kitila mkumbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Prof. Kitila Mkumbo: Vijana watengenezewe mazingira rafiki ya Biashara

    Profesa Kitila Mkumbo akizungumza na Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo na nafasi yao katika kuwezesha biashara nchini. Alisisitiza umuhimu wa Viongozi wa serikali kuweka mazingira wezeshi kwa vijana kufanya biashara. Katika...
  2. B

    Bunge la Wananchi CHADEMA wamhoji Kitila Mkumbo ''mnatoa wapi izo data zenu jamani''?

    02 April 2024 https://m.youtube.com/watch?v=Eib1-kDDAlQ Wahoji mantiki ya Profesa Kitila Mkumbo kuondoa fedha ktk mzunguko wa fedha ili kupunguza mfumuko wa bei, wakati bei ya bidhaa zinaongezeka kutokana na upungufu wa bidhaa siyo serikali inavyofikiri watu wanapesa nyingi mifukoni ndiyo...
  3. K

    Waziri Prof Kitila Mkumbo ameongea nini leo?

    Habari wanajamvi, leo nimeona mahali Waziri wa Nchi (Mipango na Uwekezaji) Mh Prof K. Mkumbo kaita waandishi wa habari anazungumza jambo. Amezungumza juu ya nini?! Au alikua anatetea Dissertation yake? Au alikua anatabaisha mafanikio ya wizara yake? Aliyepata muda wa kumsikiliza atujuze.
  4. R

    Kitila Mkumbo asema kwa mujibu wa utafiti mbunge aliyemtangulia alikuwa haonekani jimboni? Aeleza anakamilisha pia utafiti wa ujenzi wa barabara

    Kitila Mkumbo jimbo hakiendeshwi kwa utafiti linaendeshwa kwa kupeleka maendeleo. Wananchi wamekupa dhamana unatakiwa kuwaeleza umefanya nini siyo kufanya utafiti kama mtangulizi wako alikuwa anaonekana jimboni. Wananchi wanataka maendeleo na siyo kumwona Mbunge . Pili, nani alikutuma ukafanye...
  5. FaizaFoxy

    Lawama zote za umeme ziwaendee Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu

    Bila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo. Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu. Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna...
  6. The Boss

    Kitila Mkumbo; NHC, NSSF, TBA, Watumishi Housing vipi?

    NHC wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha. Nssf wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha. Watumishi housing wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha. TBA nao wanajenga nyumba. Hizi Taasisi haiwezekani ikapatikana Taasisi moja ikafanya hizo kazi Kwa ufanisi?. Nashauri nyumba zote za nssf...
  7. M

    Prof Kitila Mkumbo amekuwa muongo sana. Mijini tu hakuna maji sembuse vijijini?

    Alichosema Kitila Mkumbo kwenye Sherehe za Uhuru Dodoma. Wakati tunaanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 mwaka 2000, ilikuwa ni 32% pekee ya Watanzania waishio vijijini walikuwa wanapata huduma ya maji safi na salama, tukajiwekea lengo kuwa ifikapo 2025 tuwe tumesogeza hadi...
  8. Ileje

    Serikali kuwabana zaidi waagizaji Magari yaliyotumika ili kulinda uzalishaji wa ndani

    Watanzania wajiandae kuanza kununua magari mapya baada ya serikali kukamilisha kuandaa sera mpya ambayo itapiga marufuku Watanzania kununua magari yaliyotumika. Sera hii mpya inaungwa mkono na wawekezaji ambao watakuwa na jukumu la kuingiza magari mapya na pia kushirikiana na makampuni ya...
  9. Suley2019

    Prof. Kitila Mkumbo: Pato la kila Mtanzania ni milioni 2.8

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema Ripoti ya Hali ya Uchumi Nchini imeonesha Pato la Mtanzania mmojammoja (GDP Per Capital Income) limeongezeka kutoka USD 399.5 (Tsh. 322,397) kwa thamani ya dola mwaka 2000 hadi kufikia USD 1,200 (Tsh. 2,880,000)...
  10. BARD AI

    Prof. Kitila Mkumbo: Pato la kila Mtanzania limeongezeka nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema katika ripoti ya Hali ya Uchumi nchini imeonesha Pato la Wananchi (GDP Per Capital Income) limepanda kutoka Dola za Marekani 399.5 (Tsh. 322,397) mwaka 2000 hadi kufikia Dola 1,200 (Tsh. 2,880,000). Akifafanua...
  11. BARD AI

    Prof. Kitila Mkumbo: Kazi ya Serikali sio Kugawa Hela, Serikali inaajiri Watu 5 kati ya 100

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema Kazi ya Serikali si kugawa Fedha bali ni kutengeneza mazingira ya kupata Fedha na ili kupata Fedha inaamanisha Watu wafanye kazi na kazi zinatoka kwenye biashara. Ameongeza kuwa "Kazi zinatoka wapi? Wengi...
  12. Roving Journalist

    Maelezo ya Prof. Kitila Mkumbo akihitimisha Hoja ya Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Maendeleo

    Maelezo ya Prof. Kitila Alexander Mkumbo, Akihitimisha Hoja ya Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Maendeleo Ijumaa, 10 Novemba 2023, Dodoma Mheshimiwa Spika, Ninaomba kukushuru wewe pamoja na wasaidizi wako, Mheshimiwa Musa Zungu (Naibu Spika), Mheshimiwa Najma Murtaza Giga (Mwenyekiti wa...
  13. R

    Kitila Mkumbo: Tunapoendelea kuelimisha suala la maadili kwa vijana wetu tusije tukawaondolea haki yao ya kuwa watoto

    Waziri Kitila Mkumbo akiwa anahitimisha hoja yake, anakubaliana na wabunge wengine kuhusu umuhimu wa kuzingatia maadili kwa watoto lakini tunapoendelea kuwaelimisha vijana wetu kuhusu maadili tusije tukawaondolea haki yao ya kuwa watoto. Ni muhimu watoto wakabaki kuwa watoto kwasabu bila hivyo...
  14. R

    Naomba CV ya Kitila Mkumbo; anaoutaalam wa mipango au kapewa tu hii wizara ajifunze kupanga?

    Waziri wa Mipango anapaswa kuwa mtaalam na siyo mwanasiasa tu. Nikiangalia mpango wa Taifa wa maendeleo upo vizuri ila mwasilishaji wa mpango huo anapwaya. Kunaonekana kama zile planing strategies hana ila anayo hotuba na majibu kutoka kwa wataalam Labda niulize mwenye CV yake atusaidie tuone...
  15. M

    Zitto Kabwe: ACT Wazalendo imehujumiwa wazi uchaguzi wa Mtambwe

    Hii ni kali. 👇 "Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."
  16. Elli

    Swali kwa Kitila Mkumbo; Kama Sauti ya Askofu (anayetaka Samia kuitwa Mama wa Taifa ni ya Watanzania) vipi Ile ya TEC iwe sio ya Watanzania?

    Hilo ni swali tu Wala Sina ugomvi Wala husda ya MTU yoyote kuitwa vyovyote vile aitwavyo. Inawezekanaje Askofu (sijui kama ni Askofu KWELI) kutaka Samia kuitwa Mama wa Taifa iwe ni Sauti ya Watanzania na..... 1. Isiwe ni Sauti ya Watanzania Kwa wale Maaskofu wa TEC kuhusu "kuuzwa" Kwa bandari...
  17. L

    Mwigulu Nchemba na Kitila Mkumbo waungana "eti" ili kuondoa ushindani jimbo la Iramba

    Hii ni ajabu sana. Hivi majuzi eti Dkt Mwigulu aliamua kuzindua ujenzi wa barabara kutoka Sepuka hadi Ndago ili kuunganisha na Kizaga - pale junction ya barabara Kuu iendayo Magaharibi - Tabora na Shinyanga. Wakiwa katika uzinduzi huo Dkt Kitila akajinadi kuwa hawana tena siasa za majitaka kati...
  18. Victor Mlaki

    Profesa Kitila Mkumbo: Wapinzani wanarukia hatua juu ya suala la mkataba wa Bandari

    Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo: Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali...
Back
Top Bottom