wewe mchukie tu na mhusishe kwa ushirikina...
  3. Lycaon pictus

    Ni kweli kuwa ndege wa Taifa la Tanzania ni bundi?

    Nchi nyingi huwa na ndege, mnyama, mdudu, ua, mti. . . Vya taifa. Mnyama wa taifa la Tanzania anajulikana ni twiga ila hivyo vingine havijulikani au labda havipo. Katika kusearch ndege wa taifa la Tanzania nikakutana na bundi wa Usambara(Usambara Owl-Eagle) wanasema ndiyo ndege wa taifa la...
  4. Lycaon pictus

    Video: Wazanzibari wakimchamba bundi

    Kwa kweli Afrika inafurahisha sana. https://www.instagram.com/reel/CyG1sXhrion/?igshid=NjZiM2M3MzIxNA==
  5. Bwana Bima

    Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

    Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia...
  6. Isolated

    Nimeokota mayai ya bundi

    Habarini wakuu, poleni na mihangaiko. Leo katika pita pita zangu shambani nimebahatika kuokota mayai ya bundi. Kwa wajuvi wa mambo nawiwa kuuliza hivi mayai ya bundi huliwa? Au kama Kuna mtu anayataka kwa shughuli zake binafsi anitafute. Wazo lililopo kichwani ni kwenda kuuza kwa waganga wa...
  7. Nyendo

    KWELI Bundi si mchawi, ana uwezo mkubwa wa kunusa seli zilizokufa

    Nimesoma sehemu kuwa ndege aina ya Bundi, licha ya kuhusishwa na imani za kichawi kama mikosi, mtu kufariki akionekana au kusikika akilia jirani, kutokea ghafla nk eti si kweli kwamba ni mchawi bali ana uwezo wa kunusa mtu aliyekaribia kufa. Je, ukweli wake ni upi?
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Siasa inahitaji uwe na jicho na pua ya Bundi!

    SIASA INAHITAJI UWE NA JICHO NA PUA YA BUNDI! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hakuna somo gumu kama somo la Siasa. Sio udaktari, sio uinjinia, sio ualimu, sio uanasheria, sio ukulima. Siasa ndio somo gumu zaidi Duniani. Kwa sababu Kabla ya yote Siasa ilitangulia na Baada ya yote Siasa ndio...
  9. Ashampoo burning

    Bundi limetua act wagombea uraisi watatu wamefariki kulikoni

    Act ni chama kipya hapa nchini kilianzishwa baada fujo kule chadema mwaka 2013(kama nimekosea mwaka) wakati zitto akitaka kugombea uenyekiti mbowe akamfukuza ndo ACT ikazaliwa Zitto binafsi niliwahi fanya nae mazungumzo ya simu sehemu moja nilipoona ana chuki za wazi kwa magu...pia...
  10. Nyuki Mdogo

    Mambo yahusuyo ndege BUNDI na Jinsi anavyotumika Kishirikina

    BUNDI ANAVYOTUMIKA KATIKA UTAJIRI, NUKSI, NA USHRIKIANO WAKE NA WACHAWI Kwanza bundi ni ndege wa ajabu kidogo,anajitofautisha na ndege wengine kwa tabia zake ambazo kwa asilimia kubwa wanga wengi hupita anamopita yeye. Bundi anauwezo wa kuzungusha kichwa chake mara tatu kama vile unavyozungusha...
  11. Hemedy Jr Junior

    NDEGE BUNDI NA UCHAWI

    1. .BUNDI ANATUMIKA KWA ZINDIKO LA NYUMBA ,SHAMBA N.K BUNDI..NI NDEGE WA AJABU SANA ANAUWEZO WAKUONA USIKU KULIKO MCHANA. NA UJITAFUTIA KITOWEO USIKU . ... BUNDI UTUMIWA NA WANGA ,KWA MWONEKANO WAKE..WATU ULETA DHANA YA KWAMBA BUNDI NI NDEGE HATARI NA MBAYA KWA MAISHA YA MWANADAMU. SIO KWELI...
  12. L

    Sifa nzuri za Ndege Bundi

    Kwanini Ndege Bundi anatafisiriwa kiuchawi? Nahis bundi ana faida nyingi sana...na ndio maana baadhi ya mashirika yanatumia kama nembo yao..... Baadhi ya Sifa za bundi.. Bundi ana uwezo mkubwa wa kunusa Mnyama anayekaribia kufa, ana uwezo wa kuona karibu mara nane ya uwezo wa Binadamu...
  13. M

    DOKEZO Bundi anyemelea TIRA

    RIPOTA PANORAMA MWENENDO wa mambo katika Sekta ya Bima si shwari baada ya kubainika kuwa Kamishna wa Usimamizi wa Bima (TIRA), Abdallah Baghayo Saqware ameshiriki kuanzisha Chuo Kikuu cha Bima na Mifuko ya Jamii barani Afrika, ambacho kwa jina la kimombo kinaitwa Africa College of Insurance and...
  14. Suzy Elias

    Bundi atua kibabe kwenye dirisha la Madrasa huko Zanzibar. Aondoka na karatasi ya majina.

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya.... Huko Zanzibar ndege bundi aliyekuwa amevalia nguo zake zote za medani za kivita alitua kibabe kwenye dirisha la madrasa na kuwafanya wenyeji kustaajabishwa mno na ustadi alioutumia ndege yule kufanya matukio aliyoyafanya. "...anabonge la hirizi...
  15. C

    Kwanini Tanzania watu huhusisha paka, bundi na fisi na uchawi tofauti na Ulaya?

    Kwanini Tanzania watu wengi huhusisha viumbe mfano wa paka, bundi na fisi na uchawi? Ulaya viumbe hawa ni marafiki wa karibu sana wa binadamu. Naomba jibu.
  16. Erythrocyte

    Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

    Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia. Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na...
  17. Analogia Malenga

    Bundi ni muhimu sana kwa wakulima

    BUNDI ni ndege mwenye sura inayotisha kidogo kulinganisha na ndege wengine hasa kutokana na kuwa na uso mkubwa wa mviringo, macho makubwa ya mviringo na masikio makubwa. Unaweza kusema ndege huyu ambaye hupenda kula nyama na wadudu ana kichwa mithili ya paka. Bundi hufanya mawindo yao nyakati...
  18. Sky Eclat

    Ufugaji wa ndege aina ya bundi una faida sana

    Bundi ni ndege kama ndege wengine, wengi hawajafahamu faida zinazopatikana katika ufugaji wa ndege hawa. Soko la bundi ni kubwa kuanzia kwenye mayai, ndege wenyewe. Soko kubwa la ndege hawa liko Afrika.
  19. TheDreamer Thebeliever

    Jinsi nilivyougua miaka mingi na kunusurika kifo baada ya kurogewa uchawi wa bundi

    Habari wadau poleni sana na msiba wa jemedari Hayati Magufuli. Leo nimeamua kuwaletea simulizi ya kweli inayoitwa "jinsi teseka miaka mingi na kunusurika kufa baada ya kurogezewa uchawi wa bundi". Kwanza niwaombe samahani kwa mwandiko mbaya maana simulizi hii ninapoanza kuiandika inaweza...
  20. Sky Eclat

    Kipanya anatuonya, safari ya pili inaanza na bundi

    Mshana Jr tunaomba utaalamu wako hapa.
Back
Top Bottom