vyeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Tetesi: WALAKA KWA RAIS: KULINDA TADB, KULINDA FEDHA ZA UMMA — OMBI LA UCHUNGUZI HURU WA AJIRA, UPANDISHAJI VYEO, SAFARI ZA NJE, MATUMIZI YA RASILIMALI NA MGO

    KWA: Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KUTOKA: Baadhi ya Watumishi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) (Tunaomba majina ya watoa taarifa yahifadhiwe kwa sababu za usalama, kutokulipiziwa kisasi na kulinda uadilifu wa uchunguzi.) TAREHE...
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa serikali na waliofungua mashtaka ya jinai wakishinda kesi waliyoanzisha huwa wanapandishwa vyeo na kupewa tuzo

    Wala msijiulize kwanini kilaza Kingai anasema atafurahi endapo Lissu atakutwa na hatia. Niwaambieni kitu kimoja kuwa waliofungua mashtaka kwa niaba ya jamhuri na mawakili wa jamhuri wakishinda kesi waliyofungua huwa ni utaratibu wao kupandishwa vyeo na kupewa tuzo maalum kama motisha. Ndiyo...
  3. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania WATU MNAOWABANIA WENZENU VYEO MAKAZINI, STUKA!

    Kuna watu kazini wamegeuza vyeo kuwa mali yao binafsi. Ukiona mwenzako anastahili kupanda cheo, badala ya kumuunga mkono, unaanza figisu, kumzuia, kumchafua au kutengeneza mazingira ya yeye asipate nafasi. Lakini kuna jambo moja mnalisahau: Kumzuia mwenzako kupanda cheo hakumaanishi...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu waliofanya unyama na uovu na kisha wakapandishwa vyeo na serikali ya CCM

    Jina Ramadhan Igwondu (au wakati mwingine likiandikwa kama Ramadhan Ighondo) linajulikana nchini Tanzania likihusishwa zaidi na matukio mawili makuu: Kashfa ya Kutekwa kwa Dr. Steven Ulimboka (2012): Jina hili liligonga vichwa vya habari na kujadiliwa sana kwenye majukwaa ya kijamii kama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uzalendo hauna vipande, Vijana wa Tanganyika wamepoteza uzalendo wa Muungano wamehamishia uzalendo kwenye Pesa na vyeo tofauti na Wazanzibari

    UZALENDO HAUNA VIPANDE Uzalendo ni kuipenda nchi yako hata pale ambapo hakuna cheo cha kupata, hakuna pesa ya kupewa na hakuna maslahi binafsi yanayokusubiri. Lakini uzalendo huu unaweza kuyeyuka haraka sana pale ambapo nchi yenyewe inaanza kugawanywa katika hisia, utambulisho na maslahi...
  6. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wachache sana Wana Conviction,wengi siasa ni kutaka vyeo na kuganga njaa!

    Ukiuliza Wanasias wengi,Vyama vyote, Kipi unakisimamia Moyoni Mwako? Jambo gani umeweza kulisimamia kama Mwanasiasa katika Maisha yako bila kuyumba utakosa majibu! Ukisikia wanasiasa wanaongea vitu kinyume,lakini vinavyobeba Maslahi yao! Ili waonekane Machawa wapate teuzi. Wanayosema...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuwafikisha mahakamani watakaojipachika vyeo na kutumia mavazi ya chama kwa nia ya kukichafua chama na viongozi

    Tumekubaliana mawakili wa Chadema sasa tutakuwa tunawapeleka mahakamani watakaokuwa wanakichafua chama kwa manufaa yao. Kwa yeyote mwenye nia ya kukichafua chama kwa manufaa yake yoyote, aache mara moja maana hatutaruhusu tena kuendelea kwa hali hii. - Mhe. Dickson Matata.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya maridhiano nini kinafuata, uchaguzi unarudiwa au, Isije kuwa ni maridhiano ya kugawana vyeo maana kila baada ya uchaguzi maridhiano

    Kwa akili ya kawaida mnapokuwa na mgogoro mnatafuta sababu za mgogoro harafu ndo mnakubaliana kuutatua huo mgogoro , Hapo ili kupata suruhu huwa tunatafuta mtu watatu ambaye atakaa katikati kuhakikisha pande zote mbili zinaridhia yale yaliyojadiliwa na kuafikiwa yanatekelezwa. Kama sababu za...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Apedomia-Unyani wa "wahudumu" wa serikali kuwaua Watanganyika wenzao kwa ajili ya vyeo na pesa....ndiyo Unyani, APEDOMIA

    Tujikumbushe Mchungaji Mtikila na Unyani APEDOMIA. Ukiona Mtanganyika hajali Utu wa Mtanganyika mwenzake kwa sababu ya pesa, cheo ndio UNYANI-APEDOMIA Ukiona Mtanganyika Unauza utu wake na watanganyika wenzake kwa tende na Harua, ndiyo Unyani...APEDOMIA Video chini
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu sana viongozi wetu, ni nature yetu waafrika wengi kuwa loyal kwa rewards kama Vyeo na pesa kuzidi uzalendo wa kufikiria mateso ya wengine

    Unafkiri hawaoni yanayoendelea ?? wanayaona sana tu lakini mapenzi ya vyeo, pesa, maisha mazuri ya familia, n.k. ni muhimu sana kuvitunza Kwa kiasi kikubwa, tatizo linaweza kuwa ni sehemu ya utamaduni wetu wa kisiasa na kijamii. Mara nyingi wengi wetu huwa waaminifu zaidi katika maslahi kama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua elimu sio chochote mbele ya Mamlaka angalia Zanzibar, ipo nyuma kielimu ila ndio jamii iliyojaa kwenye vyeo vizito na taasisi kubwa,n.k.

    Waweza kuingia hata tovuti za Necta kuthibitisha hayo, miaka nenda miaka rudi nafasi za mwisho huwa ni Zanzibar. Kwa wale wanaofika vuoni ambao asilimia kubwa husomea Bara, uwezo wao ni wa kawaida sana, Lakini kitakwimu hakuna sehemu ambayo ina watu wengi maofisi ya taasisi kubwa au kwenye...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Boni Yai jukwaani Kahama: Achambua "mikataba ya day waka" ya CCM kwa Jeshi la Polisi, ajira zao, vyeo, mishahara, pensheni kandamizi

    Jeshi linalotumwa kuwalindia madaraka Askari mwenye V tatu Mshahara 625,000 /= baada ya makato Huna V hata moja 228,000/= Hii iliongezwa kutoka 215,000/= Kupanda vyeo labda jeshini, polisi ni nadra Mkataba wa ajira kama huna nyota moja ni miaka mitatu mitatu tu. Day waka ! Miaka 6 ya...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nimewakumbuka CHAUMMA. Waliahidiwa Vyeo sasa wanaomba kurudi CHADEMA. Eti Shetani aliwapitia🤣🤣

    Yeriko Nyerere aliwaingiza chaka wakina John Mrema. Eti Mbowe kamwambia anajiunga nao.. Sasa wanamsumbua John Heche wakitaka kurudi. Waliahidiwa Vyeo... Ila havijapatoka.. Wamekata tamaa.. Salum Mwalimu anafanya biashara gani hadi ajenge Ghorofa Dodoma? Wengine hata hamu ya kuandika vitabu...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa ni kwa nini watu kutoka upinzani wakihamia CCM wanapewa vyeo haraka sana tena vikubwa!

    Wanabodi kumekuwa na utaratibu licha ya ccm kujigamba kwamba Ina rasilimali watu ya kutosha lakini inaonekana watu smart sana wanapatikana upinzani. Mwanzo nilijua tu kuwa labda ni kivutio cha kuwashawishi wapinzani wengi kuhamia huko ila baada ya kuona jinsi mashabiki wa ccm wanavyojenga hoja...
  15. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wachapakazi Hodari' wanaishia kuwa punda wa ofisi, Huku 'Wambea' Wakipanda Vyeo?

    Leo tuweke mafaili ya ofisini pembeni na tuzungumze ukweli ambao Human Resources (HR) wako hatakuambia kamwe. Tangu tukiwa shule ya msingi tulikaririshwa fomula moja ya kijinga sana: "Soma sana, piga kazi kwa bidii, bosi atakuona, utapanda cheo na kutoboa kimaisha tuu." Ila Kwenye ulimwengu...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Machawa wa jeshi, wanasiasa acheni unafki mnampigania samia kweli au mnapigania vyeo na buku saba ?

    Machawa wa jeshi, wanasiasa acheni unafki mnampigania samia kweli au mnapigania vyeo na buku saba ? ukiwaona wanajitoa akili wewe waulize tu hivi unapigania samia au buku saba ? nyuma ya pazia hawa jamaa hawana time kabisa na samia bali ni njaa na tamaa. hawafikirii watanzania wenzao ni...
  17. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Senegal: Serikali yawatunuku vyeo vya juu Kocha na wachezaji wa timu ya Taifa

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemtunuku Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Pape Thiaw pamoja na wachezaji wa ‘Simba wa Teranga’ kwa kuwapa hadhi ya ‘Commander of the National Order of the Lion’, heshima ya juu ya kitaifa inayotolewa kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Tuzo hiyo...
  18. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Hivi utaratibu wa vyeo Tanzania upoje?

    Mara kadhaa nimekuwa nikikutana na watu na wengine kuwasikia wakijitambulisha kwa vyeo fulan lakini nashindwa kuelewa kuwa hivi vyeo wanavipata wapi? Kuna vyeo vinatumika zaidi mfano CDE COMRADE CAPTAIN DKT Na hivi vyeo hasa hivi vitatu vya mwanzo vinatumika zaidi kwenye majukwaa ya kisiasa...
  19. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi waliofanya mauaji ya Oktoba 29 wamepandishwa vyeo mara 2

    Habari za kiintelejensia zilizovuja kutoka duru za kipolisi ni kwamba polisi wote walioshiriki kuwaua raia kati ya Oktoba 29 hadi Novemba 5 wamepandishwa vyeo mara 2. Upandishaji huu wa vyeo umeenda sambamba na idadi ya watu ambao kila mmoja aliua. Waliwaua watu wengi zaidi, wamepandishwa cheo...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mnataka tupendane, turidhiane na wakati waliofanya uhalifu mnawapandisha vyeo

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, aliwahi kuzungumza kuhusu maridhiano akibainisha kuwa wanasiasa wanaotawala wanataka tuwe na upendo na turidhiane. Hata hivyo, aliongeza kuwa wakati huo huo, waliofanya uhalifu waziwazi badala ya kuchukuliwa hatua, wanapandishwa vyeo. Maneno haya...
Back
Top Bottom