Vifo vya watumishi sita wa uhifadhi Tabora, pamoja na vifo vya simba 11 na fisi wawili Ngorongoro, ni matukio mazito yanayohitaji uwajibikaji na majibu ya kina kutoka kwa Wizara ya Maliasili na Utalii.
Kwa mtazamo wangu, matukio haya yanaibua swali kubwa kuhusu ufanisi wa usimamizi wa sekta ya...
Jaji mstaafu Joseph Warioba, ameonesha wasiwasi wake juu ya uwezekano wa nchi kupata Katiba Mpya kabla ya kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi wa mwaka 2029.
Akizungumza leo Agosti 28, 2026, katika mkutano wa wadau wa masuala ya kidemokrasia uliofanyika katika makao makuu ya Chama cha Wanasheria...
Je nani ni mzalendo wa kweli kati ya yule anayetangaza nchi yake na anayemtangaza mkuu wa nchi yake?
MY TAKE
Ukila na kipofu usimguse Mkono. Haya ndi mambo Samia anataka ndo anaita Uzalendo. Tanzania ina viongozi wenye laana.
Yote haya ni kuokota okota tu watu kushika nafasi
Uzuri wangu si Mekko wala Samia amewahi niongoza nimetoka Tanzania 2015 Mwishoni ,
Ila kupitia watu wanaoishi Tanzania na Wengine ni wakubwa serikalini wanavyolalamika chini chini huyu Mama hafai kabisa
Kataa kubaki huo ndo ukweli, Full...
Kwako Mheshimiwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, Nina ushauri Mmoja tu kwako. Naomba nikushauri ya kwamba tofautisha nafasi ya Uwaziri Mkuu na nafasi ya ukatibu mwenezi wa CCM.
Ushauri wangu ni kwamba Kuna kauli ambazo hutakiwi kuongea kwa nafasi uliyonayo ya Waziri Mkuu. Wewe ni kiranja wa...
Ma consultance wa Makonda hawalali yaani wana kesha usiku kucha kumpa Makonda mbinu.
Makonda kaambiwa Mali asili na utalii ndiko hasa panamfaa ndiko kwenye mafuta, na ili aingie huko aanze kufanya harakati mbazo mnaziona kwa sasa hivi. Hao wastafu wa Soka anao waleta sio kwa lengo la michezo...
Habari Tanzania !.
Eti watanzania mnaonaje mtakapo fanya mabadiliko ya Katiba Mpya; Diwani awe na sifa ya kuteuliwa kuwa Waziri ili achangie maendeleo yetu kwenye Taifa.
NB
Mkumbuke katika Mfumo uliopo nchini wa kisiasa; mwenye kujua changamoto za wananchi ni Diwani pia ndio mtu pekee mwenye...
1. Aliemteua mwenyewe pia hatoshi kwenye hicho cheo.
2. Mwigulu ni bingwa wa kujipendekeza na kulamba viatu.
3. Mwigulu ni "yes man", hana gut ya kuhoji maelekezo yoyote, na viongozi ambao ni incompitance wanawapenda "yes men" kwa maana hawawachalenge kwenye maamuzi yoyote. Hawa ndio...
Godbless Lema ni Nabii wa Kweli heshimuni maono yake kuepuka Majanga
Godbless Lema akiwa Bungeni aliwahi kusema:
"Jenista kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa baada ya siku si nyingi. Huwezi ku--defend kila jambo kwa sababu unataka uonekane. Kuna saa unachill, wisdom"
Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote.
Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote.
Kutokana na mlichokifanya na kufikia hapo kuwa waziri mkuu mpaka yametokea yote watu kufa maana wewe unaeleza mali tu...
MINISTRY OF HOME AFFAIRS THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
P.O. Box 9223, Dar es Salaam.
Telegram "Usalama"
Telephone
In reply please quote:
22 Januari, 1977.
Ref. No. AHM/PERS/P. 1/14
MHESHIMIWA MWALUMU J.K. NYERERE,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
IKULU,
DAR ES SALAAM.
Mwalimu...
Huku kijijini kwetu Masalawe Kongwa nilikotoka kuleta mhogo mkubwa kuliko yote hapa Nanenane Dodoma nimeshangaa kumwona Bashe anapiga kazi eti ni waziri na anatumia V8 ya serikali. Mbona mhe. diwani wetu kazi zake zote zinafanywa na mtendaji wetu wa kata. Au wizara ya Bashe haina katibu mkuu...
Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe.
In short don't trust politicians hasa ukiwa smart .
Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
Kwa tafsiri yangu, Heche ana contact person ndani ya CCM ambaye amemuhakikishia jambo fulani, na pia mtu huyo wa CCM contact (asset) wake ni Heche ndani ya Chadema.
Hii inamfanya anatutambia kila wakati. Siku za karibuni palizuka tetesi kwamba Heche anatumia gari ya kigogo wa CCM katika...
Nimeamini siasa ni mchezo mchafu huwa hazitegemei akili ya mtu bali mapenzi ya kiongozi wa wakati huo hasa ukitegemea na sheria zetu za uchaguzi zilivyo mbovu huna cha kufanya.
Tusione watu wanasifia wanajitoa ufahamu kumbe wanajua akili zao walishazikabidhi kwa Rais wao
Mchungaji Msigwq kutoka...
Katika shamrashamra za maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika jijini Stockholm, Sweden, mgeni rasmi, Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri wa zamani wa Usawa na Jinsia nchini Sweden, ametoa hotuba kwa lugha ya Kiswahili fasaha na yenye mvuto.
Mhe. Nyamko, mwenye asili ya Jamhuri...
Wakuu mpo!
Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025
https://www.jamiiforums.com/threads/anguko-la-yanga-limechangiwa-na-eng-hersi-mwenyewe-na-gsm-kuwa-na-tamaa-ya-madaraka-ya-kisiasa-mwaka-2025.2286008/
Leo nmeona taarifa kachukua fomu.
Niwaambie tu wajumbe kuwa hata msipo...
Pale alipokuwa kawekwa kabla ya hapa ilitokea kwa bahati mbaya tena sana! Na kwakuwa ile nafasi ni sawa na joka la kibisa.. Hatukuweza kuona ombwe! Hatukuweza kuona uhalisia....
Baada ya asili kuamua ile ugomvi mkubwa, tukadhani tumesalimika sana.. Kumbe ilikuwa ni sawa na kuruka kubwa kisha...
Hizi kazi zingekuwa za mkataba wa muda mfupi kama miaka mitano mitano zingepunguza gharama na kuongeza ufanisi sana.
1.Ubalozi
2.Mwanasheria mkuu
3.Wakurugenzi wa mashirika ya umma
4.Madaktari
5.Polisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.