muafaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani hasa utakua muafaka zaidi kwa Joseph Selasini kuanza kupewa heshima na kutambuliwa kama mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa?

    Tusibiri vikao vya Chama vya kumsimika rasmi au tusibiri mapinduzi tukufu halafu tukutane mahakamani? Kuna haja ya kukumbushana kidogo juu ya katiba ya chadema kuhusu nafasi ya mwenyekiti wa taifa au baada ya nafasi kujazwa? haiwezekani mtu awekeze pesa, muda wake meingi na maisha yake yote...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Sisi CHADEMA tunapaswa kuweka njia ya Muafaka wa kitaifa wa kweli kwa kutangaza Upendo na Msamaha

    Kwanza ninachokiona Kabisa mama Hajui Chochote kuhusu nchi. Nimefatilia kiundani sana unaona waliompinga ndani walikuwa sawa ila Wengi sasa wanamsapoti kwa kuyapenda maisha yao sababu waliompinga sasa hawapo. Je, kunanini nyuma ya pazia. Ata Ulaya matajili wachache wanafanya shinikizo la kila...
  3. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania Muafaka unaokuja Zanzibar ni mwendelezo wa ulaghai

    Upo msemo wa Kiingereza ambao tafsiri yake inasema; “kurudia kufanya jambo lile lile, kwa namna ile ile, huku ukitarajia matokeo tofauti, ni uendawazimu.” Sitaki kusema kuwa Zanzibar imefikia hatua hiyo linapokuja suala la muafaka. Lakini imefika wakati sasa tujiulize hii miafaka (sijui kama...
  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka nguri hawa waenziwe, tusisubiri wakiwa wamekufa ndio tuchonge sana zao

    These mem shaped Tanzanian music at the highest level. Hawa ndio foundation na mashina
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ni Muda muafaka kwa picha ya Rais Samia kuwekwa katika Fedha zetu hususani elfu kumi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kila jambo na wakati wake na majira kwa kusudi maalumu chini ya Mbingu. Kwa hakika huu ni wakati na muda muafaka na majira sahihi kabisa kwa Benki Kuu Ya Tanzania kubadilisha Muonekano wa Fedha Zetu kwa kuweka Picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: iitwe Tume ya Maridhiano na Muafaka wa Pamoja wa Kitaifa

    Heri ya Mwaka mpya 2026 kwa kila mmoja, Mungu awe pamoja na kila mmoja kwa mwaka mzima. Katika hotuba ya Mhe.Rais ya kuaga mwaka 2025 na kukaribisha mwaka 2026 alizungymzia suala la kuanzisha TUME YA MARIDHIANO YA KITAIFA mwaka 2026. Niungane na wote waliopongeza hotuba hiyo iliyojaa matumaini...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Huu ni muda muafaka wa kuja na Sera mpya ya ulinzi dhidi ya uvamizi wa kikoloni!

    Toka kabla ya Uhuru mababu zetu walipambana dhidi ya mikakati na madhila yaliyoletwa na mabeberu kuja kutawala na kubeba mali na rasilimali zetu kwa njia za kibabe au ulaghai. Somo nililojifunza ni kuwa kwao wao mabeberu kuchukua au kunyang'anya rasilimali zetu ili wao na vizazi vyao waweze...
  8. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka Mashehe kuwajibu Nchi wa Hisani

    Baada ya matamko ya nchi wahisahi kuhusiana na matukio ya liyotokea kabla na baada ya uchaguzi(feki) uliofanyika Tanzania. Kama ilivyo ada mashehe wetu wasiwasite kutoka na kuitetea Serikali kama wa fanyavyo dhidi ya Matamko ya TEC. Kwa kutoa matamko makali dhidi ya hawa mabeberu wanayoiandama...
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Huu ni mda muafaka wa kupush katiba mpya

    Katikà wakati mzuri wa kupush katiba mpya basi ni kipindi hiki hasa kwa madhila yaliyotokea jana na kama tunania ya dhati ya kuiponya nchi Kupunguzà madaraka ya Rais Kuhakikisha viongozi wa tume ya uchaguzi hawachaguliwi na Rais Jaji mkuu kutokuchaguliwa na Rais Dpp kutokuchaguliwa na Rais...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Heche anataka sera ya muafaka? amuomba Samia awaite mezani waongee

    Lissu akitoka segereMatata anaweza kumfukuza John Heche kwa usaliti. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan bado ana muda wa kuyaita makundi mbalimbali ya kisiasa mezani ili...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hatujachelewa, tukaeni tupate muafaka wa kitaifa

    Ndugu zangu watanzania. Nipende tu kuwakumbusha kwamba hali ya kisiasa kwa sasa sio nzuri. Kwa wanasiasa watafikiri ni kwa sababu ya uchaguzi, lakini ukiangalia kwa jicho la tatu uchaguzi sio hoja sana. Kuna haja ya kukaa kama Taifa na kuiangalia vizuri katiba yetu na kuirekebisha kwa sasa...
  12. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Sasa ni muda muafaka wakukiri wasiojulika, wametushinda!

    Swala la watu wasiojulikana lilipoanza kusikika nchini ilionekana kuwa ni changamoto ambayo kwa uimara wa intelijensia yetu, ingepata mwarobaini ndani ya muda mfupi. Katika hali ya kushangaza matukio yanayofanywa na wasiojulikana badala ya kupungua, yamekuwa yakiongezeka kwa idadi na umadhubuti...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 THRDC yapendekeza mambo 10 ya muafaka wa Kitaifa kufanikisha Uchaguzi wa Amani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito wa kupatikana kwa Muafaka wa Kitaifa utakaoliwezesha taifa kuelekea kwenye uchaguzi kwa umoja, utulivu na mshikamano. Kwa mujibu wa THRDC, muafaka huo ni muhimu kwani utatoa fursa ya kushughulikia changamoto na dukuduku...
  14. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania MAONI: Jumuiya ya Afrika Mashariki kuiwekea Rwanda vikwazo vya kidiplomasia na uchumi

    Baada ya baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani kuiwekea Rwanda vikwazo pia kuwekea viongozi wa Rwanda vikwazo kwa kujihusisha na migogoro ndani ya DRC. Sasa ni dhahiri na muda muafaka kwa jumuiya za Kiafrika na kanda zake kukaa na kupiga kura hatimae kuiwekea Rwanda vikwazo kama ilivyofanya...
  15. Vien

    JamiiForums Tanzania Kutokana na maendeleo ya Technology ni muda muafaka wa makanisa kuendana na wakati

    Habari za muda huu wakuu, Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kumekua na utaratibu wetu wa kufuata taratibu na kalenda ya kanisa inavyotaka, ni kitu kizuri sana, lakini naona kuna haja ya kuendana na mabadilko ya technology ilikua kuokoa muda Mfano 1)...
  16. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwabukusi: Kabla ya Maridhiano huwa tunaanza na Muafaka, Chadema tuonyesheni huo Muafaka wa Kitaifa vinginevyo hayo makubaliano yenu hayako kisheria!

    Rais wa TLS Mh BAK Mwabukusi amesema kabla ya Maridhiano huanza na Muafaka vinginevyo Bila muafaka hayo Maridhiano yanabaki kuwa domestic arrangements hayana nguvu ya kisheria wala Uhalali wa kisiasa Mwabukusi amewataka Chadema watuonyeshe huo Muafaka wa kitaifa Ni Ukurasani X Anaanza kwa...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Media za Wenzetu Zinafanya Endorsment, Je Ni Wakati Muafaka Sasa Media za Tanzania Tuanze Kufanya Endorsment kwa Vyama na Wagombea?

    Wanabodi, Mada kama hii niliileta 2015 Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea? Mfano mzuri wa endorsment ni huu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka wa kuachana na CHADEMA ya Mbowe. Mimi najitoa rasmi

    Naomba kutamka rasimu kuwa sina imani tena na Mbowe na ni wakati sahihi wa mimi kuachana na CHADEMA ya Mbowe(labda Lissu ashinde). Sitaraji uchaguzi wa haki katika kwa nafasi ya Mwenyekiti na ninaona kila dalili ya Mbowe kuwa mamlulki wa CCM kwenye hiyo nafasi. No wonder tunasoma mitandaoni...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Samia MzumbeUniversity: Ni muda muafaka lecturers watembee katika vyombo vya habari kuelezea kiasi gani kozi zao au topic zinamfanya mtu ajiajiri?

    Kesho mh. Rais atakuwa katika mahafali ya Mzumbe University. Niliwahi kufika hapo, majengo yao yanakufanya uvute kumbukumbu za High School, au primary schools, hakuna ghorofa. Thinking aloud, coz bodi ya mikopo inakula karibu trillion, let universities justify what they feed the...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hii ni katika kuweka historia...
Back
Top Bottom