rais hussein mwinyi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kwanini Wazanzibari wanampiga vita Rais Hussein Mwinyi?

    Huku Zanzibar kuna mgawanyiko mkubwa kisiasa. Mzee Mwinyi anafanya vizuri sana kuleta maendeleo lakini hakubaliki. Baadhi ya factors zinazofanya asikubalike ni hizi hapa. 1. Siyo Mzanzibari 2. Anadaiwa kudharau kila kiongozi aliyepo chini yake 3. Anawafokea na kuwanyanyapaa viongozi wenzake...
  2. Burkinabe

    Rais Hussein Mwinyi tunakutaka utuletee Maendeleo Bara kama unavyofanya Zanzibar

    Wakati Rais Hussein Mwinyi anaingia madaralani, uchumi wa Zanzibar ulikuwa kunakuwa kwa asilimia zisizozidi 5. Lakini ndani ya kipindi cha miaka 3 tu uchumi wa Zanzibar leo unakua kwa asilimia 6.8 huku wa bara ulikuwa unakua kwa asilimia 7 kabla ya kifo cha Rais Hayati JPM tena katikati ya...
  3. GENTAMYCINE

    Rais Hussein Mwinyi siyo kila Unachoambiwa na Mgeni Jirani ukiamini 100%, kwani Wengine huwa Wanakusanifu na Kukudharau pia

    "Gwaride lile la Askari Wetu hasa wale Makomandoo lilifanya tukiwa katika Hafla Ikulu ya Zanzibar Marais Wageni wa Nchi Jirani wasifie na waseme hakika Tanzania imewazidi vingi" alisema Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi. Chanzo: Nipashe ya Radio One leo Saa 12 na Nusu za Asubuhi. Hakuna...
  4. Tlaatlaah

    Rais Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Tanzania hapo mbeleni

    Ndugu wapendwa JF wasalam. Hodi Jukwaani. Darubini yangu imeona dalili na Ishara ziko wazi kwamba huyu mjamaa anaandaliwa na kwakweli he has all possible qualifications for the post. Just check, uadilifu, uaminifu katika utendaji na utekelezaji mipango SUK, bidii na uchapakazi, hana makundi...
  5. msani

    Barua ya wazi kwa Rais Hussein Mwinyi

    Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi, nakuandikia hapa kwa sababu nahisi ndio sehemu pekee ujumbe unaweza kukufikia. Sisi wafanyabiashara mara nyingi huwa tunakopa fedha benki ili kuendesha biashara zetu, na sisi kama wengine tumekuwa tunakopa mara nyingi na kufanya valuation ya mali zetu kama...
  6. beth

    Zanzibar: Rais Hussein Mwinyi atengua uteuzi wa Wakurugenzi watatu

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua utenguzi wa Dkt. Abdulla Suleiman Ali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (Afya) Wizara ya Afya Wengine waliotenguliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Sekretarieti ya Tume ya Ushindani Halali wa Biashara, Mohammed Jaffar Jumanne na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
  7. Ojuolegbha

    Rais Hussein Mwinyi na CAG Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Viongozi na watendaji wa Wizara na Idara za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutekeleza wajibu wao katika kusimamia mifumo ya ukusanyaji na matumizi ya fedha za Serikali, huku akibainisha kuwa Serikali...
  8. beth

    Rais Hussein Mwinyi afanya uteuzi wa viongozi watatu

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Capt. Khatib Khamis Mwadin kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) Mudrik Fadhil Abass ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Maji katika Wizara ya Maji,Nishati na Madini Pia, Dkt. Mwinyi amemteua Nassor Shaaban...
  9. S

    Rais Mwinyi umetudhalilisha Wazanzibari. Waziri wa Michezo angetosha mazungumzo na Mamadou Sakho

    Nimeona aibu sana na niliondoka kimya kimya huku nikisononeka inakuwaje Rais wa Nchi anajidhalilisha kwa mcheza mpira? Au ndio ukisikia itifaki imezingatiwa ndio huku? Tena kwa red carpet kesho na kesho kutwa mchezaji anakunya mbovu inakuwaje hapo? Au kuna mtonyo wa 10% Kusema kweli ni aibu...
Back
Top Bottom