ubinafsishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Prof. Shivj: Ubinafsishaji wa Rasilimali za Taifa ni wizi wa jasho la Wazalishaji

    Sichangii chochote angalia mwenyewe "Kasi ya ubinafsishaji/ugenishaji wa rasilimali za taifa inatisha. Ubinafsishaji kiholela ni ufujaji wa mali ya umma= uwizi wa jasho la wazalishaji.Tujifunze kutoka historia.Hakuna nchi inayoweza kuleta maendeleo halisi ya waliowengi bila kuthibiti njia nyeti...
  2. D

    Taarifa zinachanganya ubinafsishaji wa mabasi ya mwendokasi; kipi ni kipi?

    Hizi taarifa zinachanganya! Tarehe 23 march niliangalia taarifa ya habari, Taarifa zinasema Serikali ina mpango wa kutafta mwekezaji ambaye ataleta mabasi na kutoa huduma kama mzabuni. Tarehe 25 march katika taarifa ya habari wanasema mzabuni tayali kashaanza kuigiza mabasi! Swali tenda...
  3. naggy

    Tufanye Ubinafsishaji kwenye utoaji wa haki jinai, uwajibikaji na elimu ya Uraia

    Ni Wakati muafaka sasa tufanye foreign investment kwenye usimamizi wa demokrasia na utoaji na utendaji haki nchini, kama tunavyofanya kwenye madini, mapori, na bandari, gas, na kwingineko, kwa kuwa sisi hatuko vizuri kwenye eneo lolote lile. Tunapovutia wawekezaji kwenye nyanja za kiuchumi...
  4. Asante CCM

    Human Rights Watch: Tanzania inakandamiza Wakosoaji wa Mkataba wa Ubinafsishaji Bandari

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania Mkataba huo utaruhusu...
  5. Mama Amon

    Tunamshukuru Waziri wa Ulinzi, Innocent Bashungwa kwa kuongelea ‘malengo’ ya ubinafsishaji wa bandari za Tanzania

    I. Utangulizi Tumefurahi kumsikia Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa, akiongelea uzuri wa malengo ya uwekezaji katika Bandari za Tanzania. Lakini Mhe. Bashungwa anapinga mtazamo kwamba mkataba wa Tanzania na Dubai unaongelea ubianafsishaji wa bandari. Mara ya...
  6. Chachu Ombara

    Rais Samia: Sasa Tanzania tumeuza (Bandari), wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?

    Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee. Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya...
  7. Zanzibar-ASP

    Profesa Kitila Mkumbo amepewa Uwaziri ili kukamilisha mpango wa bandari kwa DP World?

    Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu. Pia soma > Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
  8. Poa 2

    Mashirika ya umma na rasilimali za nchi zinazoendelea kuuzwa kwa kivuli cha mikataba

    Ni uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu wake kwa kipindi chake. Kila rais anayeingia madarakani hupiga pake na kutulia kimya akijua...
  9. J

    Kuhusu Bandari ya Dar es Salaam: Historia ya uchumi wetu unaonesha kuwa ubinafsishaji umekuza uchumi kuliko nationalization (utaifishaji)

    Kwa wanaofuatilia historia ya nchi yetu tangia uhuru, ambapo baada ya uhuru makampuni, viwanda, mashamba makubwa, shule, benki nyingi zilikuwa chini ya sekta binafsi. Nyerere kwa uelewa wake akataifisha vitega uchumi hivi na kuvifanya mali ya Serikali. Uchumi wa Tanzania ukayumba sana, viwanda...
  10. R

    Kipi kilibinafsishwa kikawa na ufanisi na tija Tanzania?

    Kuna watu wanasema Watanzania wameshindwa kujisimamia, naomba watueleze ni eneo gani kampuni za Kigeni zimewahi kupewa Tanzania ikanufaika. Tumekuwa wepesi Sana kuvuruga wananchi na watendaji Kwa malengo ya kisiasa tunapotaka kuuza rasilimali. Tumewekeza fedha nyingi Sana bandarini ,tukawekeza...
  11. peno hasegawa

    Bunge na ubinafsishaji wa Bandari ya Dar es Salaam, huu ni ufisadi mkubwa

    Bunge letu ni taasisi na muhimili wa kidola usiopaswa kuegemea mihimili mingine ya kidola katika taifa. Kwa nini Bunge la JMT lielekezwe kubariki badala ya kusimamia (dhibiti) na kutoa mwongozo (rule of procedure) kuhusu namna ya serikali kuingia mikataba kama huu wa TPA? Wadau tunaamini Bunge...
  12. BLACK MOVEMENT

    Naunga mkono suala la kubinasifisha Bandari ya Dar es Salaam

    Ifike wakati Serikali iachane na kufanya biashara make huu ni ujamaa na ushakuwa proved haiwezekani zaidi ya upigaji. Kwa taarifa zaidi soma hapa >> Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam Mashirika ya umma kama Bandari, Tanesco...
  13. T

    Ndugulile ataka Azimio la Bunge la kubinafsisha huduma ya vivuko Kigamboni

    Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) ameliomba Bunge kupitisha azimio la kubinafsisha huduma za vivuko nchini. Dkt Ndugulile aliyasema haya leo tarehe 31.01.2022 wakati akichangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu iliyowasilishwa mapema leo Bungeni, Dodoma. Dkt...
Back
Top Bottom