hadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kwa hadhi na uwezo Simba SC, ilipaswa kushiriki ligi kubwa duniani kama EPL

  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zaidi ya Ekari 15,000 za Misitu Kuondolewa Hadhi: Nani Anasubiri Kunufaika?

    Taarifa zinaonesha kuwa zaidi ya ekari 15,000 za ardhi ya misitu ziko katika mchakato wa kuondolewa hadhi ya misitu (degazettement), hatua inayoweza kufungua njia ya ardhi hiyo kupewa hati miliki. Maeneo yanayotajwa ni Mount Elgon Forest – ekari 11,483, Turbo Forest – 3,069, Kakamega Forest...
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania In Tz activism activismus pro justitia was hitherto executed with profound peritia and modus operandi of erudite professionalism until circa 2022

    In Tanzania, activism activismus pro justitia was hitherto executed with profound peritia and modus operandi of erudite professionalism until circa 2022. Nunc autem, it has degenerated into sheer chaos et tumultus. Any homo vulgaris who acquires mere data bundle or WiFi gratuitum and...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais aliyeko madarakani ana kinga ya kutoshitakiwa/kuitwa mahakamani kutoa ushahidi isipokuwa kwa hiari yake. Lengo ni kulinda hadhi ya u-Rais

    Chini ya sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyeko madarakani hawezi kulazimishwa au kuitwa mahakamani kutoa ushahidi au kushtakiwa kwa sababu anapewa kinga kamili ya kikatiba kulinda hadhi na utendaji wa kiti cha urais. Kinga ya KikatibaKifungu cha Sheria: Ibara ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC unaendelea Makao makuu ya Baraza hilo Kurasini

    C&p Habari ndiyo hiyo. Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) [87th Plenary Assembly - Study Session] unaendelea katika ukumbi wa Amecea uliopo ndani ya Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini DSM. Mkutano huo unaongozwa na Rais wa TEC, Mhashamu Baba...
  6. Haki Madhubuti

    JamiiForums Tanzania Katiba haina hadhi

    Sasa imezidi katika utawala wa JMT, Katiba haina hadhi. Tanzania ni nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar. Tamko la rais wa Zanzibar Kwamba 17th June ni Holiday ni kosa la kisheria na pia “stubbornness” kwa utawala wa rais Hassan wa JMT. Sheikh mkuu wa Tanzania aliomba pia “Bara” wapumnzike”. Najua...
  7. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Je, Tanga imeondelewa hadhi ya jiji?

    Tanga sio jiji , bajeti ya mwaka 2025/2026 katika miundombinu ya majiji haikuhusishwa hasa barabara kubwa ,na bajeti ya juzi ya mwaka 2026/2027 napo pia haipo kwenye list yaani mpaka Njombe ndani ikiungajishwa na Mbeya ila Tanga hola. Kwenye bajeti za flyover waziri wa ulega alitaja watajenga...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya Mwanza na majiji mengine ipo wapi? Tukisema hizi ni dharau tunakosea? Bajeti na mikopo ni kwajili ya miradi ya Dar na Dodoma?

    MIRADI YA MIUNDOMBINU YA MAJIJI – BAJETI YA MWAKA 2026/27 1. JIJI LA DAR ES SALAAM BRT na Maboresho Makubwa ya Barabara I. BRT Awamu ya 3: Maktaba – JNA – Gongolamboto (km 23.3) II. BRT Awamu ya 4: Maktaba – Morocco – Mwenge – Tegeta pamoja na Mwenge – Ubungo (km 30.1) III. BRT Awamu ya 5...
  9. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba amepoteza hadhi ya Ujaji avuliwe ujaji, asiendelee kuitwa Jaji ili kulinda hadhi ya Ujaji ambayo inaambatana na uzalendo

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, kwa kauli za Jaji Warioba ni dhahiri kwamba ameshapoteza hadhi ya ujaji ni vema akatangazwa kuwa siyo Jaji tena kwasababu kauli zake zinaondoa hadhi ya ujaji, kauli zake zimekosa vinasaba vya kizalendo, kauli zake zimekosa ulezi wa Taifa letu kama Mzee. Hii...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu asema Serikali imejipanga kujenga jengo lenye hadhi ya kimataifa Airport ya Mwanza

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua kuhakikisha Uwanja wa Ndege wa Mwanza unaboreshwa na kujengwa katika hadhi ya kimataifa ili kuendana na hadhi ya jiji la Mwanza kama kitovu muhimu cha shughuli za kiuchumi Kanda ya Ziwa. Amesema hayo bungeni jijini...
  11. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Jaji Mwambegele umeshusha hadhi ya Ujaji na tume yako ya Uchaguzi-Jaji Warioba asema matokeo ya uchaguzi ni FAKE!

    Kwa kule ninakotoka watu husimamia misimamo ya UKWELI NA UWAZI. Huyu ndugu yetu Jaji Mwambegele katushushia heshima watu wa Mbeya-Tukuyu. Nakubaliana na Jaji Warioba, Jaji Mwambegele kajivunia heshima, kama Jaji Chande.
  12. GANJIBHAAI

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jengo la NSSF Water Front linalotazama na Magufuli SGR Station linafaa kuwa Hoteli yenye hadhi ya Nyota Tano

    Habari Watanzania wenzangu naomba niende moja kwa mojakwenye hoja, nikiwa kama kijana wa kitanzania naomba niishauri serikali yangu kupitia menejimenti ya NSSF kufikiria upya matumizi ya jengo la NSSF Water Front, Jengo hili ni kati ya majengo bora kabisa kwa muonekano kwamaana ya designing na...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni Afrika pekee watu kama IPM wanapewa hadhi ya unabii iliwali wao ni comedians

  14. GoLC

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu yanayoweza aidha kukupa heshima au kukushushia hadhi

    Naam, matatu. Mawili ya hadharani na moja la faraghani. Nitayataja tu na sitayafafanua, maana yanajulikana. Kadhalika kila mmoja anajua ni kwa namna gani na aidha ni kwa wakati gani alishushiwa/jishushia heshima au alipewa heshima. Mambo hayo ni haya; 1. Chakula 2. Maongezi 3. Ngono Jiweka...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju: Majaji na Mahakimu wawezeshwe kuishi maeneo salama na yenye hadhi kama ilivyokuwa zamani

  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kupenda kuomba au kuhitaji msaada Kwa marafiki au washikaji kunashusha hadhi na heshima yako, mwanaume jikaze

    Naongea na wanaume tu Leo Tabia ya kuomba ovyo haifai Unajishushia brand Hakuna mtu anahitaji kuombwa hata kama Leo umpigie simu Bakhresa umwombe elfu 2 atakuona wewe ni msumbufu lakini sio kwamba uweZo wa kukupa anao Mwanaume onesha kujiamini na kujitegemea hata kama unapitia hali ngumu...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya kuipa sehemu kama jiji, manispaa au halmashauri haziendani kabisa

    Kuna madaraja ya kiwekwa mfano unaposema ili jiji alafu unakutana kuku wanazurura na mbuzi posta samora kweli ni jiji ilo. Unapoweka hadhi ya sehemu inabidi kuweka masharti na vigezo ili kufata kilichosemwa. Sehemu unaita manispaa ila unapishana punda barabarani. Sehemu yenye Jiji unakuta mtu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Siku hizi chapati zimeshuka hadhi si kama zamani

    Zamani wakati nakuwa nilikuwa nikisikia kutapikiwa chapati hiyo siku nitafanya yote kwa umakini kuhakikisha simkeri bimkubwa maana kaka zangu wasingenielewa, lakini siku hizi chapati zimeshuka hadhi kila mahali zapatikana. Dar hadi kwenye vituo vya dalalada zinapikwa, sijui kama watu bado...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hadhi na heshima ya JWTZ imeshushwa mara 10 na wanasiasa

    JWTZ ilikuwa ikiheshimiwa sana kabla ya 2018 kurudi nyuma. 2018 JWTZ wakaambiwa wakabebe korosho Mtwara. Watanzania tukashangaa na kujiuliza kwanini wanaancha kazi ya msingi na kufanywa kuwa makuli? 2019 tulitangaziwa JWTZ watafanya usafi wa mazingira nchi nzima, watanzania tukapigwa butwaa...
  20. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Dalili saba kwamba wewe ni mtu wa hadhi ya juu/Mtu wa thamani

    1. Unaelewa kuwa inawezekana kutokubaliana bila kukosa heshima au kuinua sauti. 2. Unaheshimu ahadi zako kwa kuwa mwenye kutunza muda, jambo linalokupa sifa ya kuaminika. 3. Unaacha kuwahukumu watu kwa mwonekano wao au maoni yao, na unakwepa mazungumzo ya umbea. 4. Unatambua kuwa...
Back
Top Bottom