ukitaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitaka kuishi na mwanamke kwa amani, mnafikie

    Ndugu.. Kama unataka amani ukiwa na hawa viumbe hakikisha unakua mnafiki kwao. Wewe kua mnafiki tuu utatoboa
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania Katambi: Ukitaka kuandamana, katoe taarifa Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amezungumzia utaratibu wa maandamano na mikusanyiko ya hadhara kwa mujibu wa Katiba na Sheria, ikiwemo wajibu wa kutoa taarifa kwa Kituo cha Polisi saa 48 kabla ya kuandamana. Akizungumza leo Julai 2, 2026, Jijini Dar es salaam, Katambi amesema...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuchaguliwa serikali ya CCM onesha kuwa katiri. Simbachawene alionekana kutumia busara, hekima and the like , wakamlamba

    Mwigulu na Katambi na wengine wote wa rank za juu ni makatiri. Ndiyo sifa ya sasa kuwa Waziri, PM and the like. Simbachawene alianza vizuri. Wakaona huyu siyo katiri wakamtoa
  4. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kumuwin mwanamke yeyote chukua code hizi

    Usiku mwema wadau.....Leo nimeona niwape siri mojawapo ya kuwawin hawa viumbe. Kwa maligendary hii haiwahusu sana labda muongeze maarifa tu. Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Jimmy na Suzzy (mfano) Hayae twende sawa; Jimmy: Mambo vipi mrembo Suzzy: Safi tu Jimmy uko poa Jimmy: Niko poa tu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua elimu sio chochote mbele ya Mamlaka angalia Zanzibar, ipo nyuma kielimu ila ndio jamii iliyojaa kwenye vyeo vizito na taasisi kubwa,n.k.

    Waweza kuingia hata tovuti za Necta kuthibitisha hayo, miaka nenda miaka rudi nafasi za mwisho huwa ni Zanzibar. Kwa wale wanaofika vuoni ambao asilimia kubwa husomea Bara, uwezo wao ni wa kawaida sana, Lakini kitakwimu hakuna sehemu ambayo ina watu wengi maofisi ya taasisi kubwa au kwenye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu alietoboa vilivyo kwenye biashara hapa Bongo utasubiri sana hadi uote sugu, Game lipo zigzaga tofauti na unachokiona

    Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu haa bongo hasa kwenye biashara utakesha Makanisani, Misikitini, mpaka uote sugu Utamaliza rapa kwa kubuni Biashara na kuwekeza ukiamini utakuwa kama fulani. kumbe Siri Yao ya Mafanikio ni Short Cut Halali inawezekana ila huchukua muda mrefu sana na ubaya ni...
  7. masai dada

    JamiiForums Tanzania Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

    Wala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha I thank God for this friend of mine 5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu Una rafki humu? How many years so far?
  8. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujifunza sales and closing skills angalia hizi movie

    Ukitaka kujifunza sales and closing skills angalia hizi movie 1. The Wolf of Wall Street “Jinsi ya Kumfanya Mteja Aseme NDIYO Haraka” 2. Glengarry Glen Ross “Ukishindwa Kufunga Deal, Umefeli Maisha” “Hakuna Huruma Kwenye Sales” 3. Boiler Room “Jinsi ya Kuuza Bila Aibu (Na Kufunga Deals)” 4...
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanikiwa kibiashara, kaa mbali na walioajiriwa, hawawezi kukushauri kitu

    Biashara ni upambanaji, ukilala na biashara nayo inalala. Ila kwa mwajiriwa, ata akilala mwisho wa mwezi utasoma. Usitegemee mtu aliyeajiriwa akupe ushauri chanya kwa kitu ambacho yeye kimemshinda kufanya. Jenga urafiki na wafanya biashara wenzako, hawa walioajiriwa watakupoteza; wanakauli...
  10. Morning Joy Motors

    JamiiForums Tanzania 2011 Subaru Forester SHJ - Subaru Mayai - ukitaka isikusumbue fanya hivi

    Mafanikio mengi ya Subaru yametokana na ujuzi wake wa kukidhi mahitaji ya vikundi maalum -- na vilivyojitolea sana -- vya wanunuzi wa magari. Miundo kama vile Outback kwa kawaida imekuwa ikilenga watu wanaotaka kitu cha kistaarabu cha kutosha kwa usafiri wa kawaida wa mijini, lakini ni iwe gari...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Usimsikilize Mzanzibari Sama Ukitaka siku yako iishe Vizuri. Anabwatuka

    "Samia: Wakinikera mimi nabwatuka tu, acheni midomo ya uongo" . Zamani tuliuwa tulikuwa ttunasikiliza hotuba za marais. Ila huyu Mzanzibari Samia kapoteza Legitimacy. Mwenyewe anakuambia ans bwatuka. Hotuba yake inakakosa mvuto, vionjo. Anaongea kama kapewa nafssi asalimie wafiwa. Hata...
  12. Vien

    JamiiForums Tanzania Nyakati ngumu ndiyo daraja la mafanikio makubwa kwenye biashara

    Habari wana JF, Kuna jambo watu wengi hawalielewi kuhusu biashara - mafanikio ya kweli huanza rohoni kabla hayajaonekana kwenye akaunti ya benki. Watu wengi wanapomwona mfanyabiashara aliyefanikiwa, wanaona majengo, magari, ofisi na mtiririko wa pesa. Lakini hawaoni maombi ya usiku, wasiwasi...
  13. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoa ,oa mwanamke mwalimu

    Wanawake walimu hawatumiki sana.
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Porsche Cayenne 3rd generation hafu pesa imepungua basi cheki Honda ZR-V!

    Porsche Cayenne ya 2020+ ni kali kimuonekano sana. Mchawi ni bei, ya moto hatari. Pamoja na kwamba ni used bila $36,000 ngumu kupata. Hapo bado ushuru TRA, na running cost zake ni zamoto. Sasa kama umependa “muonekano” (sio brand) unaweza ukaicheki Honda CR-Z kwa nusu bei. Latest kabisa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara ukifunga camera na hata ukitaka ushinde hapo 24/7 mfanyakazi akiamua kuiba ataiba tu

    Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera. Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa mwaminifu atamwambia gharama yake halisi mfano 200K kisha atamwambia anaweza kulipia 20K na risiti...
  16. Heparin

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Wakatoliki tuna sheria nzuri sana, ukitaka kumtuhumu Kitima anzia kwa Paroko. Ukianzia kwa Papa utarudishwa kwa Paroko

    Akizungumza wakati wa Misa ya kumuombea na kumuaga Marehemu Mariam Kessy aliyekuwa Mwenyekiti wa CPT Taifa, Padre Dakta Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki Tanzania alisema: "Sisi kwenye Kanisa Katoliki wewe ukiwa na shida yoyote hata kama ukiwa unataka...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukipoteza au ukitaka kurekebisha cheti chako cha Chuo cha Stella Maris (Tawi la SAUT - Mtwara) ni ngumu kufanikiwa

    Huku kwetu Mtwara, kuna changamoto inayowakuta Wanafunzi wa Chuo cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT) Tawi la Mtwara linalojulikana kwa jina la Stella Maris Mtwara University College (STEMMUCO) kutopewa vyeti vyao tena kama vilipotea au inapotokea vina marekebisho. Baadhi ya wahitimu...
  18. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitaka umtukane mtu "pumbavu" kwa upole na asikasirike unamwambiaje?

    Wakuu ni dharula, naomba msaada tafadhali Nipo site, nisaidieni, naweza kumwambia mtu pumbavu na asikasirike na ajiskie vizuri?
  19. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua miaka inaenda kasi, ni miaka 7 tangu COVID-19 ikurupuke !!!

    Siku hazigandi. Kama unashindwa kutoka kwenye ukata ufuta ni wakati wa kubadili gia angani. Utadhani ni jana tu kumbe miaka 7 tayari ishakatika!! Ungepanda migomba kwenye pori la ekari 4 kijijini kwenu sasa hivi ungekuwa ushajikomboa kiuchumi ila sasa uko town unabishania Man United mwaka wa 7...
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Kisale: Kwanini ukitaka kusema masuala ya Haki unaambiwa hapana sema Amani

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonnite Tanzania, Dkt. Nelson Kisale, amesema hofu inayotawala mioyo ya watu sasa ni zao la matendo yetu hata kutufikisha Kwenye yaliyotokea Oktoba 29 na siku zilizofuata. Akihubiri kwenye ibada ya Noeli leo Desemba 25, 2025 mkoani Mara, Dkt. Kisale ameshangaa kuona...
Back
Top Bottom