hussein mwinyi

Hussein Ali Mwinyi (born 23 December 1966) is a CCM nominee for presidency in Zanzibar October 2020. He is the current Minister of Defence and National Service.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Endapo Hussein Mwinyi atamaliza urais wake Zanzibar 2030 na akataka kuendelea Bara kama baba yake, ndani ya CCM yupo wa kumzuia ?

    Endapo Hussein Mwinyi atamaliza kipindi chake cha urais Zanzibar mwaka 2030 na akataka kuhamia siasa za Bara kama ilivyowahi kutokea kwa baba yake (rip), Je ndani ya CCM kutakuwa na nguvu au makundi yenye uwezo wa kumpinga au kumzuia kupata nafasi ya kugombea ?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nimetathimini Kazi Nzuri alizofanya Rais Hussein Mwinyi Ndani ya Zanzibar, kiukweli kabisa ashukuriwe

    Dr Hussein Mwinyi, Rais na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar anapaswa kupongezwa na kupewa heko. Ndugu zangu ukiona sehemu imepata maendeleo au jambo zuri linafanyika ni vema utambue ya kuwa watu wemewekeza nguvu, akili, muda, pesa na uhuru wao pia. Ndani ya miaka mitano ya utawala wa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hussein Mwinyi wa Zanzibar ni Rais bora sana. Nampa maua yake!

    Katika historia ya Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameonesha uongozi wa mfano unaozingatia maadili, maendeleo na mshikamano wa wananchi. Kwa msingi huo, sina shaka kusema kuwa yeye ni mmoja wa marais bora kabisa kuwahi kuliongoza taifa la Zanzibar. Kwanza, Dk. Mwinyi amejipambanua kwa kuwa...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kumbe Zanzibar ina Katiba yao, Msikilize Hussein Mwinyi

  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Shein, Karume wampongeza Rais Mwinyi kwa ushindi, kudumisha amani

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amekutana na marais wastaafu wa Zanzibar, Dkt. Mohammed Ali Shein wa awamu ya saba na Amani Abeid Karume wa awamu ya sita, Ikulu Zanzibar jana Jumamosi, Novemba 8, 2025. Marais hao wastaafu wamemtembelea Rais Mwinyi kwa lengo la kumpongeza kwa ushindi wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hussein Mwinyi wins reelection with 74.8 pct vote

    October 30, 2025 Tanzania's Zanzibar President Hussein Ali Mwinyi has won a second term in office, the Zanzibar Electoral Commission (ZEC) announced on Thursday night. ZEC Chairperson George Joseph Kazi said Mwinyi, the candidate of the ruling Chama Cha Mapinduzi party, won 74.8 percent of the...
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 ZEC yamtangaza Dk Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzaibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar

    30 October 2025 | Unguja, Zanzibar Dr. Hussein Ali Mwinyi azoa kura 448,892 uchaguzi wa 2025 Huku mpinzani wake mkuu Othman Masoud Othman almaarufu OMO wa ACT Wazalendo akipata kura 139,399 ZEC imemtangaza Dk Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi ya...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi: CCM ndio wahubiri wazuri wa amani

    Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi, amesema endapo Watanzania watakipa ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuongoza nchi, serikali ya chama hicho itahakikisha inaendelea kulinda amani, umoja na maridhiano akieleza kuwa mambo hayo ndio...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe wa Wazee Pemba Kumshawishi Mgombea wa Urais wa ACT Wazalendo Kumpigia Hussein Mwinyi Kura ya “Ndiyo”

    Mjumbe Ngome wa Jumuiya ya Wazee Mkoa wa Micheweni Pemba, Faki Ali Juma kutoka Maziwa ya Ngome amesema atamshawishi Mgombea wa Urais wa Chama Cha ACT WAZALENDO Othman Masoud Othman atie kura yake ya NDIO kwa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na maendeleo ambayo ameyafanya kwani kila...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud hana uwezo kabisa mbele ya Dkt Hussein Mwinyi, Bora Babu Duni

    Othman ni mjanja mjanja tu hana uwezo kabisa wa kuwa Rais, hakutakuwa na mpinzani Zanzibar wa kumfikia hata robo Maalim Seif, kiongozi Peker aliekuwa na uwezo na sifa za kuwa kiongozi ni Babu Duni au Juma Duni Haji. Othman hana mvuto mbele ya wananchi, hajui kujenga hoja, amelazimishwa tu kuwa...
  11. Ahmed Omar_

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Rais Hussein Mwinyi amesaliti maridhiano na umoja wa kitaifa Zanzibar?

    https://www.youtube.com/watch?v=MCNhPjrsMLA&t=87s
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Dkt Hussein Mwinyi nakukumbusha!

    Ningependa kumkumbusha rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Mwinyi kuwanunulia watoto wa maskin, mayatima na wasiojiweza viatu vya kuendea shule. Nakukumbuka enzi za utawala wa Dr. Shein nilipokua primary alikua anagawa viatu shule zote za Zanzibar kuanzia primary...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi akutana na viongozi wa dini Zanzibar kujadili amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Zanzibar kujadili Mustakabali wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka Huu. Rais Dkt, Mwinyi ameihakikishia Kamati hiyo kuwa Serikali inafanya kila Juhudi...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dk. Hussein Mwinyi: Nchi za EAC anzisheni Mifuko ya Maendeleo ya Petroli

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh. Dk. Hussein Mwinyi, amezihamasisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa na Mifuko ya Maendeleo ya Petroli, (Petroleum Fund), ambayo itasaidia katika utafiti, ubunifu, mafunzo na uendelezaji wa Sekta ya Mafuta kwa ujumla. Dk. Mwinyi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Mwinyi: UVCCM endeleeni kuhamasisha vijana CCM ishinde na kushika dola

    RAIS MWINYI:UVCCM ENDELEENI KUHAMASISHA VIJANA CCM ISHINDE NA KUSHIKA DOLA. Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) ameisisitiza UVCCM kuendeleza kasi ya uhamasishaji uandikishaji wa...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanafunzi wa vyuo wamchangia Rais Samia na Rais Mwinyi fedha ya fomu

    Wakuu, Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wamefanya harambee ya kuwachangia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani pamoja na Rais wa zanziba Dkt.Hussein Mwinyi Fedha za kuchukua fomu ya ugombea Urais 2025 ikiwa ni katika hatua za kuwaonga mkono kutokana na kazi nzuri...
  17. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Majibu ya kitendawili cha 'Governor's Dilemma' yanamkweza Tundu Lissu na kuwashusha Mbowe, Samia na Hussein Mwinyi

    "Hata alipokwisha kunena, Yesu alimwambia Simoni Petro, twika mpaka kilindini, mkashushe nyavu zenu mvue samaki. Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu. Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi...
  18. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Naye Rais Mwinyi wa Zanzibar Atunukiwa PhD ya Heshima Katika Uongozi Unaoacha Alama na Chuo Kikuu Cha Zanzibar (SUZA)

    Hongera Rais Mwinyi unastahili tuzo hii ya Uongozi Unaoacha Alama. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Zanzibar. Chuo Kikuu cha Zanzibar kimemtunuku Shahada hiyo ikiwa ni kutambua na kuthamini...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari tumemchoka Hussein Mwinyi

    Tangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa. Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa...
  20. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Zanzibar watamkumbuka sana Magufuli kwa kuwapatia Rais Bora

    Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya. Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana...
Back
Top Bottom