lawama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Elimu ya tanzania hipo siku lawama zitakuwa nyingi hapa JF na kwengine.

    Elimu ya tanzania imeshakuwa ya ovyo kuanzia kanumba mpaka binafsi. Embu kaguweni madaftari ya watoto husasani hawa wa primary. Mtoto anasoma private nimekagua daftari nakuta kapewa tiki swali ambao kakosa. Haya Je kwenye matokeo kila mzazi anaambiwa mtoto wake kawa wapili au wa kwanza...
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Sio kila baba ni mzazi hii pia imepelekea malezi ya single parenting kuongezeka kasi ila lawama zote anatupiwa mama na mama mkwe

  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania CRDB haistahili lawama kwa risiti na pay-in-slip zinazomhusu Heche zilizoonyeshwa mahakamani kwenye kesi ya uhaini ya Lissu

    Inashangaza sana CRDB kulaumiwa na hizi nyumbu za ufipa. Risiti na payin slip ni mali ya mteja na benki haihusiki kabisa na hilo. Kama ni lawama apewe Salman kwa sababu yeye ndo alimwekea pesa Heche. Halafu nimeona branch ni LUMUMBA. Inawezekana Heche ni mwanaCCM mwenzetu na huwa anafika ofisi...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha; unapolaumiwa hakikisha lawama hizo zinakuingizia Aidha utajiri au Zinakupeleka Peponi

    Hamjambo! Tunajua! Ninajua! Kwamba kuna wakati mtu utalaumiwa. Utakejeliwa. Watakurushia maneno. Ikitokea unalaumiwa basi hakikisha ni kwa sababu unaingiza mountain mrefu sana. Kwamba unajenga utajiri. Kama wanavyofanya kina Mwijaku, na makundi mengine ya watu. Wanakulaumu lakini unakitu...
  5. ngozimbili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania haihitaji lawama za upande mmoja — inahitaji ukweli, uwazi na uwajibikaji wa kila upande

    Kuna maswali ambayo lazima tuwaulize Serikali, upinzani, wanaharakati, wasomi na viongozi wa kiraia kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025. Kuna jambo moja nataka nilianze kwa kulisema wazi: Mimi sipingi maandamano. Ninaunga mkono haki ya wananchi kuandamana kwa amani. Maandamano ni sehemu ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Nchimbi kujiuzulu na kutoonekana hadharani, alKitangulia mbele za haki kwa natural death, watakwepa lawama?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na pia ni hatari ninayaiona iwapo hilo litatokea japo hatuombei ila tusisahai kifo ni wakati wowote na kws yoyote. NB: Kama yuko kwenye depression na ana magonjwa ya kiutu uzima kama vile pressure au kisukari, basi risk inaongezeka na hii ni hatari zaidi...
  7. min -me

    JamiiForums Tanzania Wabongo na uwajibikaji vs lawama

    Wabongo wengi tunapenda penda lawama sana , kuliko uwajibikaji, kwa mfano mfupi tu angalia hata humu JamiiForums . Kuna nyumbu kazi yao ni kulalamika nyuzi ya jf kwa sasa zimekua za kijinga, ila ukiangalia hawana mchango wowote wa maana wa kuleta nyuzi makini . Watu wa aina hii ndio...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia na Lawama za "Mkono wa Nje": Kwanini Mchawi wa Maendeleo Yetu Yupo Ndani ya Mifumo Yetu

    Utangulizi Katika ulingo wa siasa za kimataifa na diplomasia ya kiuchumi, maneno ya viongozi wakuu wa nchi hubeba uzito mkubwa sana. Hivi karibuni, kumeibuka mjadala mpana nchini unaochochewa na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika hotuba hiyo, Rais...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma mnaoenda kuandamana, kuna tetesi ya vipenyo wenye bunduki na mabomu ya mkono kuwadhuru waandamanaji bila lawama

    Sio vitisho ila mambo yanaweza kuwa hivyo Itaonekana kwamba waandamanaji wamelipua biashara za watu na wao kwa wao wameuana na kujeruhiana.
  10. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Trump ahamisha furushi la lawama; asema yanayoendelea sasa ni mawazo ya Pete Hegseth. Yeye hajaanzisha hii vita.

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa hakuwa mwanzilishi wa mgogoro unaoendelea hivi sasa na Iran, huku akisisitiza nafasi ya Waziri wake wa Ulinzi, Pete Hegseth, katika mchakato wa kufanya uamuzi huo. Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara, Trump alielezea majadiliano ya ndani...
  11. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Kupeana Lawama (Wabeba Lawama)

    Katika hii dunia kwa kweli kuna watu wanapenda kutoa lawama. Unakuta kuna mtu ni mlalamishi mpaka unashangaa.hii inakuaje? Na wakati mwingine mwanaume kabisa anakuwa mlalamishi mpaka unajiuliza huu ni yeye kweli au ameshakuwa mtu mwingine? Anyway mimi nawajua wabeba lawama pia. Nami nmeshabeba...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya kijiji yajiuzuru CCM yatupiwa lawama kata ya hezya Mbozi

    20 January 2026 Songwe, Tanzania SERIKALI YA KIJIJI YAJIUZURU CCM YATUPIWA LAWAMA KATA YA HEZYA MBOZI https://m.youtube.com/watch?v=JoLdIMXPKac Serikali ya Kijiji cha Namwangwa kata ya Hezya wilayani Mbozi mkoani Songwe ikiongzwa na Mwenyekiti JAPHET MBUKWA imeachia Madaraka kwa Madai ya...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kijiji yajiuzulu, wahusika waitupia lawama CCM Kata wa Hezya - Mbozi Mkoani Songwe

    https://www.youtube.com/watch?v=JoLdIMXPKac Serikali ya Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilayani Mbozi mkoani Songwe ikiongozwa na Mwenyekiti Japhet Mbukwa imeachia madaraka kwa madai ya Mtendaji wa Kata amemkamata na kumshikilia katika ofisi yake kwa madai ya kuwa Mwenyekiti huyo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kero na ubaya wa Muungano, lawama apewe Mwl Nyerere.

    Tatizo na sababu za kuutaka muungano, ilianzia kwenye maasi ya jeshi wakati huo 19/1/1964. Jeshi liliasi, na Nyerere akijificha kigamboni kunusuru maisha yake. Miezi mitatu tu baadae akamshawishi hayati Karume Rais wa Zanzibar wakati huo, waunganishe nchi. Nyerere aliona atakuwa salama kama...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM mmetengeneza mazingira ya utendaji ambayo kesho yakiwakuta hakuna lawama.

    Nime msikiliza waziri mkuu mwiguru japo uchaguzi mliofanya ni haramu na wadamu. kuwa unasimamia maadili ambayo kampuni ya Ester ya mabasi sio yangu ila jina la kampuni ni la mke wangu ambaye ni neema. Kwa serikali ya CCM ambayo sasa inawatafuna wenyewe sasa haya ni mambo ambayo muwezi kufanya...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yupo jela miezi 8, ila lawama za maandamano anapewa yeye?

    1. Lissu yupo gerezani Toka mwezi wa April, Kwa kesi ya kumbambikiwa ya ugaidi 2. Lissu na Chama chake hawakuwa na mgombea. Hivyo hawakuwa na muda wa kufanya kampeni na kunadi wala kuchochea vurugu na maandamano 3. Lissu anafadhiliwa vipi na wazungu na Yuko gerezani hana mawasiliano yoyote...
  17. Pakome

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kijana mwenzangu nakushauri lakini uamuzi utakuwa juu yako na ikiwa ni lawama basi utazielekeza kwako mwenyewe

    Nimeandika ujumbe huu ili baadaye Muumba asinilaumu kwa kushindwa kutoa neno linaloweza kuponya maelfu ya vijana wenzangu Tumekuwa tukijadili mada nyingi hapa JF kwa muda mrefu sana hasa mada tata ambazo zinafundisha nidhamu, mada zilizopelekea mzozo mkali lakini baada ya wasomaji kutuliza...
  18. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Je nisipo hudhuria harusi ya rafiki huyu kuna lawama?

    Ni rafiki wa kushibana kwetu kama kwao na kwao kama kwetu, urafiki wetu ni zaidi ya undugu maana tunasaidiana kuliko hata hao ndugu zetu wanavyo tusaidia Urafiki wetu ulianza na kukua kwa kasi tukiwa school na kwa bahati nzuri kila tukivuka level moja kwenda nyingine tunajikuta tumepangiwa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sasa lawama zote ni kwa kanisa, badala ya mifumo iliyojaa rushwa na uzembe

    Mie nilijua shida ni mifumo yetu yetu ya kiutumishi wa umma kutamalaki kwa rushwa na ufisad
  20. Pakome

    JamiiForums Tanzania Changamoto zilizoikumba Tanzania zitatuliwe kwa kutumia Busara na Utamaduni wa Watanzania. Njia ya lawama itateketeza Taifa

    Nawapa pole Wananchi wote wa Tanzania, pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia mshtuko, simanzi na sintofahamu iliyotokana na matukio ya Oktoba 29, 2025. Tukio lile lilileta majeraha kwa nyoyo za Watanzania, likaibua hofu, maumivu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa...
Back
Top Bottom