majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. and 300

    Majaliwa na Mstaafu wanatosha kutuwakilisha Mazishi ya Papa Francis

    Japo mazishi yanaangukia sikukuu ya Muungano tafadhali tusikose mwakilishi huko Vatican kwenye mazishi ya Mzee wetu Baba Mtakatifu Francis. Mheshimiwa Majaliwa na Mstaafu wanatosha.
  2. Beira Boy

    Maono: nimemuona philipo mpango akiwa amekaa kwenye kiti cha juu huku akiuliza niendelee na majaliwa au nimwache? Matajiri na masikin wakajibu wote

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU Leo katika maono nimemuona philipo mpango makamu wa rais wa TANZANIA akiwa amekaa kwenye kiti cha juu kabisa Kilichonishaza zaid ni hiki Alikuwa anauliza niendelee na majaliwa au nimwache? Masikin wakajibu ambao walikuwa wengi sana wakasema endelea naye...
  3. T

    Majaliwa: Mashirika ya ndege yanayokuja nchini huajiri mhudumu maalum anayezungumza Kiswahili lakini waajiriwa wale si Watanzania

    Nimeshangazwa sana na waziri mkuu kushangazwa na wanaoajiriwa kwenye ndege za mashirika ya kimataifa kwa ajili ya kuzungumza kiswahili sio watanzania. Kwa mtazamo wangu nilidhani waziri mkuu angekuja na mpango ambao serikali imefanya kuwafanya watanzania wanaozungumza kiswahili waajiriwe kwenye...
  4. GENTAMYCINE

    Kwanini siku Mjumbe Maalum wa Kumuwakilisha Rais Samia duniani ni Rais Mstaafu Kikwete na siyo Makamu Mipango au Premier Majaliwa?

    Wiki hii nzima alikuwa anazurula tu hapa Kampala Uganda na baadae akaenda Gulu na muda si mchache kaonekana huko nchini Ethiopia na kote anapeleka tu Ujumbe Maalum wa Rais Samia.
  5. Waufukweni

    Pre GE2025 Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema; "Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu tuliyenaye sasa hivi, ni mstaarabu mno, ni mchapakazi na mstaarabu, kila mtu anamsikiliza." "Sasa mimi...
  6. Nandagala One

    Mbunge wa Busega umetumwa au umejigeuza CHAWA wa Waziri Mkuu Majaliwa ???

    Wana JF , Heshima kwenu!! Moja kwa moja kwenye mada, Leo katika Bunge alipokuwa anachangia hoja juu ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ,Ndugu Simon Songe,umetumia muda mwingi kumsifia waziri Mkuu, huku ukiwataka wakazi wa Lindi mintarafu Ruangwa kumwamini Waziri Mkuu,ukirejea kuwa kaleta...
  7. Waufukweni

    Waziri Mkuu Majaliwa: Pato la Taifa limekua kwa asilimia 5.5

    "Mwenendo wa viashiria vya uchumi na bajeti katika mwaka 2024/2025 umeendelea kuwa wa kuridhisha. Katika mwaka 2024, Pato halisi la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 5.5 ikilinganishwa na asilimia 5.1 mwaka 2023. Ukuaji huo ulitokana na kuongezeka kwa uzalishaji wa umeme; uimarishaji wa...
  8. Waufukweni

    Waziri Mkuu Majaliwa aitakia heri Simba SC dhidi ya Al Masry

    Waziri Mkuu Majaliwa akisoma bajeti yake aitakia heri Simba SC dhidi ya Al Masry
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Mapato ya ATCL yameongezeka kutoka Tsh Bilion 254 hadi TSh. Trilioni 1.5

    Shirika la Ndege Tanzania ATCL limeongeza mapato yake kutoka Shilingi Bilioni 254 mwaka 2021 hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.5 Februari mwaka 2025, ikichangiwa na Ongezeko la Ndege na safari za ndege kwenda nje ya nchi, kulikofanywa na Serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  10. Waufukweni

    Waziri Mkuu, Majaliwa: SGR Dar - Dodoma yakusanya TSh. Bilioni 54.9

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema kwa kipindi cha Agosti Mosi 2024 mpaka Februari 2025, Jumla ya shilingi Bilioni 54.9 zimekusanywa kwenye huduma ya usafiri wa reli kati ya Dar Es salaam - Morogoro - Dodoma. Waziri Mkuu Majaliwa amebainisha hayo leo...
  11. H

    Jimboni Ruangwa, Kwa Majaliwa, Wananchi Waunga Mkono NO REFORM NO ELECTION

    Sote tunafahamu kuwa uchaguzi wa 2020 ulituletea Waziri Mkuu ambaye ni kinyume cha Katiba. Katiba yetu inatamka wazi kuwa Rais atamteua mbunge mmojawapo aliyechaguliwa na wananchi kuwa Waziri Mkuu, ma atathibitishwa na Bunge. Waziri Mkuu tulite naye hakuchaguliwa na kura hata moja ya...
  12. D

    Suala la VETA limemshushia hadhi Waziri Mkuu Majaliwa

    Tulifikiri waziri mkuu huwa ni mtu wa busara sana mpaka watu walianza kumtabilia urais kisa tu kufoka foka enzi za zile za giza kumbe ni hewa tu. Badala ya kusisitza elimy ya juu iwe bora unasisitiza VETA kwa kusema na kukiri kwamba wenye degree, masters au PhD eti wamepoteza muda. Hakika...
  13. Waufukweni

    Waziri Mkuu Majaliwa: Sitaki kusikia mtu anaambiwa akanunue dawa nje ya hospitali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku tabia ya waganga katika hospitali za serikali kuwaandikia wagonjwa dawa na kuwaelekeza kununua dawa hizo katika maduka ya dawa ya watu binafsi wakati Serikali imetoa dawa za kutosha kwenye zahati,vituo vya afya na hospitali za Wilaya. Ametoa marufuku...
  14. ChoiceVariable

    Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora. "Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
  15. T

    Shida ya ukosefu wa ajira sio mfumo wa elimu tu, watanzania wengi hawaajiriki, ni wavivu na wezi

    Majaliwa ametaja njia moja wapo ya kukabiliana na ukosefu wa ajira ni kwenda Veta, yawezekana ila shida kubwa iko kwenye sisi wananchi wenyewe. Visa vingi sana vimeletwa humu ndani kuhusu namna waajiriwa walivyo rudishwa nyuma kwa wizi. MImi binafsi nina mifano mingi sana. Lakini pia...
  16. sifi leo

    Mh Kassimu Majaliwa, Mimi nimekubali kwenda VETA KUSOMA USHONAJI, nikimaliza ufundi nikajiali wewe na watu wa BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU mtanifata?

    Naliona anguko kubwa la Bodi ya mikopo ya elimu ya juu, Hivi walipewa mikopo ya elimu ya juu wakienda kuongeza ujuzi veta wakamaliza wakajiari je Bodi ya mikopo itafata marejesho? Binafsi sitokaa niwalipe kamwe.
  17. Mikopo Consultant

    Hoja ya Waziri Majaliwa haina mgogoro, amekosea tu kuwataja degree holders, VETA ishauriwe kwa vijana wote chini ya miaka 26

    Kwasababu huyu wajina wangu Majaliwa katupatia hoja mezani, lazima tuijadili, kwa akili za wazi kabisa Nchi yetu sasa ina watu kama milioni 70 ambao asilimia 50 (Milioni 35) wana umri chini ya miaka 24, na Milioni 8 kati ya hao ni vijana wa miaka 15 mpaka 24. Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa...
  18. M

    Pre GE2025 Huko CCM mwenye uwezo wa kuiamsha serikali ifanye kazi ni Kassim Majaliwa pekee

    Mpaka sasa nchi nzima tunakubaliana kwamba utendaji wa serikali unazorota kila kukicha, wafanyakazi wa serikali wanafanyakazi wanavyojisikia, kama hauamini hili subiri utakapopata shida ya kukutana na watendaji wa serikali ndiyo utaelewa. Kwa tathimini ya haraka kiongozi anayejielewa...
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Kauli ya Waziri mkuu Majaliwa kuwataka wenye shahada waende VETA ilitosha kabisa kufukuzwa bungeni na kupokwa nyadhifa zote za kiserikali

    Habari! Elimu ya VETA tunaweza kuiita elimu ya kati. Wakufuzi wake ni wahitimu wa elimu za juu. Wapo pia wakufuzi wenye elimu ya kati, nawafahamu. Bahati mbaya kauli ya Majaliwa haijawataja hao wenye degree anataka waenda VETA ni degree za fani gani, na je, nini hatma ya elimu yao ya degree...
  20. Nandagala One

    Pre GE2025 Majaliwa Mpe Mama Nafasi ya kupumua, ajiteulie Mwingine kuwa Waziri Mkuu baada ya uchaguzi mkuu

    Wanabodi ,awali ya yote nawatakia Mfungo mwema wa Ramadan na Kwaresima inayoanza kesho. Bado kama mtanzania naona kitendo Cha Mama kumpendekeza na kupitishwa kwa Dr Emanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza yaan running mate, ni salamu tosha alarming sign ya kuwa zama za "Mjomba" zinaenda ukingoni...
Back
Top Bottom