hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hongera Mwanangu Jihan Kwa Kuipeperusha Vyema Bendera Ya Tanzania. Nakutakia kila La heri katika Safari Yako.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia na nuru ya Wanyonge. Amempongeza sana Jihan Binti yetu Watanzania aliyeliletea Heshima Taifa Letu...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hongera sana raisi Samia kwa kutuletea huu ushindi

    Kwa hakika Tanzania imetikisa Dunia, taji la miss Grand sio dogo, bila juhudi za serikali yetu tukufu tusingeweza kufanikisha hili, niwashukuru kwa dhati watu maarufu, niffer, malisa_gj na wengine kwa kufanikisha hili jambo kwa kueleza wananchi namna ya kupiga kura. Ni wakati wa mataifa kuona...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania RAIS MPYA WA IPU APATIKANA: HONGERA TANZANIA KWA KUFANIKISHA MKUTANO HUU MKUBWA WA KIMATAIFA!

    Na. Mwl Udadis, Sekei-Arusha Uchaguzi wa Milton Dick kutoka Australia kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unahitimisha kipindi muhimu cha shughuli za kimataifa zilizowakutanisha wajumbe zaidi ya 2,000 kutoka zaidi ya nchi 150. Ni muhimu kutambua kuwa wajumbe hawa si watu wa kawaida tu...
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa mwaka huu ni wa shesRise, amekuwa mtengeneza maudhui bora humu JF ambayo pia inavutia uchangiaji mkubwa. Hongera ndugu.

    ShesRise_1 keep it up blood! Nasubiria comments za kuwa wewe ni mimi katika parody😁😁😁
  5. BRN

    JamiiForums Tanzania Hongera Arajiga

    Amepuliza kipyenge kwenye mechi ya kimataifa ya kufuzu AFCON 2027 kati ya Tunisia na Botswana. Ungekuwa unachezesha kama ulivyochezesha kwenye mechi hii..Utopolo wasingekuwa wanatufunga. Hongera.
  6. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Charity begins at Home Hongera Nsekela

    Wakuu kwema Nimeona CRDB wamekuja na Kitu kinaitwa Kopa ngombe Ulipe maziwa ambacho kiko run na CRDB foundation, Millard ayo ameenda Kufanya Covering ya Hio promotion Ajabu ni kuwa issue Hii Mkurugenzi mtendaji bwana Nsekela kainzia kwao kabisa Bukoba Huko. Hongereni pia kwa ubunifu
  7. econonist

    JamiiForums Tanzania Hongera Lissu kwa kuwapasulia mahakama ukweli: kesi ilitakiwa kufutwa siku ya kwanza imeletwa mahakama kuu.

    Hongera sana Mheshimwa Lissu kwa kuipasulia ukweli mahakama kuhusu kusikiliza kesi za kupikwa. Mheshimiwa Lissu kaiambia mahakama ya kwamba kitu ambacho kilitakiwa kiamuliwe ndani ya wiki Moja, imechukua mwaka na nusu kuamua. Lissu ameyasema hayo katika Hali ya kuonesha masikitiko yake kwa...
  8. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Samia : Ulionesha utu wako kwa vitendo October 29, 2025

    Mama wa 4R, mama wa Kazi na UTU alutuonesha namna alivyo na utu kwa raia wake. Mataifa yote yalishuhudia upendo wa mamayetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hassan. Nawapa pole wale wote wanaomchukia mama yetu, kama kuna ndugu yako alipoteza maisha atakuwa alileta vurugu huyo. Hata hivyo kifo ni...
  9. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Haya ndio matunda ya kuikataa jihad na kukataa kuwa wahanga wa syndicate ya Moslem Brotherhood. Hongera sana Dubai (UAE)

    Hii ni residential , 🔥🔥
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hongera Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, ndugu Alhaj Adam Omari Kimbisa kwa kuzifanya wilaya zote za mkoa wa Dodoma kua ngome kuu za CCM Tanzania

    Kwa hakika unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma. Asante kwa kazi kubwa na nzuri unazofanya katika kuuheshimisha mkoa wa Dodoma na makao makuu ya nchi. Katika mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa mwaka jana, wakati wa kuteu na kuthibitisha jina la...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Hongera Tundu Lisu umeshinda Kwa kiwango kikubwa kufunua Kwa kiwango kikubwa udhaifu wa mifumo yetu serikali bungeni sasa mahakamani mission complete

    Hapa ni great thinker wanaweza kuelewa nachomaanisha hapa. Kazi kubwa ya Lisu amehitimisha Leo kufunua udhaifu mkubwa wa mihimili ya nchi yetu. Kazi imebaki Kwa wananchi kuchukua hatua za kufanya mabadiliko makubwa kwenye hiyo mifumo yetu . Kama alivyoelezea historia yake inaonyesha akijaribu...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hongera IDF kwa Beeper-Day!!! Siku Makamanda wa Waandamizi wa Hezbollah walipowawa kwa Pager 📟!!!!

    Jana tulikuwa tunaadhimisha miaka 2 tangu Operesheni ya Pager ya Israeli dhidi ya Magaidi wa Hezbollah nchini Lebanon. Mnamo Sept 17, 2024, maelfu ya pager zilizotengenezwa kwa vilipuzi zilizosambaa miongoni mwa magaidi wa Hezbollah zililipuka karibu wakati huo huo kote Lebanon, haswa katika...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Sisimizi shujaa kuwafyatisha mkia"The Big Five".

    Sijawahi kufikiri itakuja siku Sisimizi akawatisha na kuwafyatisha mkia wale wanyama wetu wanaojulikana kama The Big Five, yaani wanyama wakubwa zaidi wapatikanao Nchi kavu. Wanyama hao ni Tembo, Simba, Twiga, Nyati/Mbogo na Faru. Lilipoandaliwa pambano kati ya Sisimizi na wanyama hao, vilitokea...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana da Fatma Karume

    Hongera kwa kwenda Hijja, hongera kwa kuvaa nguo za heshima, hongera kwa kujua mwanamke wa kiislam kuishi vipi, hongera kwa kuacha kutumia social media kwa kufanya vitu ambavyo maisha yako ya akhera hatayaleta faida. Hongera hongera mwanasheria kwa kuamini dunia sio chochote Quran inasema...
  15. M

    JamiiForums Tanzania BAKWATA ijetenge na kauli za Ostaz Juma Namusoma

    BAKWATA ijitenge na Juma Namusoma, ambaye ametumia mitandao ya kijamii kutoa kauli zinazowalenga na kuwashambulia masheikh, pamoja na wale wanaoendelea kumlinda. Kinachotia mashaka ni kwamba kila anapokosolewa kwa kauli zake, huonekana kujisitiri nyuma ya viongozi wa BAKWATA. Aidha, mara nyingi...
  16. Mmawia

    JamiiForums Tanzania HONGERA SANA URUSI,HONGERA SANA IRAN,HONGERA SANA N.KOREA,HONGERA SANA CHINA.

    Mmawia tena nimeibuka mshindi pamoja na wale tuliokuwa/ tunao endelea kukubali sana Urusi dhidi ya USA. Mwanzoni kabisa mwa Vita kati ya Urus na chawa wa USA nchi ya Ukraine nilisema au tulisema kuwa kwenye hii Vita Urus watatoka kidedea. Leo hii tumeshuhudia kuwa Urusi kaibuka mshindi kwani...
  17. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Nchimbi kawa mzalendo kuzidi CDF na IGP hongera nchimbi

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa maneno ya kijasiri ailyoyasema mbelel ya hadhira kuwa katika vitu vya msingi vya kuungana watanzania kwa faida ya sasa na vizazi vyetu ni kudai katiba mpya kwani katika ya sasa inampa Rais mmlaka makubwa sana ambayo anaweza kufanya chochote kile na hakuna...
  18. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Hongera JJ Ephraim Kwa Maudhui Bora, Ukiendelea Hivyo Utafanya Zaidi Ya Hapo

    Habari, Nimemtazama JJ Ephraim ambaye ni mtoa Maudhui ya video kwa namna ya kuburudisha jamii pamoja na kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha. Nampa Kongole kwenye ubunifu wa kuandaa mawazo, jumbe na mafunzo yanayolenga jamiii moja kwa moja kwenye kuonya,kufundisha na kuburudisha. Umekuwa...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Heko mahakama huru za Tanzania kwa kusikiliza mashauri, kuamua na kutoa haki kwa uwazi

    Hongera mawakili na wanasheria mbalimbali nchini, kwa weledi, umahiri na umakini katika kusikilizana kupeana fursa za kujieleza kisheria, kutafakari na hatimae kufikia hitimisho la mashauri mabalimbali pasina kuacha shaka na bila kupoteza wakati kwa pande zote husika. WaTanzania wote tuna imani...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kudos US kwa kumuwekea vikwazo rais wa ICC maana wapo compromised. Hawataki kudeal na waharifu ila wapo obsessed na Israel na nchi za mrengwa wa kulia

    mcTobby
Back
Top Bottom