waliopewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    Waliopewa dola ili kudhibiti rushwa na dhuluma wanakiri hadharani kuwa dhuluma imezidi. Hii ni aibu kubwa

    Maana yake ni kuwa watu wanadhurumiwa haki zao kila mahala. Polisi wanabambikia watu kesi, wanyonge wanadhurumiwa ardhi, bila kuwa na connection hupati kazi. Hii ni tafsiri tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao. Rais ajiuzulu na uchaguzi halali uitishwe
  2. Excel

    Waliopewa hii elimu hawawezi kushindwa kujitegemea.

    Kwa kweli enzi hizo maisha yalikuwa bam bam.. unapewa maelekezo na wazazi kibabe sana.. wahenga mnakumbuka?
  3. R

    Waliopewa kazi ya kupiga picha za Mikutano ya CCM kwanini wanapiga watoto(wanafunzi) picha badala ya watu wazima?

    Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima? Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga...
  4. Allen Kilewella

    Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi? Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata? Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika? Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya...
  5. GENTAMYCINE

    Tanzania imekuwa na Wakuu wa Majeshi wengi kwanini waliopewa Magari na Rais ni Waitara na Mboma tu?

    Najiandaa kwenda Msibani ( Mazikoni ) Kijijini Busegwe Mkoani Mara ( Musoma ) kumzika Mzee Mkono na nitapita Kumsalimia na Babu yangu Mzee David Bugozi Musuguri ( Mkuu wa Majeshi Mstaafu ) hivyo naomba nikifika Kwake Butiama nikute nae kapewa Land Cruiser LC 300 Jipya kama walilopewa CDF...
  6. jingalao

    Wafanyabiashara wasitake kutumia uhuru waliopewa vibaya, walipe kodi

    Kamwe kama Taifa tusijaribu kuentartain upuuzi wa kukwepa au kutolipa kodi. Mhe. Rais Samia amelegeza masharti ya ufuatiliaji wa ulipaji kodi kwa kundi hili ili kuondoa manung'uniko yaliyotokea katika awamu ya Magufuli. Wengi wa wafanyabiashara walilalamikia mfumo wa ukusanyaji wa kodi kwamba...
  7. Nyankurungu2020

    Tangu tupate Uhuru, leo hii Taifa letu limefika pabaya. Waliopewa madaraka kulinda na kutetea rasilimali za umma ndio wanatuibia na kuteteana

    Ibara ya 27 ya Katiba ya JMTinatamka wazi kabisa kuwa kila kuwa kila mtu ana wajibu wa kulinda rasilimali za umma. Lakini tofauti na hilo kila kona ufisadi umetamalaki. Tunadokezwa kuwa kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia Tanesco wahusika wanajulikana ila ndio hivyo wanabebana na...
  8. HIMARS

    Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  9. comte

    Kudharau PhD za heshima ni ulimbukeni, ujivuni, dharau, kebehi na manyanyaso kwa waliopewa

    PhD iwe ya kuingia darasani na kutoa andiko, kutoa andiko, au ya heshima zote zina sifa moja inayofanana. Sifa hiyo ni kutunukiwa na chuo husika baada ya kutimiza vigezo na masharti yao. Walio na PhD baada ya kuingia darasani na kutoa andiko au kutoa andiko huenda mbele ya chuo husika na kusema...
  10. U

    Daima nitamuheshimu mwenye phd "ya kuipambania", kina Musukuma, Babu tale na wengine waliopata phd "ya kupewa" watulize mshono .

    na ndio maana hata huko nje hata mtu akichangia ujenzi wa jengo la chuo, akitoa speech, akihudhuria tukio, n.k. "anapewa" phd "ya kupewa" lakini huji kuja kumsikia anajiita doctor, anajua kabisa kwamba huo udokta aliopewa hauwezi kufikia hata asilimia 5 ya ule wa kuupambania academically...
  11. F

    Kwa mujibu wa Vyuo Vikuu Duniani, watu waliyopewa Udaktari wa Heshima wasitambulishwe kama ‘Doctor’

    Ndio maana hatukusikia ‘Doctor Julius Nyerere’ japo alikuwa na doctorate za heshima zaidi ya sita. Kwa mujibu wa wanataaluma na mapokeo ya vyuo vikuu duniani wale waliopewa doctorate za heshima hawapaswi kuitwa doctors kama wale waliosomea PhD. Soma hapa: Should Recipients of an Honorary...
  12. ikhlas

    Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

    Habari wanabodi wenzangu, Katika maisha kuna kuoa na kuolewa, hivyo kuna kutoa talaka na kupewa talaka. Katika hali zote hizo maisha yanaendelea, kuna ambao hufanikiwa zaidi au kurudi nyuma kimaisha chanzo kikiwa ni talaka. Changamoto na faida pia hujitokeza, wengine hufikia hali kujuta kwanini...
  13. B

    Waliopewa dhamana ya kutunza mikataba ya Siri ya rasilimali za nchi wamenyimwa dhamana yakushiriki majadiliano kabla ya mikataba

    Tanzania ni nchi pekee ambayo wanaotunza nyaraka za mikataba nyeti ya rasilimali za nchi siyo sehemu ya majadiliano na uandishi wa mikataba hiyo. Hivyo waliopewa dhamana ya kuhifadhi nyaraka hizi wamevaa nafsi ya uadilifu lakini wanachohifadhi hakina uadilifu. Kwa mantiki nyingine mahali...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Serikali iache mzaha; kuruhusu watoto waliopewa mimba kurudi shule ni anguko la taifa la kesho

    SERIKALI IACHE MZAHA; KURUHUSU WATOTO WALIOPEWA MIMBA KURUDI SHULENI KUSOMA NI ANGUKO LA TAIFA LA KESHO. Anaandika Robert Heriel. Naiomba serikali, viongozi wakubwa msikie Jambo hili, tena msifanye mzaha. Huruma huruma za ajabu ajabu katika baadhi ya ishu ni hatari Kwa ustawi wa taifa...
  15. Trainee

    Waliopewa jukumu la uongozi ngazi za chini wanadidimiza nchi

    Aisee serikali inabidi iangalie sana kwenye baadhi ya mambo laa sivyo waliopewa jukumu la uongozi ngazi za chini hizi wanadidimiza nchi 1. Mtendaji kata nyumba ya serikali anaipangisha anakuwa anapata hela ya mboga 2. Mtendaji kata ameuza maeneo ya serikali (maeneo kuzunguka ofisi ya kata)...
Back
Top Bottom