bagamoyo

 1. masopakyindi

  DAWASA kuweni wakweli kupasuka bomba kubwa la Maji Bagamoyo rd

  Jana usiku limepasuka bomba kubwa la maji linalolisha katikati ya Jiji la DSM. Katika taarifa ya habari ITV saa mbili, Mtendaji mkuu wa DAWASA amesema bomba hilo limepasuka kutokana na ujenzi unaoendelea, kitu ambacho si kweli. Wakati huo huo bomba kwingine limepasuka huko Mlimani . DAWASA...
 2. Lord denning

  Wakati watanzania wakibishana juu ya Bandari ya Bagamoyo, Kenya wafungua Bandari ya Lamu

  Wakati Watanzania wakiendelea kubishana juu ya Bandari ya Bagamoyo wao wakiita ni Wizi wakati eneo litakalojengwa Bandari ya Bagamoyo ni pori na hata wapewe miaka 1000 hawataweza kuliendesha kwa faida, na wakiwa wanalalamika kila siku kukosa ajira na kutokuwepo na maendeleo ya kweli, Leo hii...
 3. Latifasaid

  Kwa mahitaji ya viwanja maeneo ya kigamboni, Bagamoyo, Dodoma unapata kwa bei poa. Malipo ni kwa awamu ndani ya mwaka na ukitaka kulipa kwa mkupuo pia

  Habari zenu ndugu jamaa na marafiki. Huu ni wakati sahihi wa kumiliki kiwanja chako kwa bei nafuu pia ulipaji wake ni wa awamu yaani kidogo kidogo. Viwanja vipo karibu na barabarani na vishapimwa kabisa. Kampuni yetu ipo tayari kukuhufumia ndugu mteja. Karibu tukuhudumie. Kwa mawasiliano...
 4. C

  Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

  UTANGULIZI Amini usiamini, wale wale ambao wamekuwa wakijivika uzalendo, linapokuja suala la Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ndiyo hao hao wanaotumikia Mabeberu bila wao kujijua! Nitajadili mada hii katika sehemu mbili:- Kwanini wale wanaoitwa Mabeberu hawawezi kuwa tayari kuona miradi kama ya...
 5. britanicca

  Haya ndo Masharti ya Mkataba wa bandari ya Bagamoyo, je Kati ya Hayati Magufuli na Mheshimiwa Ndugai Nani Yuko sawa?

  Kumekucha kumekucha, Yale Mashart ndani ya Mkataba wa bandari ya Bagamoyo ambayo hatujawai kuuona Mkataba zaidi ya kusimuliwa Sasa yanaelezwa hapa. Mnakumbuka Hayati Magufuli akisema Ni kichaa pekee angeweza kuukubali Mkataba ule, lakin Ndugai akasema alipotoshwa. Tuyapitie Mashart tuyaone.
 6. Z

  Kuhusu Mkataba bandari ya bagamoyo

  Good presentation haimanishi good mkataba.presentation ni just kama foot print. Let's discuss in detail Hapa wanaitajika watalaam wa mikataba Siyo ati wazee wenye umri.mambo yanabadirika kulingana na muda na experience. Tuache kudemka.,au kuzingua
 7. Hero

  Hivi ndicho hiki kilichomponza Kakoko? Majuha wanaotaka kuuza bagamoyo bandari

  TPA kupitia serikali tutaijenga bandari ya bagamoyo wenyewe! Huu upuuzi wa kujengewa kwa masharti ya kipimbi hatutayakubari, na msitake kutuchokoza watz, tunajitambua!
 8. R

  Kwanini tusijenge Bandari ya Bagamoyo tusijenge kwa fedha zetu wenyewe?

  Ndugu Watanzania, Nimejaribu kufatilia nchi yetu na kuona kuwa miradi mikubwa inayofanyika au inayotarajiwa kufanyika tunategemea zaidi pesa kutoka nje ya nchi kama mikopo au wawekezaji. Leo ninataka kujikita zaidi kwenye neno wawekezaji ili nitowe mawazo yangu kwa nini sisi watanzania...
 9. Yoda

  Tusiukubali mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kwa sababu zozote zile. Utakuwa ni mtego utakaotunasa kama nchi

  Tuna sababu moja kubwa ya kuukata Mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo nayo ni historia mbaya ya China kona mbalimbali za dunia walipotekeleza miradi ya aina hii au walipozikopesha nchi mikopo mikubwa ya miondombinu. Wamechukua bandari Sri Lanka, Pakistan, Australia na Djibouti kupitia...
 10. J

  Kwa muundo wa bandari ya Bagamoyo ni wazi bandari za Dar es salaam, Tanga na Mtwara zitajifia kifo cha asili!

  Kwamba Bagamoyo itakuwa ni centre ya kupokea meli kubwa na kisha kupakua mizigo na kupakia kwenye meli ndogo kuzimbaza barani Afrika na Mashariki ya mbali. Kwamba hata mizigo ya Tanzania itahudumiwa na bandari ya bagamoyo kisha mizigo kupakiwa kwenye malori kwenda mikoa ya Pwani na Bara. Sasa...
 11. Kurunzi

  Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

  MIAKA sita iliyopita, Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania ulikuwa ukitajwa kama mmoja wa miradi ya kimkakati yenye fursa kubwa ya kuzimua uchumi wa taifa hilo. Midomoni kwa watumishi wa umma na viongozi wa serikali, neno bandari ya Bagamoyo halikutoka. Hata hivyo, miaka...
 12. J

  Zitto Kabwe: Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa ambayo hamjawahi kuyaona, tusipoteze hii fursa jamani

  KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka...
 13. Mk54

  Utata juu ya Mradi wa Bagamoyo

  1. Kifo cha JPM ni fumbo tata na kina maswali mengi kuliko majibu. 2. Baada ya kifo cha JPM, hata zile kelele za Corona this Corona that hatuzisikii tena, badala yake maisha yanaenda kama kawaida....kwa wenye kutafakari hii inatupa TAFSIRI kubwa sana. 3. Mradi wa Bagamoyo ambao...
 14. P

  Hivi Bandari ya Bagamoyo iko katika ilani ya CCM ya 2021-2025?

  Naona Bwana Ndugu anafamilia Bandari ya Bwanga moyo, lakini sina hakika kama imo katika ilani ya CCM ya awamu hii. Kama Haimo,Ndugai anataka kutuambia nini? Tamani Mh. Rais mama Samia akatishe kampeini hii kwa kusema Bandari ya siyo kipaumbele changu! Wasikuchanganye mama. Hukumshauri JPM...
 15. Ngaliwe

  Bandari ya Bagamoyo aka Mbeganizhou ya Wachina

  Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na wachina kwa mkopo. Wanajenga mali yao wenyewe. Mali ya china ndani ya tanzania kwa miaka 99. Hakuna mtanzania ataruhusiwa kuingia pale kufanya lolote pale mbeganizhou ya Bagamoyo. Nilichogundua huo mradi wa bandari ya Bagamoyo ni do or die project kwa...
 16. F

  Kuhusu Bandari ya Bagamoyo na Umeme wa Gas, Ndugu Job Ndugai na Prof. Muhongo wamechemka big time!

  Ndugu Watanzania wenzangu, pamoja na siku 21 za kuomboleza kifo cha Hayati Dr. Magufuli kuisha. Mimi bado naomboleza mpaka 40 yake ipite! Kuna makala yangu moja humu JF niliwahi kumtahadharisha Hayati Rais Magufuli kuhusu wanafiki walio mzunguka! Nilimwambia akiondoka madarakani hakuna hata...
 17. E

  Mradi wa bandari ya Bagamoyo nani mkweli?

  Awamu zilizopita zilisaini mikataba mingi ikiwemo ya madini, gesi n.k Awamu ya tano nayo imesaini baadhi ya miakataba Lakini inapokuja swala la mradi wa bandari ya Bagamoyo Awamu ya 5 walituambia mradi haufai lakini tumesikia tukiambiwa walishauriwa vibaya Swali ni je, kwa uzoefu wetu katika...
 18. Duplicate_90

  Kuibuka kwa suala la bandari ya Bagamoyo ni uthibitisho kuwa Kikwete ndo anaeongoza nchi kwa sasa!

  Hivi karibuni kumeibuka suala la bandari ya bagamoyo ambayo mh. Hayati JPM alilikataa kwa kuwa mkataba wake ulikuwa wa kinyonyaji. Hivi karibuni suala hilo limeibuka tena upya na spika wa bunge ameonekana kulikingia kifua na kudiriki kusema kuwa Mh Rais alishauriwa vibaya. Je, Mh Ndugai...
 19. Leslie Mbena

  BANDARI YA BAGAMOYO AKA MBEGANIZHOU YA WACHINA

  BANDARI YA BAGAMOYO AKA MBEGANIZHOU YA WACHINA. BANDARI YA BAGAMOYO HAITAJENGWA NA WACHINA KWA MKOPO WANAJENGA MALI YAO WENYEWE MALI YA CHINA NDANI YA TANZANIA KWA MIAKA 99 HAKUNA MTANZANIA ATARUHUSIWA KUINGIA PALE KUFANYA LOLOTE PALE MBEGANIZHOU YA BAGAMOYO.. Nilichogundua huo mradi wa...
 20. Offshore Seamen

  Bandari ya Bagamoyo ijengwe kama Bandari ya kimkakati isifanye kazi zinazofanywa na bandari ya Dar

  Bandari ya Bagamoyo ijengwe kama bandari ya kimkakati iwekewe gari(berth) ambazo bandari nyingine hazina. Pia ujenzi wake kama utapitishwa itabidi tenda itangazwe upya na mzabuni atakayeshinda ndio atajenga tusimkumbatie mchina hata kama ni rafiki yetu. Tanzania tangu tupate uhuru hatuna...
Top Bottom