hivi vyeo watu wanavyojipa kujipamba au wanavyopewa na wapambe ni kwa ajiri ya kuwafurahisha tu wamwage njurugu au mapene au wapate favor kwa hao wakubwa lakini ukiondoka hakuna anayejisumbua tena kuwa mnafiki
Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai.
Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma kozi tofauti na ya sheria tunajua maana ya 'uttering' ni kuongea / kutamka maneno kwa sauti ya...
Wanabodi
Hili ni bandiko la swali kuhusu neno "zazwa" na neno " zuzu".
Naomba kuanza na usaidizi wa AI
neno zazwa mazwazwa na neno zuzu, mazuzu
Maneno haya yote mawili yanatumika kuelezea mtu mjinga, asiye na uzoefu, au mtu anayedanganyika kwa urahisi. Hata hivyo, yana utofauti mdogo katika...
Mara baada ya kumpa Yesu Kristo Maisha yangu kuwa Bwana na Mokozi wa Maisha yangu, ndani yangu kiu ya kutaka kumjua Mungu ilizaliwa ndani yangu
Kiu ile ilikuwa kubwa sana kiasi kwamba nilijikutana tu, natamani kumjua Mungu binafsi kama Bwana na mokozi wa maisha yangu
Nilianza kusoma biblia...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 23 Agosti 2026 alifanya ziara Mkoani Kigoma na kukutana na Wanajeshi Wastaafu waliopigana vita.
wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha...
Wakuu kwema?
Asee jana nilipata wasaa wa kucheka na kulia kwa pamoja. Pamoja na taarifa kusambazwa na kujadiliwa kila.mahala bado kuna watu wanaendelea kutapeliwa na hawa jamaa wa mikopo online.
Tulia trust mikopo wamemtapeli jamaa mmoja muendesha bulldoza hapa Unguja jana. Kalipa laki 3 na...
Leo imezinduliwa tume nyingine kuhusu kilichotokea Oktoba 29!
Sijui hizo tume zinazohusu Oktoba 29 zimefika ngapi na sijui ngapi zitaendelea kuundwa.
Hii ya leo inaitwa “Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria” katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi...
Watu hutafuta Maridhiano baada ya kugombana au kuhujumiana ata kupigana. Kama ilivyokuwa kenya. Ulikuwa ugonvi kati ya Odinga na Kenyata. Watu wakakaa wakataka waridhiane. Lengo ni kuondoa tofauti zao.
Tanzania ni tofauti kabisa, Tena mbali mno. Je kuna ugonvi binafsi kati ya Lissu na Samia. Au...
Kuna tofauti kubwa kati ya kujiajiri na kumiliki biashara, lakini mara nyingi tunavitumia kana kwamba ni kitu kimoja.
Wabongo wengi hatuna biashara bali tumejitengenezea ajira (tumejiajiri).
Biashara ya kweli haimtegemei mmiliki kwa kila uamuzi. Ina mfumo wa uendeshaji, watu wenye majukumu...
Neno pambana ni neno la mtaani zaidi ambalo sio rasmi hutumika na wahuni kuashiri msirudi nyuma na usikate tamaa
Lakini je watanzania wapambane na Nani kupata katiba mpya ?
nilidhan PhD ingeeleza na hatua za kupambana
Kwamba head of the state anataka katiba mpya , hivyo watu wapambane...
Bila kujua watanganyika sasa mtaitwa wote magaidi kama mlivyo wafanyia wajomba zake wale uhamusho.
Hii ni visasi na sio vya kusema anaficha ni kwamba anaonuesha wazi wazi kuwa kinacho fata ni kufuta Tanganyika.
Msipo nielewa leo mtanielewa kesho.Tanganyika inafutwa kwa yoyote mwenye kuhoji ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.