Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wakuu wa mikoa walioteuliwa na kubadilishwa vituo vya kazi kwenda kujirekebisha na kuwatumikia wananchi ipasavyo. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na...
Kama ni kidali poo, mama Samia analo!
Nchimbi huyoo kayoyoma kiaina, kaona kama ni mbwai miye naulaza!
Kwa maneno ya mjini, kabwaga manyanga!
Ngoma waicheze wajuvi.
Kwa maneno nengine Nchimbi hana imani na mama Samia, kuwa mama Samia ana imani naye kama Makamu wa Rais.
Kwa matamshi yake ya...
Katika kuangalia hali ya kisiasa inavyo kwenda sasa, kuna kitu kimoja ambacho wabongo wengi kama hatukioni ila ndo msingi mama wa haya yote na ndo maana hii nchi tumeshikwa kama mburula.
Ni kuwa, watanzania(wamatumbi) culture na tabia zetu ambazo ziko ndani yetu zinatufunga. We've no common...
Wake za watu tulizeni nyapu zenu kwa waume zenu, mnajirahusisha kwa vijana wadogo, wanawapelekea moto mnapagawa, waume zenu wakigundua vijana watu wanaingia kwenye matatizo makubwa.
Nanyi vijana wa kiume, waepukeni wake za watu, ukidakwa mo safi ni halali yako.
Ndugu zangu Watanzania KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA(KKMK) tunahimiza Wanasiasa kuwa na Utulivu wa AKILI,MIKAKATI NA MBINU za kupigania MAGEUZI YA KATIBA na MAZUNGUMZO yatakayozaaMARIDHIANO
NA MUAFAKA WA KITAWA KITAFA.Bado tuna imani kwamba pamoja na matatizo yaliyotokea bado Rais...
Ndugu zangu Watanzania KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA(KKMK) tunahimiza Wanasiasa kuwa na Utulivu wa AKILI,MIKAKATI NA MBINU za kupigania MAGEUZI YA KATIBA na MAZUNGUMZO yatakayozaaMARIDHIANO
NA MUAFAKA WA KITAWA KITAFA.Bado tuna imani kwamba pamoja na matatizo yaliyotokea bado Rais...
Unafungua simu yako asubuhi na kukuta ujumbe wa deni, huku kodi ya nyumba ikikaribia, ada za watoto zinasubiri na gharama za chakula zinaendelea kupanda. Badala ya kuanza siku ukiwa na utulivu, mawazo yanatawaliwa na swali moja, nitatoa wapi fedha?
Kwa Watu wengi barani Afrika hasa wanaoishi...
Baada ya kumaliza chuo tu.
01.Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni receptionist Zanzibar.
Niliacha kwasababu niliona ni kazi ya kunyenyekea sana watu, ukiona mzugu umpokee umchekee upokee mabegi meno nje kifupi kazi ya kunyenyekea mtu siwezi hasa hawa wazungu wa hotelini(nikaacha kazi)miezi miwili...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Moja ya sifa za mtu mchawi ni pamoja na hiki ninachokieleza hapa.
Kazi kuangalia nani kaja kwenye msiba nani hajaja.
Nani Kala nani hajala
Nani anafanya nini.
Kufiwa hujafiwa wewe unapeleka mambo yako ya kichawi kwenye misiba ya watu.
Subiri ukifiwa ndio...
Kukamatwa kwa Nabii Tito ni Ishara tosha kwamba Polisi wanatumilka Kisiasa.
Mwaka 2018 Polisi walimkamata Dodoma, Halafu wakampeleka Mirembe, kisha wakamuachia eti ana matatizo ya akili. Kipindi hicho alikuwa anaisifia CCM.
Alipoanza kusema CCM na Samia ni wauaji wa Oktoba 29 mwaka 2025...
Ua la kitenge ambalo kwa kizungu laitwa COLEUS PLANT, ni mojawapo ya maajabu mengi katika tiba ya msradhi sugu.
Inawezekana unalifahamu pia unalo katika bustani yako. Jani hili linatibu maradhi mengi. Lakini leo ninakupa moja ya maradhi sugu linavyoweza kutibu
VIDONDA
1. Donda ndugu...
Sio kwa ndugu, rafiki, askari wala mwanajeshi hata kwa mkuu wa nchi siwezi jiliza wala kutia huruma ili nipate kitu fulani au haki fulani nitapambana mwenyewe.
Nimegundua watu hutumia kujiliza kwako au kulalama kwako kama mwanya wa kukukandamiza japo sio wote
Unamteka mtu na kumpoteza. Familia na ukoo mzima wanaumia. Jamii inayomzunguka inaumia na kutengeneza kidonda ambacho hakiponi.
Watu wanajawa na chuki. Wanawaza kulipa kisasi kwa kupoteza wapendwa wao.
Watalipa vipi visasi? Hapa ndipo tunazalisha tatizo kubwa amabalo ni jipu ambalo haliwezi...
Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani
Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli
Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani
Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
Nilijifunza nini baada ya karibu kuingia kwenye tatizo kubwa?
Nataka kushirikisha jambo lililonitokea, si kwa ajili ya kulaumu mtu yeyote, bali labda linaweza kumsaidia mtu mwingine ambaye amewahi kujikuta kwenye hali kama hii.
Mimi ni mtu ninayependa kusocialize. Ninaamini sehemu kama baa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.