hofu

Hōfu (防府市, Hōfu-shi) is a city located in Yamaguchi Prefecture, Japan.
As of September 30, 2016, the city has an estimated population of 117,387 and a population density of 622.44 people per km². The total area is 188.59 km².

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wake za watu walioajirwa (corporate) wanaliwa sana na boss zao maofisini au ni hofu tu za vijana ?

    Wanaume hasa vijana wa wa Tanzania wenye hofu za wake zao kuliwa na maboss na wafanyakazi wenzao kwenye Ofisi walizoajiriwa ni hisia zao za unyonge tu (inferiority complex) na Masculine insecurity au kuna uhalisia ?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
  3. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Hofu ya dunia na maisha

    HOFU YA DUNIA NA MAISHA — KUNA SIKU TUTAISHI BILA KUOGOPA? Kuna wakati unakaa kimya peke yako, halafu unaanza kujiuliza maswali ambayo huwezi hata kumwambia mtu. Kesho itakuwaje? Nitafika wapi? Nitafanikiwa kweli? Nitapata pesa? Nitakuwa salama? Watu ninaowapenda watabaki kuwa nami mpaka...
  4. Moshilabusara

    JamiiForums Tanzania MATANGAZO YA TAHADHARI YA EL NIÑO YANATUTIA HOFU BADALA YA KUTUPA MAJIBU YA KUFANYA

    Matangazo ya mara kwa mara kuhusu El Niño yameanza kuwapa hofu baadhi ya wananchi. Wakati mwingine mtu anafikia hatua ya kusita hata kufanya mambo ya msingi kwa sababu anawaza, “Itakuwaje?” Maana ukweli ni kwamba, nyumba nyingi tunazoishi ni za hali ya kawaida tu na si kila mtu ana uwezo wa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balile: Mwandishi unasema una hofu, hofu ya nini? Mtaua uandishi

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amewakosoa baadhi ya waandishi wa habari na wadau kwa kujenga mtazamo wa hofu unaoua taaluma ya uandishi wa habari badala ya kutumia fursa na sheria zilizopo kupata taarifa. Amezungumza hayo katika maadhimisho ya Siku ya...
  6. Kigongoi kwetu

    JamiiForums Tanzania Hofu yangu ni visasi

    Mambo yote yafanyike kama yanavyopangwa nia iwe kukomoa au kutenda haki. Lakini ikumbukwe kuwa Kuna mwisho na ni vizuri mwisho ukawa mzuri. Zaidi ya yote kumbukeni kwamba kuna uwezekano wa kutokea counter attack hapo baadae. Utakua upande gani? Ni bora utende haki; mwisho una karibia sana.
  7. 3

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Talaka: Titi Brown Asitisha Mipango ya Ndoa

    Mcheza densi na msanii maarufu kutoka Rwanda, Thierry Ishimwe (Titi Brown), ameweka wazi kusitisha kwa muda mipango yake ya kuanzisha familia, akitaja kuongezeka kwa migogoro ya ndoa na changamoto za kisaikolojia zinazowakabili wanandoa wengi katika jamii ya sasa kuwa chanzo kikuu cha uamuzi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anastahili Pongezi Na Heshima Kubwa Sana Kwa Hapa Alipolifikisha Taifa Letu. Amelivusha Nyakati Zote Ngumu Na Za Giza

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili kuungwa Mkono kwa kazi kubwa na njema aliyoifanya ya kulivusha Taifa letu katika nyakati Nguma na za...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hofu ya kifo inatoka wapi ikiwa mbinguni, peponi kupo kweli na sio story tu?

    Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa? Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema. Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini...
  10. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Ile hofu miongoni mwa watu inaendelea kuondoka kila siku

    Kila nikiangalia TUKIO la daktari aliempasua trafiki baada ya kuleta ungese wake, nimekaa nikafikiria sana, naona na wenzake madaktari wanakua kitu kimoja na wanapanga kugoma nchi nzima. Tanzania inayokuja nimekaa nikaishia KUCHEKA TU mana nakuapia Kuna siku Hawa mnaowaita watekaji mtu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ‘Tutaenda Wapi?’ Wagonjwa wa Sickle Cell Kisumu Waingiwa na Hofu Victoria Annex Ikikabiliwa na Kufungwa

    Wagonjwa wanaoishi na sickle cell mjini Kisumu wameingiwa na hofu kuhusu mustakabali wa matibabu yao kufuatia taarifa kwamba Victoria Annex, kituo kilichokuwa kimetengwa kutoa huduma maalum kwa wagonjwa hao, kinatakiwa kuondolewa katika eneo hilo. Baadhi ya wagonjwa wanasema walipewa taarifa ya...
  13. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtengenezea mwanaume hofu ya kukupoteza

    Thamani yako kwake inategemeana na Kiasi cha hofu aliyonayo. Asipokuwa na hofu atakutreat vyovyote atakavyoona inafaa. Haya ndiyo mambo utakayoyafanya Kukusaidia uweze Kumtengenezea hiyo hofu. 1. Muoneshe wanaume wanaokutaka wanamzidi yeye. Hii haitakiwi Kwa kiburi wala dhihaka, bali Kwa namna...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tulimpinga Nyerere bila hofu ya kutekwa~ Lumuli Alipipi Kasyupa

    Mmoja wa waasisi wa kundi mashuhuri la Wabunge 55 (G55) na Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kyela, Lumuli Alipipi Kasyupa, amefunguka kuhusu ujasiri waliokuwa nao wa kumpinga Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, huku akibainisha kuwa tofauti na zama za sasa, mazingira ya kisiasa ya kipindi hicho...
  15. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Mlokole mwenzangu nisikilize! Usimwambie mtu, "kuwa na hofu ya Mungu"

    Mungu hahofiwi bali anapendwa, anatukuzwa, na anaheshimiwe. Muda mfupi uliopita nilikuwa kanisani ambapo mtoto mmoja alimpokonya mwenzake pipi, yule aliyepokonywa akalia. Mchungaji akamwambia yule mpokonyaji, "mungu anakuona", yule mtoto aliyeambiwa hivyo alizimia kwa hofu ya kuonwa na mungu...
  16. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

    Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba. Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania 7/7 hakuna watu, Serikali imefanikiwa kuyaua maonesho kwa kutengeneza hofu isiyo na sababu, wafanyabiashara wanalia

    Serikali imefanikiwa kutengeneza hofu isiyo na sababu kwa kujaza maaskari kwenye maadhimisho ya 7/7 bila sababu ya msingi kwa kuwa maandamano yaliyopangwa hayakuwa yamesemwa kama yatakuwa ya barabarani au ya watu kulala ndani, huenda yalikua ya kulala ndio maana sehemu kubwa wamelala na kuua...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kiongozi aliyeshinda kwa 98% na kuchaguliwa na watu mil 33 yeye na selikali yake hapaswi kuwa na hofu juu ya maandamano

    Kwa tafsiri ya haraka ni kuwa anakubalika na anapendwa na raia wengi wa nchi yake. Asingekuwa na hofu kabisa na maandamano sabababu ambao wangeandamana ni wachache sana kuliko wale mil 33 wanaompenda na wasingeleta impact yoyote. Sasa kwa nini hofu kubwa namna? Ukipita miji mikubwa kama Dar...
  19. UTPC

    JamiiForums Tanzania Hofu ya upasuaji dhidi ya okoaji maisha ya mama, mtoto

    Katika wodi za uzazi, sauti za uchungu na matumaini hukutana. Wakati mwingine, dakika chache ndizo hutenganisha uhai na mauti. Ndipo upasuaji wa dharura unapokuwa tumaini la mwisho. Lakini nyuma ya kila uamuzi huo, kuna swali lisiloepukika: je, hatua hiyo imechukuliwa kwa sababu sahihi za...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Chadema HQ, kuweni na hofu ya Mungu kwa rambirambi wanazotoa waombolezaji, ni heshima zikafika kamili kwa wafiwa na familia kwa ujumla.

    Katika misururu ya misiba ya viongozi na wanachama wa chadema sehemu mbalimbali nchini, pamekuwepo na tetesi, minong'ono, tuhuma na malalamiko ya mara kwa mara dhidi ya wizi au upigaji wa fedha za rambirambi zinazotolewa na waombolezaji kwaajili ya wafiwa, na badala yake, wakusanyaji michango...
Back
Top Bottom