majeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maneno machache ya mkuu wa majeshi

    "Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda. Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
  2. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania HAKUNA CCM CHAMA CHA SIASA BALI CCM DOLA

    Kwa Tanzania ya leo, ni vigumu tena kuzungumzia CCM kama chama cha siasa kinachoshindana na vyama vingine kwa mazingira sawa. Kinachojitokeza mbele ya macho ya Watanzania ni mfumo ambao CCM imejikita ndani ya dola, inalindwa na dola na inatumia nguvu ya dola kulinda utawala wake. Hili si suala...
  3. _-_-_-

    JamiiForums Tanzania Silaha ya Kisaikolojia: Jinsi Plato, Nyerere na Brass Bands za Majeshi ya Afrika Zinavyotumia Muziki Kulinda na Kuendesha Dola

    Wakuu, jioni ya leo mtanisamehe kwa kuandika uzi mrefu kidogo, lakini naamini utakuwa na manufaa makubwa kwa wale wanaopenda kufuatilia jinsi mifumo ya madaraka (State Machineries) inavyofanya kazi nyuma ya pazia.Mara nyingi tukifikiria kuhusu "Zana za Kuendesha Dola," vichwa vyetu vinakimbilia...
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo mkuu wa Majeshi CDF atafurahi ikiwa Lissu atakutwa na hatia? Asee

    Ameongea Kingai na huu ni mfano wa watumishi wetu wa umma. Mahakama imedharauliwa na jeshi letu limechafuliwa na Kingai. Sifikirii kama maneno hayo ameyatoa kwa niaba ya CDF ama amejitungia. The only
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa majeshi wamezoea kutoa amri wanapoitwa kuulizwa maswali na raia wanaweza kuona wanadhalilishwa na likutokea lolote nchini maridhiano ni Bora

    Bado naamini chini ya utawala huu wa raia wanasiasa wanaweza kumaliza mambo Yao TU Kwa busara na maridhiano ya kweli. Simaanishi wako juu ya Sheria ila nimefuatilia mataifa makubwa ya kidemokrasia sijaona mfano wa Wakuu Hawa kuitwa Moja kwa Moja mahakamani. Wanasiasa wanamalizana wenyewe Kwa...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi akikataa wito wa Mahakama, mtamfanya nini?

    Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani. Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo. Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi

    Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Majeshi Shupavu ya Israel yateka eneo la Ali al-Taher Ridge huko Lebanon pigo kubwa kwa Iran!!!!

    Wanajeshi wa IDF kutoka Kikosi cha 36 wameweka udhibiti wa operesheni katika eneo la Ali al-Taher Ridge, juu na chini ya ardhi, baada ya wiki kadhaa za operesheni za kusafisha na kutuliza njia 2 za chini ya ardhi. Magaidi waliokuwa wakiendesha shughuli zao kutoka kwenye mtandao huo waliuawa au...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Utekaji na "Majeshi" Binafsi Vikitikisa Nchi: Kwanini Waziri Katambi na Boss Wake Wanaona Dudubaya na Uchafu wa Dar Ndio Kero Kubwa?

    Habari wana-JamiiForums, Hivi karibuni, tumeshuhudia tukio ambalo limeacha maswali mengi kuliko majibu kuhusu mwelekeo wa usalama wa nchi yetu. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuwaita wasanii na maarufu wa mitandao ya kijamii na...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jehovah ni BWANA WA MAJESHI na Allah sio Bwana wa Majeshi?

    Jina "Bwana wa Majeshi" linatoka katika maneno ya Kiebrania ya Biblia "Yahweh Sabaoth" (au Jehovah Sabaoth). Mungu anaitwa hivi kutokana na sababu kadhaa kuu za kiteolojia na kihistoria: Mkuu wa Majeshi ya Mbinguni: Neno "majeshi" hapa linarejelea malaika na viumbe wote wa mbinguni. Mungu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi hatuna wazalendo wenye nyadhifa za juu kwenye majeshi yetu?

    Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah wapata kipondo kutoka Majeshi ya Israel!!!

    Ndege za kivita za Israeli zilifanya takriban mashambulizi 10 ya anga usiku kucha kwenye Mlima Ali al-Taher na kijiji cha karibu cha Kfar Roumanne kusini mwa Lebanon, ikiambatana na milipuko ya mizinga iliyoendelea hadi Alhamisi asubuhi. Ukali wa milipuko na mitetemeko ya ardhi iliyosababishwa...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Muda huu Magaidi wa Hezboullah wanachezea kichapo cha Majeshi ya Israel huko Lebanon

    Mapigano yalizidi kupamba moto kusini mwa Lebanon usiku kucha na Jumamosi baada ya magaidi wa Hezbollah kushambulia vikosi vya Israeli vilivyokuwa vikizunguka ukingo wa Ali al-Taher, na kuwajeruhi wanajeshi 3 wa Israeli kutoka kitengo maalum cha uhandisi cha Yahalom - 1 akiwa katika hali mbaya...
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Enzi za jiwe, tuliogopa kuchunguza vyeti "FEKI" kwenye majeshi yetu, kuofia kutengeneza majambazi mtaani, Nina wasi wasi huyu shahidi na yule alie kuf

    Enzi za jiwe tuliogopa kuchunguza vyeti FEKI kwenye majeshi hasa jeshi la polisi, ILA Nina wasi wasi huyu shahidi Amini Mihamba kwenye kesi inayomkabili Tundu Lissu Kuna mmoja alikuwa anesoma na mwingine alifoji vyeti. Kwa kuwa wa kwanza aliushafariki, na kwa jinsi utetezi wa huyu aliyehai...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mlango Bahari wa Hormuz ukiwa chini ya Majeshi ya Marekani. Iran mabaki kubwabwaja tu.!!

    Wakati Magaidi wa Iran wakibwabwaja Mlango wa Bahari wa Hormuz uko mikononi mwa majeshi ya Marekani
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran sasa hivi anapigwa Kama Ngoma na Majeshi ya Marekani!!

    Majeshi ya Marekani sasa hivi yanajipigia tu pale yanapotaka huko Iran. Safari hii ni zamu ya Miundombinu ya madaraja na minara ya Mawasiliano!!! Iran nayo hawa hiki kubwabwaja ovyo na vitisho visivyo na tija!!! Sambamba na kauli za Rais wa Marekani Donald Trump mapema wiki hii, Jeshi la Anga...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tulisimamisha kila kitu kupisha mnyukano kati ya vijana wasio na silaha dhidi ya majeshi yenye AK47

    Baada ya oct29 nilitoka huku kijijini kwangu kwenda jijini Arusha kujionea halihalisi nakumbuka ilikuwa nov.4 hivi nilimkuta askari mmoja wa jeshi la wananchi nilosoma naye kule Dakawa akiwa amesima kwenye makutano ya kona ya mbauda akiwa ameshikilia silaha nzito huku akimsimamisha baadhi ya...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah wanapukutishwa kama nzige huko Lebanon na Majeshi ya Israel!!!

    Picha inayoeleza ukweli wa "ushindi" wa Majeshi ya Israel kwa kuua mamia ya magaidi wa Hezbollah angalia hapo- malori yaliyobeba Mizoga ya magaidi wa Hezbollah kwenda kuizika. Hii ni kazi nzuri ya IDF. Jeshi la Israeli linatetea nchi pekee ya Kiyahudi iliyowahi kuwa na itakayowahi kuwa. Kazi...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa jeshi la IRGC jenerali Ahmad Vahidi auawa na shambulio la jeshi la Israel

    ELIMINATED: General commander of IRGC Islamic force Ahmad Vahidi has been eliminated by the Israeli Defense Forces. He threatened to teach America a lesson that they will not forget, he said that all the American soldier in gulf will be k!lled . He is the person that wanted to arr@st the Iranian...
  20. L

    JamiiForums Tanzania CDF Jenerali Jacob Mkunda: Nchi Haijengwi Na Wahuni na Mateja

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ni Kauli nzito iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi Ya Tanzania. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda, amesema Taifa imara halijengwi na Watu wanaojihusisha na vitendo vya utapeli, ugomvi, uhalifu na uvunjifu wa sheria, huku akisisitiza kuwa...
Back
Top Bottom