Sehemu napokaa kuna mtu kanunua nyumba ya kawaida ila cha ajbau ameanza kuongeza gorofa kwenye nyumba ambayo haina msingi wa gorofa anajenga na hakuna anayemhoji kajiamulia binafsi hili ni moja ya jambo linanikera sana nikiona watu wameweka lenta ya gorofa na sasa wanakoroga zege waendelee...
Chochote unachofanya katika maisha haya, usisahau jambo moja: umaskini hauondoki kwa moto.
Unaweza kutumia siku saba usiku kucha ukipiga kelele ukitazama dari, ukitokwa na jasho chini ya madhabahu, ukifunga na kujaribu “kumfunga” shetani wa kufikirika lakini mwenye nyumba bado atafika tarehe...
Usijalaumu kwa kuchelewa
Usijalaumu kwa kusemwa
Usijalaumu kwa kupitwa
Usiogope kushindwa
Sio lazima uwe tajiri kwa njia yoyote ile.
Sio lazima uwa lidhishe watu kwa namna yoyote ile.
ishi na asili, usiishi ya watu
Mcheza densi na msanii maarufu kutoka Rwanda, Thierry Ishimwe (Titi Brown), ameweka wazi kusitisha kwa muda mipango yake ya kuanzisha familia, akitaja kuongezeka kwa migogoro ya ndoa na changamoto za kisaikolojia zinazowakabili wanandoa wengi katika jamii ya sasa kuwa chanzo kikuu cha uamuzi...
Vijana ni waelewa sana, maana ni walewale walioambiwa hapa ni chooni, hapa ni jikoni, huu ni moto na haya ni maji wakatii hadi leo kuwa hapa ni chooni, hapa ni jikoni na pale ni chumba cha baba na mama tusiingie bila kubisha hodi.
Vijana hawahawa kama kungekuwa na viongozi ambao wangewaambia...
Tukiacha Mihemko, Ukiangalia Tanzania ya leo, kuna mambo mengi yanaendelea. Kuna miradi inajengwa, huduma zinaendelea kuboreshwa na mipango ya maendeleo inaendelea kuwekwa kwa ajili ya miaka ijayo. Hakuna mradi uliosinama
Tukumbuke pia maendeleo ya nchi si jukumu la Serikali pekee. Sisi...
mipango
mkono
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
uongozi
uongozi wa rais samia
vipaumbele
Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa unaoendelea nchini. Dada wa Taifa kama kawaida yake amelinusuru taifa dhidi ya wahuni wa kisiasa nchini...
Mimi ni mwanfunzi wa chuo cha mipango cumpus ya mwanza nimemaliza diploma two mwaka huu nimeshindwa kuendelea na maombi ya mkopo wa elimu ya juu kwa ajili ya kujiunga na degree sababu NACTVET hawaoni matokeo yangu ya diploma one.
Hali hiyo imefanya nimekosa AVN na mpka sasa sijui hatma yangu ya...
Anonymous
Thread
chuo
chuo cha mipango
diploma
kufungwa
matokeo
mipango
mkopo
mwanza
nactvet
wamegoma
yangu
Wana-Jamii,
Jana tarehe 31 Agosti 2026, Innovation Week Tanzania (IWTz2026) ilifunguliwa rasmi pale JNICC Dar es Salaam chini ya kaulimbiu: "From Aspirations to Transformation: Innovating Tanzania's Path to Inclusive Prosperity."
Uzinduzi wa jana umeonyesha nia kubwa ya kuunganisha ubunifu wa...
Happy Sunday JF Members.
Wanawake tunawaheshimu na kuwapenda sana, ila kuna jambo moja mnapaswa kulielewa kwa nia njema kabisa.
Muda wa kazi, simu na SMS za mara kwa mara za kusalimiana tuu hazimaanishi kwamba mapenzi yanaongezeka. Kuna muda zinageuka kuwa kero.
Ukimtafuta mpenzi wako mara...
Taarifa ambazo zimetufikia mchana huu ni kuwa makundi makundi ya Walokole yamesukwa kufanya mauaji kwa Siri au hadharani ya kumuua Bw. Civilian-Coin Nalimi Kisandu almaarufu CIVILIAN-COIN taarifa nyeti tumezipata. Aidha wamejipanga kuua au kumbambika kesi yoyote ile Bw. Civilian-Coin.
Hata...
Ndugu na rafiki zako wanachopaswa ni kuona tu au kuambiwa tu
Juzi nimeshahamia nyumbani kwangu.
Niko Marekani wiki ya pili sasa
Karibu kwenye mahafali yangu next week napata masters.
Namshukuru Mungu ile nafasi ilikuwa ngumu lakini nimeipata .
Ndugu waone tu umepark gari nyumbani kwako au...
Mipango ilipangwa kwa umakini wa hali ya juu kwanza kabisa ndani ya chama tuliweza kuwadhibiti makada wakorofi ambao wangeweza kuvuruga tukachapisha fomu moja kelele zilivuma lkn hazikuwa na madhara yeyote
Mpango wa pili ulikuwa dhidi ya upinzani hawa nso tungewacha tuu bila uthibiti...
Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu.
Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati ya mtengenezaji wa jezi, wauzaji wa rejareja na klabu kulingana na makubaliano ya kibiashara. Hivyo...
Wanafunzi tuliomaliza masomo ya Diploma tunaomba msaada kuhusu changamoto ya kucheleweshewa vyeti vyetu.
Kila tunapofika chuoni kufuatilia vyeti, tunaambiwa kuwa mashine ya kuchapisha au kutoa vyeti imeharibika. Hali hii imetuletea usumbufu mkubwa, hasa kwa wale wanaotoka maeneo ya mbali ambao...
Eneo la Kabwe ni mfano halisi wa changamoto zinazohitaji maamuzi ya uongozi.
Wafanyabiashara wadogo wanahitaji kupangwa katika maeneo yanayofaa ili waendelee kutafuta riziki bila kuziba njia za watembea kwa miguu na kuathiri mtiririko wa magari.
Ni kweli kwamba uamuzi wa kuachia stendi ya...
Yaan unapeleka makasha kwala yaan “Tunayapeleka moja kwa moja Morogoro maana hata yakishuka Kwala bado yatafika Vigwaza na kuendeleza foleni ileile ya kuja Dsm na kuelekea Morogoro. WASOMI NA UPEMBUZI YAKINIFU🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭
Si afadhali kufungua ICD Dodoma ( Halfway to DRC, Burundi , Rwanda na...
DAR ES SALAAM, JIJI LINALOKUA HARAKA KULIKO MIPANGO YAKE
Nianze kwa RAI kuhusu upanuzi wa Barabara za Sam Nujoma na New Bagamoyo kwa kutumia njia zile zile za awali. Kwa maoni yangu, huenda tumeelekeza nguvu yetu katika suluhisho la muda mfupi sana badala ya muda mrefu. Kinachonisikitisha ni...
Khaaah!!
Yaani umekaa zako unadhani mafanikio ya watu ni bahati,siyo kweli.
Ni kwamba bahati humkuta aliye tayari kwenye circle na angle sahihi.
MAISHA siyo nadharia eti ujifunze mbinu za kutafuta pesa Kwa kusoma kitabu ulichonunua mtaani Kwa buku kumi.yaani mtu apoteze mamilioni ya Ada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.