Makossa is a Cameroonian style of urban music. Like much other late 20th century music of Sub-Saharan Africa, it uses strong electric bass rhythms and prominent brass. In the 1980s makossa had a wave of mainstream success across Africa and to a lesser extent abroad.
Makossa, which means "(I) dance" in the Douala language, originated from a Douala dance called the kossa. Emmanuel Nelle Eyoum started using the refrain kossa kossa in his songs with his group "Los Calvinos". The style began to take shape in the 1950s though the first recordings were not seen until a decade later. There were artists such as Eboa Lotin, Misse Ngoh and especially Manu Dibango, who popularised makossa throughout the world with his song "Soul Makossa" in 1972. The chant from the song, mamako, mamasa, maka makossa, was later used by Michael Jackson in "Wanna Be Startin' Somethin'" in 1983. Many other performers followed suit. The 2010 World cup also brought makossa to the international stage as Shakira sampled the Golden Sounds popular song "Zamina mina (Zangalewa)".
Makassi is a lighter style of makossa.
Naomba tujadili jambo hili kama jamii, wazazi na vijana wenyewe.
Ujana ni kipindi cha kujifunza, kufanya maamuzi, kujitafuta na kujenga msingi wa maisha ya baadaye. Ni kweli kwamba hakuna binadamu asiye na makosa, lakini si kila kosa linapaswa kufanywa kwa kisingizio cha ujana. Baadhi ya...
Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi.
Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona.
Millennials wengi wakaingia kwenye...
Hayati Benjamin Mkapa Katika kitabu chake "My Life, My Purpose" (2019) Ameeleza maeneo aliyofeli kama kiongozi
1. Kufeli Kukubwa Kuliko kote: Ubinafsishaji (Privatization) Anasema "Nilifanya Haraka Sana"
"Tuliamini soko huria litatatua kila kitu. Tuliuza viwanda 400 kwa bei ya hasara...
Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa.
Yafuatayo ni makosa yanayoweza kukupunguzia points za leseni yako...
Kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi na malori uliotokea Septemba 28 na 29, 2026, madereva wengi hawakujua maana ya mfumo wa points (Drivers Licence Point System).
Kwa mujibu wa Kifungu cha 31 cha Sheria ya Usalama Barabarani Sura ya 168 Rekebu ya 2023, leseni yako ya udereva ina pointi 15, na...
Nimetoka muda huu katika Terminal 3 ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, ambapo nililipa ada ya maegesho ya gari. Baada ya muda, nilipofika kwenye geti la kutokea, magari yalikuwa yakifuatana. Gari lililokuwa mbele yangu lilipita likitumia tiketi yangu kutokana na mfumo wa kamera...
●Vipi rais akifanya makosa?
●Wakuu wa mikoa na viongozi wengine nani anawakata points kwenye vyeo na vyeti vyao?
●nani anawakata points askari?
maana wao ndio maarufu kwa kula rushwa nchi hii bila uoga wala aibu.
Na wengine kwenye mengine.kwanini iwe madereva tu?
Sheria zipo;
Kama □kuonywa...
Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai.
Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma kozi tofauti na ya sheria tunajua maana ya 'uttering' ni kuongea / kutamka maneno kwa sauti ya...
Sitarajii TFF iwe na huruma na hawa waamuzi wanaofanya makosa maksudi licha ya wao kuwa na nafasi ya kupitia maamuzi yao kupitia vfs.
TFF wawe na standard katika kushughulikia makosa yanayofanywa na wachezaji pamoja na waamuzi.
Mfano ni Eli Sasii ambaye ameshindwa kutoa adhabu sahihi kwa beki...
Wanaume, nisikilizeni kwa makini. Makosa haya mawili yanaweza kuharibu kabisa maisha ya mwanaume.
Na kitu cha ajabu ni kwamba, kosa moja linaweza kutokea kwa sababu tu ya starehe ya dakika chache, wakati lingine linaweza kukuchukua miaka mingi kurudi kwenye mstari.
Najua wengine wenu mtabisha...
Aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Alhad Omar Kawambwa pamoja na masheikh wengine wawili wamekutwa na makosa kufuatia uchunguzi uliofanywa na Tume Maalumu iliyoundwa na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Ulamaa, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ali...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeendesha oparesheni kubwa katika maeneo mbali mbali ya mkoa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake ya kikatiba ya kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi pamoja na mali zao, huku likiendelea kuchukua hatua dhidi ya watu wanaojihusisha na vitendo...
Watuhumiwa 37 wa makosa mbali mbali wamehukumiwa kwenda jela baada ya kupatikana na hatia mkoani Kilimanjaro .
Katika Mashauri hayo limo la mtuhumiwa kuhukumiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela kutokana na makosa dhidi ya binadamu.
Taarfa iliyotolewa na jeshi la polisi mkoani kilimanjaro...
Ukosefu wa weledi katika kutekeleza majukumu ya kusimamia usalama barabarani yaliyowahi kuleta majanga:
Mamlaka za usalama barabarani zipo chini ya kikosi cha usalama barabarani (Trafiki)
Pamoja na kupewa mamlaka hayo makubwa kusimamia vyombo vyote, yapo makosa ya wazi kabisa ambayo hufanywa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amekutana na wasanii na watengeneza maudhui 21 aliowaita katika kikao maalumu, akisema wamepewa msamaha wa makosa yao ya awali ya jinai yaliyohusishwa na matumizi ya mitandao ya kijamii.
Soma pia: Wasanii walioitwa na Katambi leo wamesamehewa...
Watanzania hakika tunafurahia sana kuona jinsi mnavyopambana bila kukata tamaa mungu aendelee kusimama na nyie katika kila jambo Hakika hii ndo chadema ambayo nilikuwa natamani itokee siku zote comb ya lisu na john heche nafikirii ndo combination bora ambayo mimi nimeiona tangu nianze...
Tunajikita kushangaa watu wenye mafanikio kwasababu ya makosa ya wazazi wetu....
Wazazi wetu walizaliwa kipindi cha fursa wao badala wasome shule wakawa wanashinda wanawinda vindege maporini matokeo yake wakazaa watoto hawana hata mtu wa kuwa-inspire Wapo Wapo tu, Leo hii ndo hao wakiona mtu...
Ibara ya 132(5)(c) inasema misingi ya maadili ya viongozi wa umma/chama/kikundi/taasisi inapiga marufuku mienendo au tabia inayomfanya kiongozi aonekane hana uaminifu, anapendelea, si muadilifu, mhaini au anahusika na kuchochea rushwa au vurugu.
Kwa maana hiyo Tundulisu hafai kuendelea kuwa...
Rais wa Kenya, William Ruto, amekiri kuwa kulikuwa na makosa katika namna Serikali ilivyoshughulikia maandamano ya vijana wa Gen Z mwaka 2024, akitambua maumivu yaliyosababishwa na vifo, madai ya kukamatwa kiholela, kutoweka kwa watu na matumizi ya nguvu kupita kiasi...
Ruto ametoa kauli hiyo...
genz
ili
kenya
kiongozi
kosa
kukiri makosa
kuua
makosa
mauaji
mwaka
mwaka 2024
rais
rais ruto
rais samia
ruto
samia
serikali
ujasiri
uungwana
waandamanaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.