wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauaji ya Raia

    Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauwaji ya Raia) ACT Wazalendo tunalaani vikali tukio la mauaji ya kinyama dhidi ya Ndugu Juma Ame Ngwali, mwenye umri wa miaka 58, mkazi wa Kijiji cha Ndooni, Shehia ya Uweleni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Marehemu...
  2. Roving Journalist

    Pre GE2025 Wanachama wa ACT Wazalendo wakamatwa kwa kufanya fujo kwenye Vituo vya Uandikishaji Zanzibar

    Kama ambavyo niliwapa habari awali juu ya zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la wapiga kura Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia tarehe 08/03/2025 hadi tarehe 13/03/2025; zoezi ambalo Jeshi la Polisi lilikuwa na dhamana ya ulinzi na Usalama wa vifaa, watendaji wa Tume, mawakala wa vyama, wananchi...
  3. chiembe

    Tetesi: Mrisho Gambo kuhamia ACT Wazalendo?

    Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo. Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na...
  4. Jidu La Mabambasi

    Mama Samia walipeni makandarasi wazalendo madeni yao-ndio wapiga kura wako.

    Kama kuna kosa serikali ya Awamu ya Sita itafanya, ni kutowalipa Makandarasi wa ndani, wazalendo kabla ya uchaguzi Nonember 2025. Hili ni angalizo tu! Tukiachana na kodi za PAYEE, NSSF, WCF na michango mingi inayochelewa kulipwa kwa kukosa pesa, hali ya ajira kwa wafanyakazi na vibaru a wa...
  5. Roving Journalist

    Pre GE2025 ACT Wazalendo: Kuna Wakuu wa Mikoa wanaingilia michakato ya uwandikishaji wa wapiga kura wapya kwa kigezo cha kulinda amani

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu waandishi wa Habari, Ramadhan Kareem Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu (S.W) kwa kutujaalia Neema ya Uhai hadi sasa na kutujaalia kuwa miongoni mwa viumbe wake waliobahatika kuuona Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan. Inshallah tuendelee kumuomba Allah (S.W)...
  6. baro

    Tetesi: ACT Wazalendo : Kufanya Mkutano wa Halmashauri Kuu kubadili agenda ya No Reform No election

    Wakuu Kwa Taarifa zilizonifikia ni kuwa kikao cha Tundu Lissu pamoja na Ado Shaibu (KM ACT WAZALENDO) na Ismail Jussa, kilichofanyika jana ofisi za chadema AGENDA yao ilikuwa ni kuhusu NO REFORM NO Elections na hivyo wamekubaliana, hiyo imepelekea ACT kuitisha halmashauri kuu ili AGENDA hiyo...
  7. imhotep

    Kumekucha huko DRC Wazalendo wapigana na FRDC

    Jeshi la Kongo lime collapse na Wanamgambo wa Wazalendo wameanza kushambulia jeshi la Kongo huko Uvira. Sasa hivi M23 wanaangalia tu kazi inafanywa na Wazalendo ambao wameshatuhumiwa kwa mauaji na ubakaji na ukiukwaji mkubwa wa haki za Binadamu dhidi ya Wananchi wa Kongo DRC...
  8. T

    Uwanja wa Ndege wa Mwanza kulikoni tena wazalendo

    Nian̈ze kwa kuonyesha masikitiko yangu ya dhati kuhusu kusuasua kwa mradi wa uwanja wa ndege wa Mwanza, kulikoni? Hivi itawezekana kweli huu uwanja kuanza kutumika mwaka huu. Sisi wananchi wa kanda ya ziwa tunaomba majibu na ufafanuzi kabla ya oktoba. Mimi ni mwana CCM ninapata shida sana...
  9. ACT Wazalendo

    ACT Wazalendo Calls on African Frontline States to Sever Diplomatic Ties with USA Over Aggressive Interference in South Africa

    ACT Wazalendo expresses deep concern over the reckless and aggressive decision by U.S. President Donald Trump’s Executive Order of February 8, 2025 to cut foreign aid to South Africa in response to its sovereign land reform (acts) and its principled stance against Israel’s genocide in Palestine...
  10. Yoda

    Waafrika wahamiaji Ulaya na Marekani wanajiona wazalendo sana kwa mataifa yao mapya kuliko kizazi cha watumwa.

    Nini kinapalekea hawa Waafrika waliohamia Marekani na Ulaya kuwa wazalendo kindakindaki kwa mataifa yao mapya kuliko hata wale waliofika huko kupitia kizazi cha watumwa? Hawa Waafrika wahamiaji wa hayo mataifa wanaringa nayo sana hadi kufikia kuwadharau Waafrika wenzao waliowaacha Africa! Wao...
  11. ACT Wazalendo

    ACT WAZALENDO Kuhusu Kusitishwa kwa Misaada ya Afya na Serikali ya Marekani

    ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje. Tanzania, kama moja ya...
  12. Poppy Hatonn

    Wazalendo wanasema kila mbuzi anakula kwa kufuata urefu wa kamba yake.

    Wazalendo,wale militia wa DRC, wanasema kila mbuzi anakula kwa kufuata urefu wa kamba yake. Wanasema wanataka kuiteka Kigali. Wanasema hawatapora mali ya mtu yeyote,au kufanya uovu wowote dhidi ya raia. Watawalenga tu RDF Isipokuwa wamesema ikumbukwe kwamba kila mbuzi anakula urefu wa kamba...
  13. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Mkuu wa Mkoa wa Dar awajibishwe haraka kulinda utu wa Wananchi

    MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWAJIBISHWE HARAKA KULINDA UTU WA WANANCHI Chama cha ACT Wazalendo kinalaani vikali kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Albert Chalamila inayowataka wanawake kujifungua nyumbani kwa kutumia visu na mikasi endapo watakosa fedha za kulipia huduma...
  14. T

    Wazalendo huko Kivu kasikazini yaanza kunyoosha mikono

    Hapo jana, katika eneo alipouliwa Generali Chirimwami, lililokuwa mikononi mwa SAMIRDC na MONUSCO, M23 iliwafukuza na kuwasogeza nyuma. Kundi la FDLR chini ya uongozi wa General OMEGA, na lenyewe lililokuwa chini ya mlima Nyiragongo, na lenyewe limezingilwa na kuachiwa tu njia ya kutokea...
  15. Roving Journalist

    Pre GE2025 ACT Wazalendo: Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM

    TAARIFA KWA UMMA Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM ACT Wazalendo tunalaani vitendo vinavyoanza kushamiri kwa kasi vya kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za siasa wakati wa muda wa masomo, jambo ambalo ni kinyume na miongozo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
  16. Dialogist

    Pre GE2025 Mwenye kufahamu Sera na namna ya kujiunga na chama cha ACT Wazalendo

    Wandugu Habarini... Kama mada tajwa hapo juu, naomba kufahamu sera za ACT Wazalendo na namna ya kujiunga na chama hicho. Nimewiwa kufanya hivyo kutokana na ndoto yangu usiku wa kuamkia leo. Asanteni na Karibuni!!
  17. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu amesema ni kifo au kufukuzwa ndio vitamtenganisha na chama hicho

    Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025 "Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya...
  18. Papaa Mobimba

    Pre GE2025 Ado Shaibu: Ukichoshwa na CHADEMA karibu sana ACT, tutakuwa chama cha ajabu tukisema hatutawapokea

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza na wanahabari leo Januari 15 Makao Makuu ya chama hicho Magomeni Dar Es Salaam amesema “Wakitokea watu wanataka kujiunga ACT Wazalendo kutokea CHADEMA tutawapokea na tunawakaribisha sana kwa mikono miwili kwa sababu biashara ya chama cha siasa...
  19. GoldDhahabu

    Wazungu wamewezaje kuwa wazalendo kwa nchi zao kuliko ilivyo kwa Waafrika wengi kwa mataifa yao!

    Mungu awabariki JWTZ! Uzalendo wao kwa taifa letu si wa kutiliwa mashaka! Lakini hata hivyo sizungumzii majeshi kwenye hii mada! Ninaawalenga viongozi na raia kwa ujumla! Japo siyo wote, lakini Wazungu wengi wapo tayari kuua, na hata ikibidi wao wenyewe kufa kwa ajili ya mataifa yao, wakati...
Back
Top Bottom